Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Sasa kama wanalijua hilo kwann wanaingilia UHURU wa wengine.
Kwani hio adhana imeanza enzi ya kagame.
Mtu anaekaribia kufa huwa hakosi sababu.
Ye kama ni mbabe azuie kifo.
Bashite kaua watu halafu eti anaogopa kufa eti kuna watu wanamuwinda
Uhuru kupiga mikelele hovyo..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udini unawasumbua, nimekutana na mada nyingi zimeanzishwa, sasa sijajui lengo lengo nini ilhali waislamu wapo kwenye mfungo.

Heshimuni imani za wengine

Kwenye mfungo si waislam peke yao. Yaliyopo hapa ni taarifa tu yenye kuambatana na fursa.
 
Saudia wenye diniyao wameweka restriction kwenye maspika sababu ya kelele. Hiyo alama unayosema hajaweka Mungu ila ni Binadam tena kwa makusudi yake mwenyewe
 

Usingizi kwa mwanadamu ni muhimu sana na inashauriwa alale masaa manane kwa siku, kuna watu wanaumwa, kuna watoto, kuna wazee kuna watu wanapitia mambo mengi kimaisha, unawakurupusha na kiarabu kwenye spika alfajiri yote hiyo na mikanzu yako, huo ni udhalimu na unyanyasaji wa hali ya juu....hehehe
 
Saudia wenye diniyao wameweka restriction kwenye maspika sababu ya kelele. Hiyo alama unayosema hajaweka Mungu ila ni Binadam tena kwa makusudi yake mwenyewe
Uislamu sio dini ya wasaudia,uislamu ni dini ya mwenyezi Mungu(ALLAH S.W.T)...wasaudia ni binaadamu kama sisi uislamu sio mali yao.
 
Kwenye mfungo si waislam peke yao. Yaliyopo hapa ni taarifa tu yenye kuambatana na fursa.

الحمد الله: وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ

And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper
 

Dini zote zina maandiko kama hayo kwa jina la kutoka kwa Mola yakivutia kwao ndugu. Nothing special.
 


Usingizi ndio Umeona kitu cha maana kuliko swala???!!,, hebu msikie Bwana Yesu akikupa nasaha kwani hata yeye hakuona usingizi ni kitu bora kuliko swala🤣

 
Wamepiga marufuku adhana , lakini miziki kwenye mabaa vinaruhusiwa c ndio ?

Kwel serekali ya Rwanda ni ya kishenzi
Jamaa kafunga makanisa zaidi ya 6,000 sembuse misikiti tu.
 
Usingizi ni muhimu usinipigie makelele ya kiarabu alfajiri.....


Haya Ungependa upigiwe kelele kwa lugha ipi??---kimombo??

Kelele za magari, pikipiki, honi za magari, miziki,, kengele nk, usiku kucha haziwasumbui isipokuwa sauti ya Adhana kwa dk 1 or so??!!

Punguzeni chuki 🤣🤣
 
Uislamu sio dini ya wasaudia,uislamu ni dini ya mwenyezi Mungu(ALLAH S.W.T)...wasaudia ni binaadamu kama sisi uislamu sio mali yao.
Ile ni maliyao ndio maana kila mwaka lazima watu waende kule kuhiji na wanalipishwa hela ya kuingia kule. Wao ndio wanadictate nini ni halali na nini ni haram kwa waislam wote Duniani
 
Kipindi cha mtume kulikuwa na spika ?

Nionyeshe aya au hadith yeyote katika uislamu inayosema lazima adhana ifanywe via speaker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…