Rwanda secures dry port in Kenya

Rwanda secures dry port in Kenya

Pia watatumia bandari ya Kisumu hadi Port Bell, hivyo Naivasha hadi Kisumu 200km kisha mizigo inapakiwa kwenye meli.
Kwa kifupi hapa game imechezwa ndefu sana, bao la maana.
Huwa nashangaa tunang'ang'ania na nyie kwa mteja ambaye hatupo naye mpaka mmoja.
Kwa huu mchezo tunaiteka DRC Kaskazini yote.....na wao pia hatujachangia mpaka.
Kwendeni kule hatuwategemei pumbavu nyie sasa na huyo kagame kama hatuelewi tunamtoa madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Museveni kwanza ndiye atanufaika sana tukiendelea kufaulu, maana sisi tunataka tuiteke DRC yote na kuitia kwapani, sasa hapo kuwafikia wote yaani DRC, Rwanda na hata maskini mwenzenu Burundi lazima tupitie Uganda, ndio maana Museveni huwa mstari wa mbele kuhakikisha hii miradi inafaulu.....maana yeye kwa kuwa hapo kati atakua anatafuna bila kufanya kazi.
Ni kwa vile huijui Congo kwa undani ukiangalia sehemu ya Congo ambayo ina amani na ina kila aina ya natural resources ni Eastern Congo hii northern Congo ni sehemu ya consumer goods sasa tulia tukufundishe wewe nyangau iko hivi kwenye Transport Economy kama utafanya transport from Point A to be labda na containerlized cargo utapata profit na cost itakuwa chini kama utakwenda na mzigo na utarudi na mzigo sisi tunapambana na Eastern Congo kwasababu tukipeleka labda machinery za kuchimba chochote kile tukiwa tunarudi kutoka Congo tunarudi na cargo so transport between dar and eastern congo will be cheap and profitable instead ya wewe unaenda na cargo ukirudi uko bila cargo na bear in mind kama utatumia mtungi wa changaa utatakiwa kulipa rejesho la mchina+other operating cost wakati sisi tuna electrified train hakuna cha kurejesha na cost kama za mafuta hatuna na hapo uchumi wetu utakuwa stable kwasababu hatutatoa more dollars to buy diesel
 
Hizi insha unapoteza muda wako kuziandika maana zimeandikwa sana humu miaka mingi sasa lakini nyie ni wale wale tu, yaani ile kwamba tunapata cargo za DRC, nchi ambayo iko mbali sana hatuna nao mpaka mmoja, hiyo ni ishara ya ushindi kwetu. Na sasa subiri muone tunavyo nyapia nyapia na kukamaata ukanda wote huu.
Tuliambiwa siku 100 za kwanza za Magufuli, uchumi wa Tanzania utakua umetufikia na kutupita, ila leo nikiangalia tunakaribia kuwa mara mbili yenu.
 
Una

Unaposema uchumi wetu unatukaribia mara mbili kwa sector zipi na kwa data zipi tuanze na hilo kwasababu mimi ni mchumi sasa tuanze hapo twende kitalamu kidogo
 
Museveni kwanza ndiye atanufaika sana tukiendelea kufaulu, maana sisi tunataka tuiteke DRC yote na kuitia kwapani, sasa hapo kuwafikia wote yaani DRC, Rwanda na hata maskini mwenzenu Burundi lazima tupitie Uganda, ndio maana Museveni huwa mstari wa mbele kuhakikisha hii miradi inafaulu.....maana yeye kwa kuwa hapo kati atakua anatafuna bila kufanya kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata bomba la mafuta alihakikisha linapita kwenu.

Munachezewa michezo ya kitoto bahati mbaya ninyi ni vichwa maji ndo hamuelewi haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kuwa mpumbavu wewe unasema una uchumi mkubwa kuliko jirani yako wakati hata kufanya development infrastructure ya $1.9 billion huwezi na unasema vipi una uchumi mkubwa wakati unaelekea kushindwa ku service deni lako hizi Data mnazopika ni mbaya sana

Nimekutuma huko ukabishane na watu wa nchi yako walioelimika zaidi yako wakupe darasa kwa lugha utakayoelewa, maana humu utanichosha bure kama wenzako ambao huwa tunajaribu kuwaelimisha kwa factual data lakini ving'ang'anizi waliokubuhu, very thick.
 
Jibu hoja unasema unatuzidi uchumi mara mbili wakati juzi tuu IMF imekupa onyo kuhusu Deni lako la ndani na wamesema ni dhahiri mtashindwa kulipa pensions ndani ya muda mfupi
 
Mara nyingi sana Rwanda walijaribu kupitisha mizigo yao kupitia bandari ya Mombasa lakini ilikuwa inashindikana kwa sababu ya gharama za usafirishaji kuwa kubwa hali iliyowalazimu kubaki Tanzania. Sasa Rwanda wameamua kuanzisha bandari kavu Kenya wakitarajia kutumia reli mpya ya Kenya kuona kama wataweza kupunguza gharama za usafirishaji.

Hii inatoa ishara gani kwetu, je Rwanda wameamua hivyo baada ya kuona msimamo wetu juu ya corona ni hatari? Au rais wetu na Kagame hawako na good terms baada ya JPM kutokubali ushauri wao? Au wameona tunatumia bandari kama fimbo baada ya kikao cha majadiliano ya juzi Tanzania kuwashika pabaya?

Chanzo Rwanda secures dry port in Kenya
 
Kg ni mtu anaetapatapa ajui ashike lipi aache lipi,Mara agombane na M7 hio bandari kavu ni lzm apitie Uganda hapo itategemea mahusiano yao
 
Sasa hivi corona imewaunganisha wameweka ngumi kando, ikiisha watalianzisha tena
 
KUNA MTU ALIBAMBIKIWA MA BOMBARDIER AKASETIWA NA KAGAME AKAYANUNUA KWA KUKURUPUKA
 
Huyo kagame ametoka Kwenye ugomvi na mseven juzi
Mwaka juzi akizinguana na Kenyatta

Ki Nchi chenyewe km mkoa wa kagera ni mkubwa
 
Back
Top Bottom