Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Sasa imekuwa sahih na unatoa darsa [emoji23] [emoji23][emoji23]
Kwani mimi na wewe tulibishana suala la usahihi au udhaifu wa hadhithi?

Katika hayo maneno ndio nimesema hii hadhithi ni dhaifu, au wewe nitabia yako kibadilisha maana za hadhithi?
 
Umeziona Aya za Umar , alikuwa anamwambia Muhammad na zinashuka kama alivyosema

Hili tumemaliza , ukimuona mokiti ameweka kitu kuwa makini Sana
Usiwe Mgumu kuelewa hizo aya wala sio za Umar na wala hazikushuka kama alivyozisema...alichofanya Umar ni maombi yaliyojibiwa...kwenye Qur'an kuna mengi tu sio hao ya Umar...kuna mambo ambayo Muhammad alikuwa akiulizwa na Maswahaba nae anakuwa hana majibu ya papo hapo ila baadae aya inashuka kumpa majibu....aya za Qur'an zilikuwepo kabla hata ya huyu Umar....na zilikuwa zikitelemshwa kwa Muhammad kidogo kidogo kwa muda wa miaka 23 ndipo dini ya Uislam ilipokamilika!...Mkuu inaonekana unachotaka ni ubishi haya basi wewe amini unavyo amini....
 
Usijisumbue na maelezo , wewe na mwenzako mlitaka kudanganya nimewaweka mnapostaili , msirudie tena kusema uongo

Nendeni na msitende dhambi ya uongo tena
Halafu hata kama ningesema hadithi ni dhaifu, au ndugu yangu kusema hadithi ni dhaifu, wala hatujadanganya.

Ndio maana ukaleta iliyosahihi, na maana imetolewa.

Labda tungesema hiyo hadithi haipo ndio, useme tumedanganya.

Acha kupotosha
 
Usiwe Mgumu kuelewa hizo aya wala sio za Umar na wala hazikushuka kama alivyozisema...alichofanya Umar ni maombi yaliyojibiwa...kwenye Qur'an kuna mengi tu sio hao ya Umar...kuna mambo ambayo Muhammad alikuwa akiulizwa na Maswahaba nae anakuwa hana majibu ya papo hapo ila baadae aya inashuka kumpa majibu....aya za Qur'an zilikuwepo kabla hata ya huyu Umar....na zilikuwa zikitelemshwa kwa Muhammad kidogo kidogo kwa muda wa miaka 23 ndipo dini ya Uislam ilipokamilika!...Mkuu inaonekana unachotaka ni ubishi haya basi wewe amini unavyo amini....
Achana na huyu jamaa, hana jipya kashauona ujinga wake.
 
Ipo wazi kasome vizuri
Umar alikuwa anamwambia jambo Muhammad, verse inashuka kama Umar alivyotamka ,
Tena kwenye Hadith Umar anasema verse zilishuka exactly as I said ( Yani vile vile alivyosema)

Ila nataka kujua kwa nini ulidanganya kuhusu hii Hadith na ukawa unapinga kwamba hakuna kitu kama hicho?
 
Halafu hata kama ningesema hadithi ni dhaifu, au ndugu yangu kusema hadithi ni dhaifu, wala hatujadanganya.

Ndio maana ukaleta iliyosahihi, na maana imetolewa.

Labda tungesema hiyo hadithi haipo ndio, useme tumedanganya.

Acha kupotosha
Uliona wazi Hadith imewekwa grade sahih na ikawekwa rejea ya sahih al-Bukhari, na bado ukadanganya
 
Achana na huyu jamaa, hana jipya kashauona ujinga wake.
Kazi yangu ilikuwa kuthibitisha Koran Kuna verse zimetoka kwa Umar , nimemaliza

Koran Ina maneno ya siafu , bisha niweke ushahidi
 
Ipo wazi kasome vizuri
Umar alikuwa anamwambia jambo Muhammad, verse inashuka kama Umar alivyotamka ,
Tena kwenye Hadith Umar anasema verse zilishuka exactly as I said ( Yani vile vile alivyosema)

Ila nataka kujua kwa nini ulidanganya kuhusu hii Hadith na ukawa unapinga kwamba hakuna kitu kama hicho?
Sikudanganya na wala Umar hakujibiwa maombi yake "exactly" kama alivyoomba....Umar aliomba ombi la kwanza "Eee Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, kwanini tusichukue sehemu ile aliyojenga Ibrahim iwe sehemu yetu ya kusalia....Mwenyezi Mungu akamtelemshia Muhammad aya ya kumpa maelekezo ni namna gani na wapi watumie ile Ka'aba kam sehemu ya kusalia...na kumbuka hili eneo toka mwanzo Muhammad alikwisha tangaza kuwa ni eneo la haki la waislam kusalia pale! juu ya wakeze kujifunika...Umar pia alifika toa wazo hilo baada ya kuona watu waovu wakiwatizama wake wa mtume kwa nia ovu...Mungu akamshushia aya Muhamad ya kumjibu Umar...na kama nilivyosema hii haikuwa kwa Umar pekee ilitokea kwa Maswahaba wengi tu wa mtume!
 
Unajua maana ya Aya maneno
Umar anasema
So this verse (the same as I had said) was revealed." (66.5)
Allah alichukua Koran verse kadhaa kutoka kwa Umar
 
Kazi yangu ilikuwa kuthibitisha Koran Kuna verse zimetoka kwa Umar , nimemaliza

Koran Ina maneno ya siafu , bisha niweke ushahidi
Mkuu,hebu nipe darsa kidogo hapo!Maneno ya siafu?How?
 
Siafu aliongea Allah akaweka maneno ya siafu kwenye Koran

18. Mpaka walipo fika kwenye bonde la wadudu chungu, alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua
 
Sio moja ngoja nikupe tatu
Umar anatamka verse inakuja kama alivyo tamka

Umar said: I agreed with my Lord on three matters, I said: O Messenger of Allah (ﷺ) , why don't we take the Maqam of Ibraheem as a place of prayer? Then the verse was revealed: And take you(people) the Maqam (place) of Ibraheem (Abraham) [ or the stone on which Ibraheem (Abraham) stood while he was building the Kabah]as a place of prayer [al Baqarah 2:125]. And I said: O Messenger of Allah (ﷺ) , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. And the wives of the Messenger of Allah ﷺ got together as a result of the jealousy between them, and I said to them. It may be if he divorced you(all) that his lord will give him instead of you, wives better than you[at Tahreem 66:5], and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Kumbe hujui kusoma ndio maana huelewi kilichoandikwa. Kila sehemu unaona kuwa the verse was revealed. Yaani aya ikashuka kutoka kwa Mweenyezi Mungu.
 
Siafu aliongea Allah akaweka maneno ya siafu kwenye Koran

18. Mpaka walipo fika kwenye bonde la wadudu chungu, alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua
Allah s.w anatuthamini sana viumbe vyake wakati mwengine hutupa hekima kutamka yale anayotaka watu wayajuwe.Kuna ubaya gani maneno hayo akiyanukuu na kuyaingiza kwenye kitabu chake. Allah hana khiyana na wala hana khiyana kama viiumbe wake walioshika dini ya ukristo.Kisichowafaa wao hawapendi na wengine wafaidike nacho.
 
Kumbe hujui kusoma ndio maana huelewi kilichoandikwa. Kila sehemu unaona kuwa the verse was revealed. Yaani aya ikashuka kutoka kwa Mweenyezi Mungu.
The same as Umar said, neno kwa neno
 
The same as Umar said, neno kwa neno
Ni maneno ya Mwenyezi Mungu aliyomtamkisha Umar r.a. tatizo liko wapi ?..Kwani yote yale unayofanya katika uhai wako huwa ni kwa hiyari yako. Unakula halafu huyoo unaelekea bomani.Kama ingekuwa ni uchaguzi wako usingekwenda huko.Unalala halafu asubuhi unaamka unatafuta kibarua.Kama ni uchaguzi wako ungeamua kukesha usiku na mchana.
 
Rwanda wanaelekea pabaya
Binafsi naona wanelekea pazuri sana. Kwakweli kiongozi kwa mtu asiye husika na ibada, kinachoi endelea humo ni makelele, ni kero tupu. Mfano hapa kwangu kuna msikiti mmoja na makanisa ya kilokole matatu kero ninayoipata si ya dunia hii. Huko msikitini ikifika alfajili na jioni saa moja ni kelele kwa takribani dakika 45 - saa 1, kupaza sauti kipo on kikitumika. Huko makanisani ni shida tupu, makelele ya spika kubwa kubwa na miziki ya injili ni kero zaidi kunapokuwa namikesha, majirani hatulali.
 
Uza hapo uhame ndugu.
Maeneo yapo kibao pembeni ya mji.

Hapo licha ya makelele, utapishana na Majini kila siku yanayoenda na kurudi kuswali Msikitini.
Na unajua athari zake.
Hama haraka ni eneo hatari sana hilo.

Qur'an👇🏽

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Ni maneno ya Mwenyezi Mungu aliyomtamkisha Umar r.a. tatizo liko wapi ?..Kwani yote yale unayofanya katika uhai wako huwa ni kwa hiyari yako. Unakula halafu huyoo unaelekea bomani.Kama ingekuwa ni uchaguzi wako usingekwenda huko.Unalala halafu asubuhi unaamka unatafuta kibarua.Kama ni uchaguzi wako ungeamua kukesha usiku na mchana.
Unathibisha Umar na yeye alikuwa anapewa Koran na Allah,
 
Back
Top Bottom