Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Mkuu si kweli kuwa hiyo hadithi inaumbua waislam ni kama ilivyo kuna machapisho mengi tu mtandaoni yakieleza Injili ya Mary sijui na nini ili tu kuonesha kuwa Yesu aliowa na yalioandikwa kwenye Biblia si kweli....tukijenga sana imani kwa kila tunachopata mtandaoni bila kujiongezea marrifa zaidi tunapotoka! siko kila uambiwalo ni sahihi...ila linakuwa sahihi kama tu ndio unalotaka kusikia kwa sababu zako mwenyewe
Unajua kwa suni Muslim Kuna vitabu vingapi vya Hadith ambavyo vimepitishwa vitumike?
 
Nakupiga na kitu kizito na chenye ncha , iwe fundisho kwako na Msonjo

Sasa mjibu kwa nini Umar mapendekezo yake ma 3 yaliingizwa kwenye Koran , mambo ya dhaif na sahih weka pembeni

Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.' So verse the same as I said was revealed." (66.5).
Eti hiki ndio kitu kizito[emoji23][emoji23] yaani wewe unifundishe mimi hadhithi za Mtume swallallahu allaihi wasallam!!!!?

Sawa, nakuja kukupa darsa.
 
Umesikia aibu kubwa mno , Hadith dhaif Yani imenionesha mlivyo watupu kwenye dini yenu ,

Acha niwe scholar wenu tu hakuna namna ntakufundisha kwa lazima
 
Sawa, nakuja kukupa darsa.
😂 😂 😂😂😂 Hadith sio dhaif tena , sasa unataka kuja kutoa darsa

Kuna msemo unasema ukiwa mkweli hauitaji kuwa na kumbukumbu kwa uliyosema
 
Nakupiga na kitu kizito na chenye ncha , iwe fundisho kwako na Msonjo

Sasa mjibu kwa nini Umar mapendekezo yake ma 3 yaliingizwa kwenye Koran , mambo ya dhaif na sahih weka pembeni

Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.' So verse the same as I said was revealed." (66.5).
Ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi umeacha maneno haya "Narrated 'Umar (bin Al-Khattãb) My Lord agreed (accepted my invocation) with me in three things" Narrated Umar ina maanisha " amesimulia Umar" na hayo kwenye mabano "accepted my invocation" yana maana kuwa "alikubali maombi yangu"...hivi ninyi huko kwenu si mnasema Mungu huwa anajibu maombi, sasa unaona ajibu gani Mungu huyo kujibu maombi ya Umar....Yesu alimuomba Mungu amfufue Lazaro...Mungu akamfufua..kuna ajabu hapo....Joshua alimuomba Mungu asimamishe Jua na Mwezi na Mungu akamjibu..ajabu iko wapi....Musa alimuomba Mungu awaokoe wana Israel na Jeshi la Farao...Mungu akamuagiza apige fimbo yake kwenye maji ya bahari ya Sham nayo ikajigawa...Kwa nini iwe ajibu kwa Umar kujibiwa? kuwa yameingizwa kwenye Qur'an ndio ni kama hayo niliyosema yalivyoingizwa kwenye Biblia!
 
Mokiti sio kila hadith kwenye Muslim and Al Bukhari ni sahih...ila hivi vitabu vinakubalika kwa kuwa vimekusanya hadith nyingi sana na nyingi ya hizo ni Sahih....lakini hainaanishi kuwa kila hadith humo ni sahih...

Hadith ghafla imekuwa sahih na unaelezea 😂 😂😂
Ukiona Mimi nimeweka rejea usipoteze mda kubishana nayo, nasoma maelfu ya Hadith na naangalia kama umepitishwa sahih au la

Yohane 8:44 BHN
Nyinyi ni watoto wa baba yenu Ibilisi na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake....
 
Kitabu mmekiita Sahih alafu ndani yake Kuna uongo pia 😂😂😂😂
 
Mkuu sijasema kuwa ni sahih nimekujibu kwa sababu ulihitaji kujibiwa....kuna thread nyingine nimekuandikia pia kukujuza kuwa sio kila hadith iliyoko kwenye Bukhar au Muslim ni sahih
 
Kitabu mmekiita Sahih alafu ndani yake Kuna uongo pia 😂😂😂😂
Sio Uongo ni Dhaifu kuna tofauti kati ya hayo mawili..kuwa dhaifu ni kuwa haina ushahidi wa kutosha kuifanya kuwa sahihi
 
Yohane 8:44 BHN
Nyinyi ni watoto wa baba yenu Ibilisi na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. Yeye alikuwa muuaji tangu mwanzo; hana msimamo katika ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake...
Hii sasa inawahusu ninyi maana mimi simjui huyo Yohane
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23] Hadith sio dhaif tena , sasa unataka kuja kutoa darsa

Kuna msemo unasema ukiwa mkweli hauitaji kuwa na kumbukumbu kwa uliyosema
Wapi nilisema hadhithi dhaifu?
 
Sio Uongo ni Dhaifu kuna tofauti kati ya hayo mawili..kuwa dhaifu ni kuwa haina ushahidi wa kutosha kuifanya kuwa sahihi
Kwa nini msikiite kitabu Sahih Dhaif 😂 😂😂 Kazi nimemaliza msirudie tena kusema uongo , jifunze kweli na kweli iwe ndani yako
 
Nakupiga na kitu kizito na chenye ncha , iwe fundisho kwako na Msonjo

Sasa mjibu kwa nini Umar mapendekezo yake ma 3 yaliingizwa kwenye Koran , mambo ya dhaif na sahih weka pembeni

Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.' So verse the same as I said was revealed." (66.5).
Miongoni mwa hekma za Quran kuteremshwa kwa lugha ya kiarabu, ni kwa sababu lugha ya kiarabu imekamilika.

Vitenzi vya kiarabu, vinaminyumbuliko ya aina zote(katika hali zote).Hivyo neno kukubaliana (kuafikiana) katika kiarabu limekuwa katika maana ya wazi isiyo na utata.

Laiti kama tungekuwa tunaijadili hii hadhithi kwa kiarabu wala tusingesumbuana maana, maana yake ipo wazi.

Lakini katika kiswahili/kiingreza neno kuafikiana linauatata.

1.Inaweza ikawa kuafikiana kwa maana wamekaa wakaafikiana kwa pamoja.
2. Kuafikiana kwa maana mawazo ya mmoja kuafikiana maneno ya mwingine, hivyo watakuwa wameafikiana.(coincidence)
Na hii hailazimu hao watu kuwa pamoja, huwenda mwingine yupo mashariki na mwingine magharibi.

Na hii yapili ndio iliyotokea kwa Umar- radhwiyallahu a'nhu- wakati baadhi ya aya zilipokuwa zikiteremshwa.

1.Na kuafikiana ni kwamba: Mawazo ya Umar yalikuwa yakiafikiana na aya za Quran, na sio aya za Quran zilikuwa zikiafikiana maneno ya Umar.

Hivyo huwezi kusema hizo aya ni maneno ya Umar kwa sababu sio maneno ya Umar yayokuwa yakiandikwa.Pia huwezi kusema Allah alichukia mawazo ya Umar.

Kwa sababu Quran ilikuwepo imehifadhiwa katika lauhi-mmahfuudh, na ikawa ikiteremshwa kidogo kidogo kadri alivyokadiria Allah subhaanahu wataa'la kwa hekma zake.

2.kauli ya Umar radhwiyallahu a'nhu- haina maana alikuwa akiafikiana na Allah mubashara, hapana bali alikuwa akiafikiana na maneno yake ambayo ni Quran, ambayo hakuwa akiifahamu kabla ya kuteremshwa, na sio yote bali ilitokea hivyo katika baadhi ya aya tu.

3.Ndio maana unaona hapo katika hadhithi limetumika neno" I wish" kwa maana hakuwa akifahamu aya gani itateremka, hivyo mawazo yake kuafikiana ya aya ilikuwa ni coincidence.

Sasa anayesema kuafikiana(kwa coincidence) = kubaliana = Umar ndio aliyezitunga hizo aya, atakuwa anamatatizo.
 
Usijisumbue na maelezo , wewe na mwenzako mlitaka kudanganya nimewaweka mnapostaili , msirudie tena kusema uongo

Nendeni na msitende dhambi ya uongo tena
 
Wewe ndio unadanganya na sasa tunakonesha uongo wako dhahiri unaanza kuleta vioja!
 
Kwa nini msikiite kitabu Sahih Dhaif 😂 😂😂 Kazi nimemaliza msirudie tena kusema uongo , jifunze kweli na kweli iwe ndani yako
sasa aliyesema uongo ni nani zaidi yako
 
Mkuu si kweli kuwa hiyo hadithi inaumbua waislam ni kama ilivyo kuna machapisho mengi tu mtandaoni yakieleza Injili ya Mary sijui na nini ili tu kuonesha kuwa Yesu aliowa na yalioandikwa kwenye Biblia si kweli....tukijenga sana imani kwa kila tunachopata mtandaoni bila kujiongezea marrifa zaidi tunapotoka! siko kila uambiwalo ni sahihi...ila linakuwa sahihi kama tu ndio unalotaka kusikia kwa sababu zako mwenyewe
Yani inaonesha ulikuwa hujui chochote kuhusu hiyo Hadith ya Umar , kama kitu hujui ni Bora ukasome kwanza ndio uchangie ,
 
Wewe ndio unadanganya na sasa tunakonesha uongo wako dhahiri unaanza kuleta vioja!
Umeziona Aya za Umar , alikuwa anamwambia Muhammad na zinashuka kama alivyosema

Hili tumemaliza , ukimuona mokiti ameweka kitu kuwa makini Sana
 
Back
Top Bottom