wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Watageuzwa kua 'NYAMISHOZINIGA'Haswa watu wa kule "NYAMIRAMBO".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watageuzwa kua 'NYAMISHOZINIGA'Haswa watu wa kule "NYAMIRAMBO".
Hahahaha...Mkuu Nyamirambo ni eneo halisi, ambalo kuna waislamu wengi pale Kigali.Watageuzwa kua 'NYAMISHOZINIGA'
Uhuru kupiga mikelele hovyo..Sasa kama wanalijua hilo kwann wanaingilia UHURU wa wengine.
Kwani hio adhana imeanza enzi ya kagame.
Mtu anaekaribia kufa huwa hakosi sababu.
Ye kama ni mbabe azuie kifo.
Bashite kaua watu halafu eti anaogopa kufa eti kuna watu wanamuwinda
Udini unawasumbua, nimekutana na mada nyingi zimeanzishwa, sasa sijajui lengo lengo nini ilhali waislamu wapo kwenye mfungo.
Heshimuni imani za wengine
C uhamie Rwanda sasa ,unasubiri niniSafi sana Rwanda tuige
Saudia wenye diniyao wameweka restriction kwenye maspika sababu ya kelele. Hiyo alama unayosema hajaweka Mungu ila ni Binadam tena kwa makusudi yake mwenyeweEnyi mlio amini! Msivunje hishima ya alama ya Dini ya Mwenyezi Mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa Makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea Nyumba Takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za Mola wao Mlezi. Na mkisha toka Hija yenu basi windeni. Wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika Msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui. Na saidianeni katika wema na uchamngu. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. qur- an 5:2
Kelele ni sauti zisizo na mpangilio.
Suala sio usingizi suala ni adaptability inayotokana na tolerence, ukiji adapt unaweza kupata huo usingizi popote, mtu anaweza kulala/kupata usingizi hata akiwa kasimama majini sembuse kulala kitandani na asumbuliwe na sauti aliyoizoea??!!, mimi nimekupa mifano hai lakini hutaki kunielewa kwadababu u mkaidi sana, juu ya adaptability ya mtu mimi ninaishi kando ya miongoni.mwa barabara the busiest about 15-20metres from which my house situates, mwanzoni
Nilipokuwa mgeni nilipata shida kidogo lakini leo hata sisumbuki na milio ya magari yanayopita 7/24 kwasabu nimeji adapt na mazangira hayo ni hivyo hivyo kwa sauti ya adhana ambayo inadumu kwa kama dk 1 hivi na kidogo.
Wazungu ndio wameendelea kuliko sisi katika mambo mengi mbona hatujawasikia wakipinga adhama au kengele za makanisani nk,??, ni ma atheists ndio wenye tabia za madai ya kupenda usingizi na starehe za kimwili ndio wanaopinga mambo ya dini.
Unasema ulitaka kuingia uisilamu sababu ya sheria ya kuoa wake wengi!!!, --- wewe ni kituko kwelikweli kwani waisilamu wamelazimishwa kuoa wake wengi?? Ukitaka kuoa mke zaidi ya mmoja hiyari yako na utawajibika kufuata masharti yake pia.
Bwana Yesu hakuoa sasa wewe fundisho la kuoa umelipata wapi?? si bora ungeishi kama yeye kuliko kufuata fundisho la kiislamu la kuoa, Isitoshe ile hamu ya ngono iliyotaka kukusukuma uingie uislamu imepotelea wapi?? au sasa hivi unaendekeza michepuko??!!🤣
Uislamu sio dini ya wasaudia,uislamu ni dini ya mwenyezi Mungu(ALLAH S.W.T)...wasaudia ni binaadamu kama sisi uislamu sio mali yao.Saudia wenye diniyao wameweka restriction kwenye maspika sababu ya kelele. Hiyo alama unayosema hajaweka Mungu ila ni Binadam tena kwa makusudi yake mwenyewe
Kwenye mfungo si waislam peke yao. Yaliyopo hapa ni taarifa tu yenye kuambatana na fursa.
Wamepiga marufuku adhana , lakini miziki kwenye mabaa vinaruhusiwa c ndio ?
Anaweza kukubali kwa sababu serikali sio mali yake binafsi.Population za 'waamini' wa Mtume kwa Rwanda ni ndogo kuliko Tz, isitoshe Mama ni wa huku 'kwetu' hawezi kukubali huo ujinga.
الحمد الله: وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper
Usingizi kwa mwanadamu ni muhimu sana na inashauriwa alale masaa manane kwa siku, kuna watu wanaumwa, kuna watoto, kuna wazee kuna watu wanapitia mambo mengi kimaisha, unawakurupusha na kiarabu kwenye spika alfajiri yote hiyo na mikanzu yako, huo ni udhalimu na unyanyasaji wa hali ya juu....hehehe
😄😄😄😄 thnxs mkuu.Hahahaha...Mkuu Nyamirambo ni eneo halisi, ambalo kuna waislamu wengi pale Kigali.
Jamaa kafunga makanisa zaidi ya 6,000 sembuse misikiti tu.Wamepiga marufuku adhana , lakini miziki kwenye mabaa vinaruhusiwa c ndio ?
Kwel serekali ya Rwanda ni ya kishenzi
Usingizi ndio Umeona kitu cha maana kuliko swala???!!,, hebu msikie Bwana Yesu akikupa nasaha kwani hata yeye hakuona usingizi ni kitu bora kuliko swala🤣
View attachment 2189628
Usingizi ni muhimu usinipigie makelele ya kiarabu alfajiri.....
Ile ni maliyao ndio maana kila mwaka lazima watu waende kule kuhiji na wanalipishwa hela ya kuingia kule. Wao ndio wanadictate nini ni halali na nini ni haram kwa waislam wote DunianiUislamu sio dini ya wasaudia,uislamu ni dini ya mwenyezi Mungu(ALLAH S.W.T)...wasaudia ni binaadamu kama sisi uislamu sio mali yao.
Kipindi cha mtume kulikuwa na spika ?Adhana ni sehemu miongoni mwa sehemu katika ibada ya swala ya kiisilamu, Adhana ni Lazima itolewe kwa sauti na Adhana haina mbadala kwa njia yoyote kwani yenyewe inabeba ujumbe wa kiroho unaomuhamashisha mtu aache mambo mengine na akaswali, adhana ni wito wenye "spiritual admonitions" and can't be replaced by anything else.
Adhana mbali na kuamsha na kuwataarifu wenyeji juu ya muda wa ibada lakini pia inawajulisha wageni kwamba msikiti upo wapi na hivyo kuwaunganisha Wageni waisilamu na ndugu zao wenyeji wa kiislamu katika Swala nk, Uisilamu ni zaidi ya kuswali msikitini na kuondoka.
Shida iliyopo Rwanda ni 90+% ni Christians na wachache waliobaki ni Muslims hivyo utaona nguvu ya Udini imeshawishi kuwepo na hilo katazo hii ni tofauti na Tz ambapo kuna angalau 50/50% Muslims na Christians ambapo tumejengwa kuvumiliana katika masuala ya imani.
Kuzuia utoaji wa adhana ni pigo katika imani ya dini ya kiisilamu.