Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Dunia sasa imestaharabika hivyo kwa rwanda kuzuia uharibifu wa mazingira wa sauti nafikiri dini zetu zinatakiwa ziendae na wakati wa sasa maana swali muhimu la kijiuliza ni: je adhana ni muhimu saidi ya SWALA ?

Hujui unachokiongea, siku ukijaaliwa kuona ukweli na kutoka katika ujinga kwa maana ya kusilimu, utajiona kweli ulikua umepotea
 

Sikiliza dada, adhana zitaendelea kuwepo, Swala zote adhuhuri mpaka alfajiri, na kama mnajiamini kweli fanyeni kuzuia adhana muone, labda sio sisi waisilamu tuwakalie kimya, na mlivyo na idadi ndogo hahhhaaa mtakipata mkitakacho
 

Maneno mengi hayana maana yoyote, udini unawasumbua sana wafuasi wa paulo

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 

Mbwa hiyo ni nature yake, magari ni ya wanaosadia kiuchumi, ila nyie na hicho kiarabu chenu na mikanzu na ndevu hapana.
Mdengereku unabwatuka kiarabu kwenye spika alfajiri yote hiyo unawaambia watu nini.....hehehe!!!
 
Jaribu kuzuia au kulalama pembeni, unadhani waislamu wamelala usingizi eti!!! Kama ni kidume kweli fanya hivyo, na sio kujivimbisha mitandaoni

Watu kama ninyi mnaotusumbua, enzi za ertugrul or Osman washawafyekelea mbali😁
Ukiambiwa uislamu na ugaidi ni kitu kimoja yani muislamu kuwa gaidi ni rahisi zaidi kuliko mtu wa imani nyingine utabisha?
 
Maneno mengi si ni ya ukweli mtupu.
Adhana haina mantiki yoyote hata kwa tafsiri yake ukiachana na kusumbua watu wengine.

Mi nakuambia ingekuwa Dini ya Kiislamu inatamka ibada zake kwa Kiswahili ingekuwa ni vichekesho tu.

Mnachoogea ni tofauti na kinacho dhaniwa.
Wa fikiria mtu ana amka asubuhi na kupiga kelele;

Allah mkubwa... Allah mkubwa... Allah mkuwaaaa...!

Huko ndio kuamshana au kumtajataja Allah bila sababu ?

Imeandikwa
" Usilitaje Bure Jina la Mungu Wako "

Ni vipi Allah anakubali kuimbwa imbwa mchana mzima kwa kutajwa tajwa jina lake bila sababu ya msingi ?

Wakati Mungu wa Ibrahimu na Musa anakataa kutajwa jina lake bila sababu ya msingi.

"Kumbukumbu la Torati 5:11
Usilitaje bure Jina la Bwana, Mungu wako; maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia, mtu alitajaye jina lake bure."


Kama nilivyosema kule Nyuma kalibu kila alichokataza Mungu wa kwenye Biblia ndicho Allah na Muhammadi wanasisitiza kukifanya.

Amri Kumi zote wamezivunja kwa kusapotiana wao kwa wao.

Tunakumbushana kwa nia njema tu ya kutakiwa kutafakari utamaduni wenu.
 
Muddy alikuwa ana microphone na speakers wakati akiadhini?
 
Mbwa hiyo ni nature yake, magari ni ya wanaosadia kiuchumi, ila nyie na hicho kiarabu chenu na mikanzu na ndevu hapana.
Mdengereku unabwatuka kiarabu kwenye spika alfajiri yote hiyo unawaambia watu nini.....hehehe!!!


Kumbe Shida ni kiarabu, kanzu na ndevu??--- unataka tuongee kimombo, tuvae suti au ngozi na tunyoe ndevu ndipo uikubali hiyo adhana??!

ايكم الهسد فانه يقل الهسنة كما النار تقول الهطب.
 

Yeah cha nini Msukuma unanipigia makelele ya kiarabu.
 
Muddy alikuwa ana microphone na speakers wakati akiadhini?


Yesu naye alipokuwa anahubiri injili alikuwa na microphone na Maspika na Drone za kuchukukia picha kama ya hawa wahubiri wa injili wa leo??!!

Yesu alisema; "Toa boriti jichoni mwako kabla hujatoa kibanzi jichoni kwa mwenzako"
 
Mimi ni Mkristo adhana haina shida yeyeto nje ya chuki tu kwanza ni kitu cha dakika chache tu. Kuita waumini wawahi ibadani. Pia wezi na wachawi umaliza shughuli zao kabla ya adhana Ili wasiingiliane na mida ya shughuli za wanadamu.
Athari kimazingira haina?
Mimi nimelala zangu sina habari nao wananiamsha saa 11 huo sio usumbufu?

Unajua hayo mavipaza sauti yameanza kutumika lini?
 
Yeah cha nini Msukuma unanipigia makelele ya kiarabu.


Wewe ni mmasai wa kakamega au Dadamega??--- nataka nikupigie kelele kwa kimasai si hupendi kelele za kiarabu!!🤣
 
Yesu naye alipokuwa anahubiri injili alikuwa na microphone na Maspika na Drone za kuchukukia picha kama ya hawa wahubiri wa injili wa leo??!!

Yesu alisema; "Toa boriti jichoni mwako kabla hujatoa kibanzi jichoni kwa mwenzako"
Mimi ni Muhindu zungumzia imani yangu.
Alafu uniambie wakati vipaza sauti vinaanza kutumika 1930 miskitini Muddy alikuwa mskiti gani akiadhini na kama hakuwepo wakati yupo aliadhini kwa mtindo gani?
 
Mimi ni Muhindu zungumzia imani yangu.
Alafu uniambie wakati vipaza sauti vinaanza kutumika 1930 miskitini Muddy alikuwa mskiti gani akiadhini na kama hakuwepo wakati yupo aliadhini kwa mtindo gani?


Huyo Muddy ndiye nani??
 
Wewe ni mmasai wa kakamega au Dadamega??--- nataka nikupigie kelele kwa kimasai si hupendi kelele za kiarabu!!🤣

Kwanza makelele sitaki, ila kama lazima basi yasiwe ya kiarabu, huwa mnakera sana na hicho kiarabu, nimewahi kuishi katikati ya misikiti miwili huko Dar, yalikua yanashindana kufyatua kiarabu alfajiri yaani nilikua nawahurumia sana watu wenye watoto wachanga nyumbani, hehehe yaani bure sana.....
Utakuta mtu mwenyewe Msukuma ameng'ang'ania kupigia watu makelele kwa Kiarabu.
 
Huyo Muddy ndiye nani??
Muddy ni kifupisho cha jina Muhammad au Mohammed usijitoe ufahamu haya jibu swali la msingi

Wewe utakuwa dulla tu maana majina yenu ni kichekesho katika waislamu 200 130 utakuta wanaitwa Abdalla na 102 wanashea hadi ubin wa baba Abdalla Abdool 😝😝
 
Rwanda ile laana ya kuuana hovyo inawatafuna sana wasipokua na hofu ya kweli na Mungu mambo ya vita vita kujirudia ni rahisi sana..Rais anakaza watu wasiwe na maadili mema hakuna Nchi hapo..
 
Usipende kubishana ipi dini bora na ipi sio bora dini zote zimekuja na Meli na mitumbwi Waafrika walikua hawana dini tuishi kwa kuamini na kwa upendo tuliorithi kutoka kwa mababu zetu baasi lakini ukimuona mtu yupo busy kuelezea ubora wa dini yake kupitia vifungu jua anapotea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…