madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Kwendeni kule hatuwategemei pumbavu nyie sasa na huyo kagame kama hatuelewi tunamtoa madarakaniPia watatumia bandari ya Kisumu hadi Port Bell, hivyo Naivasha hadi Kisumu 200km kisha mizigo inapakiwa kwenye meli.
Kwa kifupi hapa game imechezwa ndefu sana, bao la maana.
Huwa nashangaa tunang'ang'ania na nyie kwa mteja ambaye hatupo naye mpaka mmoja.
Kwa huu mchezo tunaiteka DRC Kaskazini yote.....na wao pia hatujachangia mpaka.
Sent using Jamii Forums mobile app