Rwanda muziki kwao ni chakula

Rwanda muziki kwao ni chakula

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa
Na unadumu hauchoshi kabisa.
Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu..
Kuna wale
Ambassador of Jesus Christ walitamba sana na gospel zao

Meddy - huyu haina haja ya kumuelezea sana alivyo fundi ,anajua kutumia ala nyingi za muziki

Bruce melody- huyu jamaa bwana nani asieijua ngoma yake tamu ya Katerina?? Humo kapita kama vile hataki .kama bado hujaskiliza itafute.

The Ben.- huyu za chini ya kapeti niliskia ni ndugu yake na meddy ..
Jamaa alifanya ngoma moja na meddy ya moto sana "loose control" itafute kama bado.

Alpha - huyu nadhani ni mnyarwanda nae kutokana na anavyoimba.
Jamaa ana ngoma Kali sana mojawapo inaitwa "Distance.."
Ni zaidi ya balaa.

Wengine wa akiba
Butela Knowles
Uncle Austin

Kituo kinachofata tutakuja bongo hapa tuwakumbuke wasanii wanaoimba nyimbo zinazoishi haijalishi wanajulikana sana ama sio popular...

Chitoo
 
RwandaFlava2TheWorld
RWANDAFUL COUNTRY

Tunawapa 2years yakuteka Africa Tunauweza wakuimba nyimbo nzuri kwa lugha zote tena styles zote (French,English,Swahili,Kinyarwanda,Kirundi,Luganda,Lingala)

Meddy ,The Ben,Bruce Melody, Yvan Buravan, And Bumuntu, King James, Christopher,...... ni Next Levels
 
Wana wasanii waali videos kali mimi uwa natazama nyimbo zao toka 2017, na uwa ninashangaa kwanni hawafanyi vizuri kama wasanii wetu. Yani nyimbo zao ni kali na wanajua kuimba sana.
 
RwandaFlava2TheWorld
RWANDAFUL COUNTRY

Tunawapa 2years yakuteka Africa Tunauweza wakuimba nyimbo nzuri kwa lugha zote tena styles zote (French,English,Swahili,Kinyarwanda,Kirundi,Luganda,Lingala)

Meddy ,The Ben,Bruce Melody, Yvan Buravan, And Bumuntu, King James, Christopher,...... ni Next Levels

Amakuru?
 
Na mimi uncle handsome nakaribia kutoa kibao changu
IMG_20210121_204432.jpg
 
Back
Top Bottom