Kwahiyo bwana chabuso wewe ndiye umeifahamu dini vizuri kutoka kwa mtume kuliko waislamu woote duniani?
Au haya maneno yako unayaegemeza wapi?
Muhammad sio mpinga Ukristo,Katika Quran Yesu katajwa mara 25,Muislam anatakiwa kumsalia Yesu aka Isa kila anapotajwa.."Allah na Muhammadi ni Wapinga Kristo dhahiri kabisa waache kumsingiza Dajar.
Kila alicho kiagiza Mungu wao wanakivunja".
Mkristo nikiwa bia kuwa Islam ndiye mpinga Kristo anakataa, ninamuacha naenda zangu.
Sio Mimi tu,wako wengi kama mimi wenye mawazo kama yangu..Kwahiyo bwana chabuso wewe ndiye umeifahamu dini vizuri kutoka kwa mtume kuliko waislamu woote duniani?
Au haya maneno yako unayaegemeza wapi?
Bilal alikua Mtumwa Uislam ukamtoa kwenye UtumwaBilal alipewa kazi ya kuita maana alikuwa mtumwa, na kazi ilikuwa kuamka asubuhi sana
Hadith
"When the Muslims arrived in AI-Madinah, they used to assemble for the Salat, and guess the time for it there was no one who called for it (the prayer). One day they discussed that and some of them said that they should use a bell like the bell the Christians use. Others said they should use a trumpet like the horn the Jews use. But Umar [bin Al-Khattab] said: 'Wouldn't it better if we had a man call for the prayer?'" He said: "So Muhammad said: 'O Bilal! Stand up and call for the Salat.'" Jami` at-Tirmidhi 190
Acha kutunga uongo, Bilal kaja kuachiwa huru baada ya Muhammad kufarikiBilal alikua Mtumwa Uislam ukamtoa kwenye Utumwa
Alipoanza kuadhini alikuwa sio Mtumwa tena,alikuwa Sahaba,Sahaba maana yake ni mtu wa karibu na Mtume Muhammad
Bilal ni mtu muhimu sana katika Uislam,Muhammad alibashiria pepo(heaven)kabla hajafa ...
Je katika dini ya Paulo mnae mtu mweusi mwenye cheo cha U-saint ?
Kwa kuwa ni mawazo yako tu, sawa.Sio Mimi tu,wako wengi kama mimi wenye mawazo kama yangu..
Wengi wa waislamu hatuijui dini yetu tunafata mkumbo tu..
Kelele sio Uislam,kutojali jamii iliyokuzunguka sio Uislam,karaha za kelele za Adhana kwa kutumia vipaza sauti vyenye sauti kubwa sio Uislam...
Uislam ni Busara na Amani
Misoji my beloved wife grab my weed and let me try to enlight this Dude.Muhammad sio mpinga Ukristo,Katika Quran Yesu katajwa mara 25,Muislam anatakiwa kumsalia Yesu aka Isa kila anapotajwa..
Kwanza hamma dini inayoitwa Ukristo,Yesu hakuhubiri Ukristo wala hajawahi kusema kuwa anachokihubiri ni Ukristo..
Mpinga Ukristo ni Paulo aliekuleteeni hii dini,Yeye ndie aliebadilisha aliyokuwa akiyahubiri Yesu na kukuleteeni hii dini mnayoabudu sasa
Kagame yuko sawa lazima uwe na cheti cha mafunzo ya dini ndio uanze kusalisha misikitini na Makanisani ili kuepuka watu kama nyinyi
kaka,stories imekuwa kubwa bila ya kujua unachokiongea,umechanganya madawaMisoji my beloved wife grab my weed and let me try to enlight this Dude.
In nutshell. Biblia haifundishi uwezo wa Mungu tu bali kwa kiasi Fulan inaeleza uwezo wa Shetan pia.
Ikiwa ujui kuwa shetani ni mjanja(cunning) kuliko binadamu wote basi upo katika hatari kubwa.
Yesu anamuita Shetan baba wa uwongo, yaan uwongo wake si levo ya dunia hii na Yohana alipofunuliwa Uwezo wa Shetan Alishangaa kuona Shetan anauwezo wa kujigeuza na kuwa malaika wa Nuru.
Yaan anaweza kuja kwako na kukupa elimu ya kimbingu na kukuagiza ufanye yapaswayo kufanywa na wacha Mungu ila katika huo ukweli anaokufundisha katika 100% kuna 2/1 ya uwongo mkubwa ataingiza.
Leo shetani anabudiwa ndani ya nyumba za ibada waabudu wakijua kuwa wanamubudu Mungu halisi.
Kuna watu wamekaza shingo zao kuangalia Vikundi kama Freemaso, illuminat skul and bones wakiamini Shetan anaabudiwa uko,ndiyo:, wanaabudu Shetan ila hivyo Vikundi vipo kwa minajili ya kushika attention za watu wasidig dip tu.
Shetani si mpumbavu afungue vituo vya kuabudiwa. hata mashirika kama Mosad hawawezi fanya ujinga kama huo wa kwenda Iran na kufungua kituo na kukiita Mossad hall.
Sasa ni hivi, ile ile roho iliyokuwa ikiwatumia akina Anas na Kayafa na Wayaudi wengine ndiyo ilikuja kumuibua Muhammad baada ya karne kadhaa.
Dai la Yesu si Mungu halikuanzishwa na Muhammad lilikuwepo lipo na litakwenda ku takeover soon.
Alichokifanya yule bwana(baba wa uwongo) ni kuja kwa njia ya dini na imani ili ashike watu, na kashika kweli kweli.
Roho hiyo kwa wakati fulan fulan uko nyuma ilikuwa ikijaribu kujifunua hata ndani ya Makanisa ya hawali ila ilikutana na upinzani mkubwa wa Mitume.. So yule bwana akaona isiwe shida, akasubiri hali ipoee kwa karne kadhaa ndiyo akamuibua MUD.
Na uko unakokuita kutajwa kwa Yesu ndani ya Qur'an ni uwongo, anaetajwa ndani ya Qur'an ni Imposter.
Yesu Alisema wengi watakuja kwa jina lake ili wapotoshe, ikiwa hoja ni kutajwa tu hata uko uhindini kuna dini wanadai Yesu ni mtume wao baada ya harakati zake uko mashariki ya kati alienda uko india akafia uko na kaburi lake lipo hadi leo.
Sasa dishi likiwa bovu utapotea.
Nimekufahamu uzuri sana,Ninavyofahamu mimi Uislam umejengwa na misingi mitatu muhimu..Kwa kuwa ni mawazo yako tu, sawa.
Ila kuna maneno mazuri ya Ally ibn Abii twaalib-radhwiyallahu a'nhu- anaesema "Laiti kama ingelikuwa dini inaendeshwa kwa rai, basi ingelikuwa kuifuta khofu chini ni bora, kuliko kuifuta juu".
Hivyo uislamu hauendeshwi kwa rai.
Pia ni vizuri tukaendelea kujifunza uislamu wetu, maana dini yetu imejengwa katika misingi ya elimu.
Na kutafuta elimu ni faradhi kwa kila muislamu(hadithi maarufu)
Hivyo muislamu anatakiwa aufahamu uislamu wake, kwa dalili na sio kufuata tu kibubusa.
Pia Mtume swallallahu allaihi wasallam, amekataza kuupa aghlabu ya umma sifa ya ujinga, hizo zama zilishaondolewa na uislamu(al-jaahiliyya)
Hivyo kama kuna wajinga basi utabaki kuwa ujinga wa mtu mmoja mmoja, na sio kusema wengi katika waislamu ni......
Wallahu aa'lam.
Soma,tafute elimu popote pale,hii ni karne ya information technology, ingia Google tafuta knowledgeAcha kutunga uongo, Bilal kaja kuachiwa huru baada ya Muhammad kufariki
weka huo ukweli muhammad alimuachia huru bilal, leta hadith sahihSoma,tafute elimu popote pale,hii ni karne ya information technology, ingia Google tafuta knowledge
Jaribu kuepuka kuandika kitu ambacho hukijui,ukifanya hivyo itakuwa unauendeleza ujinga uliokuwa nao
ingia Google tafuta hadith inayohusiana na Bilal alihi wa Salamweka huo ukweli muhammad alimuachia huru bilal, leta hadith sahih
hadith nilizosoma bilal
weka huo ukweli muhammad alimuachia huru bilal, leta hadith sahih
hadith nilizosoma bilal alikuja kulia badae aachiwe huru
mbona simple nitajie jina la hadith na hadith number kwamba Muhammad alimuachia huru bilalingia Google tafuta hadith inayohusiana na Bilal alihi wa Salam
kuna movie moja ambayo inaonyeshwa TvZ kila Ramadhani inaitwa za Message staring Anthony Queen
Tafuta hiyo movie hata kwenye YouTube unaweza kufaidika sana na historian ya Uislam
Wapi nimesema kuwa Muhamad kamwachia huru Bilal,nilichoandika ,Uislam ndio uliomuachia huru Bilal, Abubakar alikuwa Muislam au siombona simple nitajie jina la hadith na hadith number kwamba Muhammad alimuachia huru bilal
Hadith authentic niliyosoma hii hapa
Bilal said to Abu Bakr, "If you have bought me for yourself then keep me (for yourself), but if you have bought me for Allah's Sake, then leave me for Allah's Work." -Sahih Bukhari 5:57:99
Kabisa. Hio iwahusu na walokole pia na spika zao usiku wa manane wanapokeshaKwahiyo tuwe tunaiga Rwanda..
Kwa nini Muhammad hakumuachia huru Bilal?Wapi nimesema kuwa Muhamad kamwachia huru Bilal,nilichoandika ,Uislam ndio uliomuachia huru Bilal, Abubakar alikuwa Muislam au sio
"kama umeninunua kwa ajili yako basi nichukue kwa ajili yake,lakini kama umeninunua kwa ajili ya Mungu acha nifanye kazi ya Mungu(Allah)..."
hayo yalikuwa maneno ya Bilal wakati ananunuliwa na Sahaba Abubakar bin Sadiq..
Sasa nikuulize je,unamjua Abubakar alikuwa nani katika Uislam ?
kaka,stories imekuwa kubwa bila ya kujua unachokiongea,umechanganya madawa
Quran imemuelezea Yesu aka Isa na ukoo wake wote,Biblia imemuelezea Yesu akiwa ameshakuwa mkubwa mtu mzima..
Katika Biblia kuna maneno machache aliyosema na kuhubiri Yesu,asilimia 70 ni maneno ya Paulo..
Waislamu wanaamini kuwa Yesu aka Isa aka Yasu aka Jesus aka Christo aka Joshua ni mtume wa Mungu kama mitume mingine
YESU ni jina alilopewa na Wagiriki,ISA ni jina alilopewa na Warabu,JESUS ni jina alilopewa na Warumi
Yesu hakuwa Mungu,Mungu hanyi
kaka Isa bin Maryam ndio jina la Yesu kwa Kiarabu,..Story imekuwa kubwa kutokana na ukubwa wa jambo lenyewe Sheikh wangu.
Uwezi tumia pepa mbili kukokotoa hesabu ya 1+1ama nasema uwongo ndugu yangu?.
Na kuhusu kuchangaya Madawa huo mchanganyiko ndiyo Tiba yenyewe hiyo.
Utaenda kwa duka la dawa baridi pharmacist atakupa kwinini na panadol etc na kukuambia Meza hizo tumbo litapoa, unameza na unapona unles akupe kwinini na dawa ya vibarango akuambie Meza, hapo ndipo utahoji uhalali wa huo mchanganyiko.
First thing, thing first Lugha ya kiarabu hakisemi Kuwa Yesu ni Isa, waislamu ndiyo WANASEMA Isa ndiye YESU. waislamu/Islam sio kiarabu na kiarabu si uislamu. swala la Yesu kuwa ni Isa hata Qur'an yenyewe haisemi hivyo.
Muhamad kaja karne kadhaa kakuta waarabu hawamuiti Yesu Isa bali YASUA. Isa ni igizo jipya alilingiza Muhammad yeye mwenyewe unless useme baada ya ujio wa MUHAMMAD kulitokea mabadiliko ya majina ya vitu.
Yaan ni hivi ni sawa uku usukumani aibuke msukuma aanzishe dini yake na aseme Yesu ni mtume wa hiyo dini then ampe jina MASANYIWA so
hiyo haina maana kwamba Yesu kwa KISUKUMA ni MASANYIWA.wasukuma wamemjua Yesu kabla yake na jina walilokuwa wakimuita Yesu kwa kisukuma si MASANYIWA.
Isa tukimleta kwenye biblia anakuwa ndugu yake Musa na Haruni na baba Yao Imrankaka Isa bin Maryam ndio jina la Yesu kwa Kiarabu,..
Yoshua ni jina lake la kuzaliwa ni jina la Kiyahudi,kwa vile Isa alikuwa Myahudi..
Yesu ni jina la Kigiriki(Yasu)
Jesus ni jina la Kirumi
Christo ni neno la kigiriki,maana yake aliepakwa mafuta
Sijui Quran gani hiyo inayosema kuwa Yesu na Isa ni watu wawili tafauti..
Kwani baada ya Musa aka Moses kufa ilichukua miaka mingapi mpaka Yesu kuja duniani, mbona Yesu kaiga mambo mengi tu ya Musa
Dini ya Musa ya Yesu ya Muhammad yote imeanzishwa na Mtu anaitwa Ibrahim aka Abraham,mambo yake yanafanana 。
unazidi kujichanganya mchungaji