Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Usipaniki jibu maswali , hujajibu
Kumbuka Allah alifanya mtu anaefanana na Isa kabisa na ndio maana Jews wakasema wamemuona na wamemuua
, Tunataka kujua haya mwaswali
1. Nani alifanywa mbadala wa isa?
2. Allah anakiri Isa bandia aliuawa kwa nini Allah alitoa mtu mwingine innocent afe?
3. Watu waliona Isa bandia kafa na kafanana na original , kwa nini Allah aliwadanganya?
4. Waliona na kushuhudia na Alie waekea bandania nani muongo? Walio andika walichoona kwamba kasukubia au Alie wafanyia bandia?
 
Vitu vingi umefahamum,ndio maana huvitaji tena.Hii nyengine nayo naamini utafahamu. Angalia vizuri hapo kwenye tafsiri ya aya uliyoinukuu katika suratun nisaa.Wewe umeshikilia unataka kujua Mungu alimfananisha Issa a.s na mtu gani.Kwa kweli hapo haikutajwa kuwa alifananishwa na mtu au kitu gani.Yawezekana kinyago au kivuli.Sasa mbona unalazimisha awe mtu halafu umjuwe ni mtu gani.Ili iweje utakapomjua ?.Pia aya haikusema kuwa Issa a.s aliuwawa bali imetajwa alipaishwa.Na nashangaa kuwa umepata upofu kiasi hicho,kwa sababu msingi wa kuteremka hiyo aya ilikuwa ni kutetea hoja zenu kuwa Isa a.s aliuliwa.Aya inasema hakuuliwa wala hakusulubiwa.
Inaonekana wewe huna heshima kabisa na Mungu na hujui uwezo wake.Unajadiliana naye,eti kwanini aliwadanganya.Mungu hadanganyi bali anatenda kweli pekee kwa sababu kila kitu ni chake na hamuogopi yeyote. Ukijaribu kutoa kauli za utovu wa nidhamu namna hii hutajifunza chochote katika maisha yako.Mitihani na kuonesha nguvu zake zisizo kifani ni mambo ya tangu ulipoumbwa ulimwengu na hayakuanza kwa Issa bin Maryam pekee. Soma kisa cha nabii Ibrahim na mwanawe Ismail,soma nabii Nuhu na mkewe na mwanawe na watu wa mji wao.na mengi mengineyo.Jee yupo aliyedanganywa.? Wacha kuchanganyikiwa halafu ukajidanganya wewe.
 
Haujajibu maswali.

Mi nakuongezea hili.

Tuassume kama ni kweli Issa hakusulubiwa .

kwanini ilichukua miaka 600 kwa Mungu wenu kuja kusema the so called Issa hakusulubiwa?

Je, ni watu wangapi watakuwa wamepotoka in the span of 600 years wakiamini issa alisulubiwa lakini kumbe hakusulubiwa mpaka pale Mtume Mohammed alipokuja kusema hivyo baada ya Quran kuteremshwa ?
 
Hujajibu maswali umeleta bla bla tu , nani muongo Kati ya aliedanganya Isa bandia na walio ona Isa bandia ambae yupo sawa na original ? Na wanasema wameona original
 
Miaka 600 ni mingi kwako wewe lakini kwa Mwenyezi Mungu ambaye ni wa milele si mingi katika hesabu zake.Muda huo baina ya nabii Issa na nabii Muhammad s.a.w watu hawakuachwa hivi hivi walikuwa ni waislamu.Walipoanza kupotoka au kupotoswa na akina Marko na wenzake waliotunga biblia ndipo Mwenyezi Mungu akamleta mtume wake mwengine kusahihisha mambo ili watu warudi tena kuwa waislamu isipokuwa wale watakaokubali kupotoshwa na Mathayo na wenzake.
 
Ndivyo huyo mwarabu alivyowadanganya na hata Bible haimtambui.
Huyo alikuwa ni Spiritual Leader aliyekuta watu wa zama hizo wengi wakiwa wajinga na wengine waliogopa majambia waliyokuwa wakitembeza ili kueneza imani yao kwa nguvu.
 
Hoja sio miaka 600 ni Mingi kwa Mungu au la !

Narudia swali langu, kwanini Mungu wako alisubiri miaka 600 ili aje kusema Yesu hakusulubiwa na kuacha watu wapotoke kwa miaka 600!
Kumbuka kwa mujibu wa maandiko yenu yeye ndiye aliyeafanya waamini hivyo kuwa alisulubiwa .Nasubiria jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…