Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa
Na unadumu hauchoshi kabisa.
Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu..
Kuna wale
Ambassador of Jesus Christ walitamba sana na gospel zao
Meddy - huyu haina haja ya kumuelezea sana alivyo fundi ,anajua kutumia ala nyingi za muziki
Bruce melody- huyu jamaa bwana nani asieijua ngoma yake tamu ya Katerina?? Humo kapita kama vile hataki .kama bado hujaskiliza itafute.
The Ben.- huyu za chini ya kapeti niliskia ni ndugu yake na meddy ..
Jamaa alifanya ngoma moja na meddy ya moto sana "loose control" itafute kama bado.
Alpha - huyu nadhani ni mnyarwanda nae kutokana na anavyoimba.
Jamaa ana ngoma Kali sana mojawapo inaitwa "Distance.."
Ni zaidi ya balaa.
Wengine wa akiba
Butela Knowles
Uncle Austin
Kituo kinachofata tutakuja bongo hapa tuwakumbuke wasanii wanaoimba nyimbo zinazoishi haijalishi wanajulikana sana ama sio popular...
Chitoo