Rwanda: Vifo vilivyotokana na makombola kutoka DRC vyaongezeka

Rwanda: Vifo vilivyotokana na makombola kutoka DRC vyaongezeka

Kwanini wasimtungue huyo Fidodido Kagame.
Fido dido.. umenikumbusha mbali sana🤣
1000021704.jpg
 
Si nilikwambia vyuma vilitua Rwanda,ukadai stray bullet, mortar sijui makalio gani
Kwasababu wewe uko huko unaweza ukawa unajua zaidi mimi ni Mtanzania mchangiaji wa JF.

Next time usinifunze kuhusu Makabila ya Tanzania.
 
Uvamizi wa Rwanda/M23 huko Goma umesababisha raia wa Drc wapatao 700 kupoteza maisha.

Uhalifu wa kivita huu


Yoda
Palestina wanawake na watoto ndio walikuwa wanatajwa sana kuuwawa na lsrael vipi congo katika hao 700 wanawake na watoto mbona hawatajwi au sio ndugu zetu kiimani nini? Na ile free Palestina siioni kwa wenzetu wacongo yaani hata wale jamaa wa middle east kimya kama aliwausu ila likija la kwao sisi weusi huku kulupu chupi mkononi na dera kulaani utafikiri shangingi limeibiwa buzi linavyo umia. Sisi tumelogwa sio bure. Mungu awasaidie na kuwa pambania wacongo man naumia sana wanavyo umia uku dunia ikiwa kimya na matamko ya hapa na pale bila hatua stahiki kuwaokoa.. Free congo
 
Ndiyo,na wapo wengi tu tabora,unamuona kagoma wa simba,ana damu ya kitusi, tabora nina ndugu wengi akina kagoma,watusi
I usually tell Tanzanians, Tutsis were an integral part of pre-colonial Tanzania. Some of them were subjects of Nyamwezi Confederacy, some Buha Empire and Some Bunyoro Kitara.​
 
I usually tell Tanzanians, Tutsis were an integral part of pre-colonial Tanzania. Some of them were subjects of Nyamwezi Confederacy, some Buha Empire and Some Bunyoro Kitara.

Ignorance is so cancerous.​
Ukiwa tabora watutsi wengi tu,wanafuga na kufanya kazi serikalini,hawali kuku wala mayai
 
Facts about DRC conflict:

One, there are almost 8 million people in Kivu. 5 million are Bantu Congolese, 3 million are Hutu Refugees and 70,000 are Tutsi Congolese, or Nyamlenges.

So, do you mean that hutus are not bantus?
Or rather, among the 5 million bantu Congolese, are there no hutus?
 
Tunayiombeya Rwanda impige masasi DRC.wananchi wa Rwanda tunataka kujenga Rwanda yetu
 
Kula chuma hicho kuhusu wanyamwezi,wasumbwa ni wanyamwezi,unabishia hadi nyaraka za serikali,kunguni
Wewe ni mbishi tu halafu unajipa likes unajipamba na ID zako nyingine.

Hujui chochote kuhusu Wasumbwa nimekuuliza kuhusu lugha ya Kisumbwa na Kinyamwezi ni moja?!

Umeshindwa kunijibu umebakia kurukaruka huku na kule.

Hujui chochote zaidi ya copy and paste kwenye hiyo issue ya Kabila la Wasumbwa.

Abhasumbwa tuimanye kubhusere...👈hichi ni Kinyamwezi?!
 
Inavosemekana. Kwa waandishi wa habari waliofika zilipokuwa silaha zilizokuwa zikimimina risasi na makombola, na kwa taarifa za nyaraka zinazoonesha mpango wa DRC kuivamia Rwanda, ni kwamba haikuwa bahati mbaya, walikusudia(FARDC,Wazalengo, FDLR,SADC na Burundi)
SADC sio wajinga waivamie Rwanda japo wanajua chanzo Cha mgogoro ni Rwanda
 
Siyo watanganyika bali walikua wakitoka kwao kwenda kufanya ushamba boy tabora
Regardless, many of them became Tanganyikans after independence. As of now, it's futile to distinguish some Nyamwezi and Sukuma from Tutsi. Nyerere made sure Tanzania becomes one massive ethnic cocktail.​
 
Regardless, many of them became Tanganyikans after independence. As of now, it's futile to distinguish some Nyamwezi and Sukuma from Tutsi. Nyerere made sure Tanzania becomes one massive ethnic cocktail.​
Ukifatilia kwa karibu, utagundua ukabila ni kisingizio tu. Pale kuna ubavu wa watu wazito,wasiotaka kuonekana, wanaojikinga kwenye ukuta wa watu furani, wao wasionekane, ila ndo wanakoleza moto kwa masrahi yao. Kuanzia watu binafsi, makampuni na mataifa.

Mfano hai: siku za nyuma ulisikia Umoja wa Ulaya ukitaka kuipa serikali ya Rwanda,msaada wa Euro milioni 22. Msaada huu, ulikuwa tu kwa ajili ya jeshi lililopo Mozambique. Badhi ya nchi zikagoma usitolewe, badhi zikasisitiza utolewe. Ikasemekana: Uingeleza ilikuwa na dili lake la wakimbizi haramu, ilitakiwa inyenyekee. Ufaransa, wana mradi wa Gesi huko, na jeshi la Rwanda ndo linalousimamia. Raisi wa ufaransa huyo huyo, ndo anaesimama mbele za umati wa watu na kudai Rwanda iondoe majeshi yake. Apple, kampuni ya mmarekani. Sasa hivi yeye na raisi ni pete na kidole. MAdini ya Congo, ndo hayo hayo yanayomuingizia. Je,afunge kiwanda? Raisi huyo unadhani ana undugu na mwafrika? Kila aliyepo kule, yupo kimasrahi tu.
 
Back
Top Bottom