Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hakuna haja ya kudhanidhani, Shyrose amemaliza muda wake na apumzike. Siasa ni zamu kwa zamu. Na kila zama ina watu wake
Mtaalam, shida ni moja tuu. Jinsi suala lake lilivyo kuwa handled. Mwenyekiti kutumia mabavu kuwa "huyo sitaki hata kumjadili" ndio yote haya yanajitokeza.
Shy rose atakumbukwa kwa mengi ikiwemo kusisitiza kwake matumizi ya lugha ya kiswahili mpaka jambo hilo kupitishwa. Alistahili kuheshimiwa japo kidogo kwa kumjadili na hata asipopita ndio hiyo kauli yako ingepata nguvu.