Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Hekima imatumika.
Sijui kwanini imani za watu iwe kero kwa wengine.
Sijui kwanini imani za watu iwe kero kwa wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda rwanda ukayaongee haya kwenye msikiti tembea na PA kabisa..kisha utuletee mrejesho.Maajabu ya dunia, nchi ya walevi nao wanajua eti sauti isizidi decibel 55 , vipi bado hawajapokea wakimbizi wa Romania na Afghanistan walioko U.K ?
Misikiti ilikuepo na utaratibu huo kwa zaidi ya miaka 100 hapo Rwanda, na ndio ilikuwa kimbilio la kuwahifadhi wahanga katika mauaji ya kimbari ya mwaka 94 leo imekuwa inawapigia kelele kwa adhana ya dakika 3 au sio ? Vimsaada vya Paundi milioni mbili ndio vinawatoa ufahamu , haya bana.
Huna akiliMimi nalaani kitendo cha mamlaka kuingilia mambo ya msingi ya dini yoyote, tuache dini na wanadini wafanye dini na wanasiasa wafanye siasa, tuache waumini waishi kwa harmony na tolerence bila kuvunja amani, mamlaka kuingilia mambo ya msingi katika dini ni KIZUNGUMKUTI (vicious cycle) kwani hatujui ni kitu gani kitafuata baada ya hapo, inawezekana mamlaka yakaanza kuwachagulia waumini viongozi au hata kuamua kupingana na maandiko ya badhi ya vitabu vya dini nk, hiyo ni hatari.
Adhana ni useeYaani wewe unifundishe mimi maana ya adhana?
Aisee.. mimi wapo mtaani kwangu na palivyo patulivu yaani kila alfajiri watoto wangu wanaamka kinyume na mapenzi yao, lile speaker linavuma siyo mchezo na inakera hakuna mfano.
Hao wa wazenji ni makumKwahiyo Rwanda wameiga zanzibar??
Kwa kweli Rwanda wanajielewa sana kwa hili nawaunga mkono hata Yale makanisa yenye kukesha nayo yafungiwe kupiga kelele Mungu haabudiwi kwa makelele
Hehehehe Huyo mtume nimchukie wa nini wakati hanihusu, simuabudu wala simjui na sina mpango wa kumjua na sitegemei ije siku nimjue, ila ninachokisema acheni kusumbua watu na mambo yake, wakati mnamuabudu fanyeni bila kupigia watu makelele alfajiri, bora hata mchana lakini sio mida ambayo watu wamelala.
Hehehehe Huyo mtume nimchukie wa nini wakati hanihusu, simuabudu wala simjui na sina mpango wa kumjua na sitegemei ije siku nimjue, ila ninachokisema acheni kusumbua watu na mambo yake, wakati mnamuabudu fanyeni bila kupigia watu makelele alfajiri, bora hata mchana lakini sio mida ambayo watu wamelala.
We lete mzaha tu.....uislamu ni dini ambayo huwa haichezewi hata siku moja.[emoji1][emoji1][emoji1] Takbiiiir Takbiiiir Takbiiiir
Binadamu sio wewe mtu tunatakiwa tuishi kwa tolerences, kama hakuna torelences jamii ndio utasikia wengine wakiuana kwa chuki za ukabila nk, dini zipo za aina nyingi kama yalivyokuwa makabila ni uvumilivu na masikilizano ndani ya dini ndio unajenga mahusianp mema.
Njoo Tz ujifunze hizo tolerences na harmony, mimi ninapoishi majirani zangu Wote ni dini zingine na katika eneo letu kuna misikiti na mbele kidogo kuna Kanisa Katoliki, ikifika alfajiri ni Adhana na ikifika saa 12 asubuhi ns jioni ni Kengele ya kanisani tunaishi hivyo na watoto wetu wameishi hivyo na wala hakuna shida we are accustomed to that situations all these times and no strives , akili n nature ya binadamu ipo katika kuji tune na ku adapt mazingira, kama.nyie huko mmeshindwa ku adapt mazingira ya aina hiyo je mtaweza ku adapt.mazingira ya kuishi bila ukabila??!!.
In this case Tz is a highly blessed country.
الحمد لله.
Enyi mlio amini! Msivunje hishima ya alama ya Dini ya Mwenyezi Mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa Makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea Nyumba Takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za Mola wao Mlezi. Na mkisha toka Hija yenu basi windeni. Wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika Msikiti mtakatifu kusikupelekeeni kuwafanyia uadui. Na saidianeni katika wema na uchamngu. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. qur- an 5:2Hapo umeongea upupu kabisa. Hakuna dini ya Mnyezi mungu. Mungu hana Dini, hizi ni Taratibu za kibinadam wamejiwekea
Bro umenichekesha Sana kwa kweli. Mahubiri ya washikaji yanavitisho balaa.Majengo ya misikiti inajulikana na hakunasababu ya makelele. Watu wamelala unasikia kiarabu alafu wanaanza kutishia Mara sanda, mara Kaburi hadi unajiuliza unaenda mzimuni au
Karibu kitimoto na konyagi ndg.We lete mzaha tu.....uislamu ni dini ambayo huwa haichezewi hata siku moja.
Adhana si kelele na wala hailingani na kengele. Kama madhumuni ni kuzuia kelele basi pigeni marufuku kengele na miziki,Sisi msituguse.Waislamu Simu wanazo waweke alarms ziwaamshe
Waislamu Walichekelea walokole walipopigwa marufuku kutumia spika
Na katoliki nao waache kugonga kengele zao zinaleta kelele
Pia bar marufuku hiyo wapewe na mkutano ya kisiasa iwe marufuku kutumia spika
Na walevi nao poa wanapenda sana kelele za kwny ma bar,zinawapa stimu za kutafuta pesa kwa nguvu.