Nakupiga na kitu kizito na chenye ncha , iwe fundisho kwako na
Msonjo
Sasa mjibu kwa nini Umar mapendekezo yake ma 3 yaliingizwa kwenye Koran , mambo ya dhaif na sahih weka pembeni
Sahih al-Bukhari 402
My Lord agreed with me in three things: -1. I said, "O Allah's Messenger (ﷺ), I wish we took the station of Abraham as our praying place (for some of our prayers). So came the Divine Inspiration: And take you (people) the station of Abraham as a place of prayer (for some of your prayers e.g. two rak`at of Tawaf of Ka`ba)". (2.125) -2. And as regards the (verse of) the veiling of the women, I said, 'O Allah's Messenger (ﷺ)! I wish you ordered your wives to cover themselves from the men because good and bad ones talk to them.' So the verse of the veiling of the women was revealed. -3. Once the wives of the Prophet (ﷺ) made a united front against the Prophet (ﷺ) and I said to them, 'It may be if he (the Prophet) divorced you, (all) that his Lord (Allah) will give him instead of you wives better than you.'
So verse the same as I said was revealed." (66.5).
Miongoni mwa hekma za Quran kuteremshwa kwa lugha ya kiarabu, ni kwa sababu lugha ya kiarabu imekamilika.
Vitenzi vya kiarabu, vinaminyumbuliko ya aina zote(katika hali zote).Hivyo neno kukubaliana (kuafikiana) katika kiarabu limekuwa katika maana ya wazi isiyo na utata.
Laiti kama tungekuwa tunaijadili hii hadhithi kwa kiarabu wala tusingesumbuana maana, maana yake ipo wazi.
Lakini katika kiswahili/kiingreza neno kuafikiana linauatata.
1.Inaweza ikawa kuafikiana kwa maana wamekaa wakaafikiana kwa pamoja.
2. Kuafikiana kwa maana mawazo ya mmoja kuafikiana maneno ya mwingine, hivyo watakuwa wameafikiana.(coincidence)
Na hii hailazimu hao watu kuwa pamoja, huwenda mwingine yupo mashariki na mwingine magharibi.
Na hii yapili ndio iliyotokea kwa Umar- radhwiyallahu a'nhu- wakati baadhi ya aya zilipokuwa zikiteremshwa.
1.Na kuafikiana ni kwamba: Mawazo ya Umar yalikuwa yakiafikiana na aya za Quran, na sio aya za Quran zilikuwa zikiafikiana maneno ya Umar.
Hivyo huwezi kusema hizo aya ni maneno ya Umar kwa sababu sio maneno ya Umar yayokuwa yakiandikwa.Pia huwezi kusema Allah alichukia mawazo ya Umar.
Kwa sababu Quran ilikuwepo imehifadhiwa katika lauhi-mmahfuudh, na ikawa ikiteremshwa kidogo kidogo kadri alivyokadiria Allah subhaanahu wataa'la kwa hekma zake.
2.kauli ya Umar radhwiyallahu a'nhu- haina maana alikuwa akiafikiana na Allah mubashara, hapana bali alikuwa akiafikiana na maneno yake ambayo ni Quran, ambayo hakuwa akiifahamu kabla ya kuteremshwa, na sio yote bali ilitokea hivyo katika baadhi ya aya tu.
3.Ndio maana unaona hapo katika hadhithi limetumika neno" I wish" kwa maana hakuwa akifahamu aya gani itateremka, hivyo mawazo yake kuafikiana ya aya ilikuwa ni coincidence.
Sasa anayesema kuafikiana(kwa coincidence) = kubaliana = Umar ndio aliyezitunga hizo aya, atakuwa anamatatizo.