Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndo utawala tunaopiga vita.Si lazima apewe muda ajieleze....kama nchi ama serikali iliyoko madarakani inaona hafai basi anapigwa stop. Asipokubali matokeo aende mahakamani kuishitaki serikali.
Hawa ndio wanyarwanda wenyewe, hawawezi kusema kwa nini shyrose muda umepita lakini makongoro na kimbisa wawe bado wakati wote waliingia pamoja.Muda wake umepita kivipi.si angepewa nafasi ajieleze mbona wakina chenge mpaka leo wapo bungeni. Acheni double standard nyie
Huu ndo utawala tunaopiga vita.
1. Inahusiana vipi na mada?Basi huelewi siasa, ile Tanzania ya miaka 30 iliyopita ilikuwa haina rais na ndiyo maana ulizoea kuona vitu vya kijinga vinafanywa, yet...watu walibisha na sikushangai wewe kubisha kila kitu. Ukikuwa utanielewa nina maana gani. Kipindi hatuna rais, mtu alikuwa anaiba milioni 10, inaundwa tume ya uchunguzi ya milioni 200 kuchunguza milioni 10 ziliibiwaje, na watu walishangilia tume kuundwa. Viongozi walikuwa wanapongezana kuchaguliwa kwenye tume ya ufujaji because walijuwa wanakwenda kula tu na kuongeza nyumba ndogo.
Kwa hiyo muuza unga adhabu yake ni kukatwa jina bila mjadala? Nonsense. Hao usalama wa magu si ndio wale wa kuvamia shilawadu na kumtisha Nape? Nonsense again.Huyu Bi mdashi kama Magufuli kamkataa ujue kuna biashara iliyo pigwa marufuku na Paul Makonda kufanyika ndani ya jiji la Dar es Salaam ndiyo aliyokuwa anaifanya huyu bi.mdangala sasa Magufuli kasha mshtukia kitambo kamkata ndiyo maana mnamuona analia lia
Ni upuuzi wa kiwango cha lami kuihusisha na Rwanda kwenye hii ishu!!
Na Magufuli hatompangia kazi yoyote, akaendee kutafuna mjani
Alikuwa hajui kama Magu anafanya kazi na usalama alifikiri hatamshtukizia aendelee na upuuzi wake!
-I'm Sign out
Mbona unaongea pumba mkuu nipe mfano hata mmoja wa hiyo hoja yakoBasi huelewi siasa, ile Tanzania ya miaka 30 iliyopita ilikuwa haina rais na ndiyo maana ulizoea kuona vitu vya kijinga vinafanywa, yet...watu walibisha na sikushangai wewe kubisha kila kitu. Ukikuwa utanielewa nina maana gani. Kipindi hatuna rais, mtu alikuwa anaiba milioni 10, inaundwa tume ya uchunguzi ya milioni 200 kuchunguza milioni 10 ziliibiwaje, na watu walishangilia tume kuundwa. Viongozi walikuwa wanapongezana kuchaguliwa kwenye tume ya ufujaji because walijuwa wanakwenda kula tu na kuongeza nyumba ndogo.
Mkuu,malalamiko baada ya maamuzi hayasaidii wala hayakuwahi kusaidia. Kulalamika ni kuharibu zaidi. Atakosa utakosa uteuzi wowote. Hakuna chama cha siasa ambacho hakina udikteta kwenye kuamua. Wenyeviti wa vikao huwa na nguvu kubwaMtaalam, shida ni moja tuu. Jinsi suala lake lilivyo kuwa handled. Mwenyekiti kutumia mabavu kuwa "huyo sitaki hata kumjadili" ndio yote haya yanajitokeza.
Shy rose atakumbukwa kwa mengi ikiwemo kusisitiza kwake matumizi ya lugha ya kiswahili mpaka jambo hilo kupitishwa. Alistahili kuheshimiwa japo kidogo kwa kumjadili na hata asipopita ndio hiyo kauli yako ingepata nguvu.
1. Inahusiana vipi na mada?
2. Vipi kuhusu ununuzi wa meli mbovu na kugawa nyumba za serikali kwa vimada?
Kama sasa hivi huo wizi haufanyiki,ufisadi haufanyiki,makusanyo yakodi yameongezeka, rushwa hamna mbona maisha yamezidi kuwa magumu kuliko kipindi cha kikwete ambacho mambo haya yote yalikuwa yanafanyika na watu tulikuwa tunapanda ndege kila wiki? Mwambieni huyo babu kipara akamuulize kikwete alikuwa anapata wapi pesa.Basi huelewi siasa, ile Tanzania ya miaka 30 iliyopita ilikuwa haina rais na ndiyo maana ulizoea kuona vitu vya kijinga vinafanywa, yet...watu walibisha na sikushangai wewe kubisha kila kitu. Ukikuwa utanielewa nina maana gani. Kipindi hatuna rais, mtu alikuwa anaiba milioni 10, inaundwa tume ya uchunguzi ya milioni 200 kuchunguza milioni 10 ziliibiwaje, na watu walishangilia tume kuundwa. Viongozi walikuwa wanapongezana kuchaguliwa kwenye tume ya ufujaji because walijuwa wanakwenda kula tu na kuongeza nyumba ndogo.
We unadai kulikuwa hakuna serikali miaka 30 halafu unataka nikuache? Nakutuma india ukatibiwe mwezi mzima!Nilikuwa najibu hoja ya mlengwa, vipi povu mkuu? Ungeelewa mlengwa kasema nini wala usingekuja hapa kunijibu bila ya kujichamba. Vitu vizuri havihitaji haraka, rudi tu chooni kamalizie haja yako.