Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

Kwa nini Muhammad hakumuachia huru Bilal?
Bilal alinunuliwa na Abubakar mbele ya Muhammad, Abubakar akamuachia huru..

Alie mnunua ndie aliemuachia huru,Muhammad akampa Bilal cheo kikubwa mpaka katika kumtabiria pepo(heaven )..

katika Uislam,baada ya Muhamad kama Mtume wa Mungu,kuna watu chini yake wanaoitwa masahaba

Abubakar,Othman,Ali,Omar akifatiwa na Bilal,Bilal alitoka utumwani mpaka akawa anakaa meza moja na akina Mtume Muhamad na watu wake na kuamua hatma ya Uislam

kumbuka kuwa Bilal alikuwa mtu mweusi wa Afrika,Mtumwa hana mbele hana nyuma,akawa ana maamuzi katika Uislam

Yeye ndie aliebuni Adhana,Yeye ndie mtu wa mwanzo kuwaita waislam akiwemo Mtume kwa njia ya adhana wende msikiti wa kasali

Hakuna hakuna ubaguzi katika Uislam,hakika dini ya kiislam ni dini ya Mungu

Je upande wa Paulo kuna mtu yoyote mweusi mwenye hadhi kama ya Bilal,Dini ya Paulo imejaa mapambo ya watu weupe,hata Yesu wamempaka mkorogo aonekane mweupe wakati alikuwa Myahudi
 
Maneno bila ushahidi , bilali alikuwa mtumwa wa muhammad,Muhammad kafa ndio Bilal akaachiwa huru
Nimekuwekea ushahidi Bilal analia anaomba awe huru ,

Adhani muanzilishi ni Umar bilali alipewa kazi kama mtumwa tu kuamka asabihi kombora

Unapo ongea bila ushahidi wa Hadith sahih sikuelewe , ongea weka authentic source
 
Maneno bila ushahidi , Muhammad kafa ndio Bilal akaachiwa huru
Nimekuwekea ushahidi Bilal analia anaomba awe huru ,

Adhani muanzilishi ni Umar bilali alipewa kazi kama mtumwa tu kuamka asabihi kombora

Unapo ongea bila ushahidi wa Hadith sahih sikuelewe , ongea weka authentic source
soma uzuri,wakati Bilal ananunuliwa na Abubakar,Muhammad yuko pembeni anaangalia

unatakiwa ujuwe kuwa Abubakar alikuwa mtu tajiri sana pale Makka

Source ingia google utayapata yote hayo
 
Source ya Uislamu inatakiwa authentic source , na hapa tunazungumzia Hadith na hiwe sahih au Hasan , ukiingie google tu utalishwa matango pori na uongo mwingi

Baada ya Muhammad kufa ndio Bilal akanunuliwa akaachiwa huru
 
Baada ya habari kuzagaa mitaani kuwa kuna Mtumwa anapigwa ..

Mtumwa alikuwa akipiga kelele Mungu ni mmoja Muhamad alimtuma Abubakar akachunguze..

ndipo hapo Abubakar alipomnunua Bilal..

Unazungumzia Muhammad gani aliemtuma Abubakar au aliekufa na kufufuka?

haya nimekusaidia kidogo,kama unaweza kusoma kingereza itakuwa safi sana,kama huwezi tafuta mtu akutafsirie..

au ingia Google translate paste hayo maneno omba ikutafsirie kwa kiswahili,...Ramadhan Karim

Screenshot_20220421-171810.jpg
 
Baada ya habari kuzagaa mitaani kuwa kuna Mtumwa anapigwa ..

Mtumwa alikuwa akipiga kelele Mungu ni mmoja Muhamad alimtuma Abubakar akachunguze..

ndipo hapo Abubakar alipomnunua Bilal..

Unazungumzia Muhammad gani aliemtuma Abubakar au aliekufa na kufufuka?

haya nimekusaidia kidogo,kama unaweza kusema interests itakuwa safi sana,kama huwezi tafuta mtu akutafsirie..au ingia Google translate paste hayo maneno omba ikutasirie kwa kiswahili,...Ramadhan Karim

View attachment 2195517
Hii Hadith ipo kwenye vitabu gani vya hadith? Wewe nipo source jina la Hadith na Hadith number , nitaitafuta mwenyewe nitasoma , sitaki stori za google
 
kaka Isa bin Maryam ndio jina la Yesu kwa Kiarabu,..

Yoshua ni jina lake la kuzaliwa ni jina la Kiyahudi,kwa vile Isa alikuwa Myahudi..

Yesu ni jina la Kigiriki(Yasu)
Jesus ni jina la Kirumi
Christo ni neno la kigiriki,maana yake aliepakwa mafuta

Sijui Quran gani hiyo inayosema kuwa Yesu na Isa ni watu wawili tafauti..

Kwani baada ya Musa aka Moses kufa ilichukua miaka mingapi mpaka Yesu kuja duniani, mbona Yesu kaiga mambo mengi tu ya Musa

Dini ya Musa ya Yesu ya Muhammad yote imeanzishwa na Mtu anaitwa Ibrahim aka Abraham,mambo yake yanafanana 。

unazidi kujichanganya mchungaji
Duh!! CHIEF UWE NA MCHANA MWEMA.
 
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.

Hii ni Taharifa ya BBC...

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.
===

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

"Uamuzi huo ulikiuka haki zetu za kutekeleza imani yetu," anasema Zaina Mukamabano mwenye umri wa miaka 55 ambaye anaishi katika mji mkuu, Kigali.

Anasema ni mara ya kwanza katika maisha yake kuwa hakuna wito wa maombi, au "adhan", asubuhi wakati wa Ramadhani.

Zoezi la kupachika vipaza sauti kwenye minara kwenye misikiti lilianza huko Asia katika miaka ya 1930 na kuenea kote ulimwenguni. Wito tano hutolewa kwa siku, kuwaita waumini kwa sala zao tano za kila siku.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.

"Hatuna furaha ... wakati wa Ramadhani ni adhana ambayo inatuambia kuwa ni wakati wa kuanza kufunga, na sio Waislamu wote nchini Rwanda wana saa za kengele," anasema mkazi mwingine, Nuhu Bihibindi.

Bi Mukamabano anasema serikali ingeweza kuiambia misikiti kupunguza tu sauti, "kama wanavyowaambia mabaa kupunguza sauti ya muziki wao".

“Adhana ni utamaduni wetu, ni imani yetu, kuipiga marufuku ni kuwakera Waislamu, kutokuwa nayo wakati wa Ramadhani kunatia uchungu zaidi,” anasema.

Mkazi mwingine wa Kigali, Issa Karim Mugabo, anasema yeye na wengine sasa wanafikiria kupeleka serikali mahakamani.

Lakini Sheikh Souleiman Mbarushimana, mshauri wa mufti wa Rwanda, na mwanazuoni wa Kiislamu, anasema viongozi wa Kiislamu tayari wamelijadili suala hilo na serikali na kukubaliana juu ya uamuzi huo.

"Waislamu wanasema haki yao ya imani ilikiukwa ... lakini mamlaka imetuambia (Adhana)] imepigwa marufuku kwa manufaa ya wote," Bw Mbarushimana anasema.

"Tulisema kwamba lazima tukubaliane na kuendelea, kwa sababu imani yetu pia inatutaka kuheshimu uamuzi wa mamlaka."

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
Kagame anawafurahisha mabeberu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hii Hadith ipo kwenye vitabu gani vya hadith? Wewe nipo source jina la Hadith na Hadith number , nitaitafuta mwenyewe nitasoma , sitaki stori za google
kama hutaki stori za Google hiyo hadithi utaitafuta wapi?kwa Ngwajima?
 
knowledge is power,..na weww pia..Yesu aka Isa bin Maryam ni mwanadamu wa kawaida alipewa uwezo na Mungu..
Kama ambavyo Saro Wiwa aliamua kutumia usiku wake mwisho kumuandikia Barua kipenzi chake cha zamani Bint Zole na Mimi pia naomba nikuandikie hivi:, The Trumpet isn't stolen is still there held by Michael waiting to be blown out. So we don't need to contend. Let us me at the judgment day.
 
Hujui unachokiongea, siku ukijaaliwa kuona ukweli na kutoka katika ujinga kwa maana ya kusilimu, utajiona kweli ulikua umepotea
Hapana ww ndio hujui nimekaa na waislamu tokea udogo wangu hawaangaiki kusubiria adhana ikifika muda wa kuswali wanaswali sasa kwa jinsi ulivyo panic ww ni mwislamu jina yaani unasubiria adhana ndo uswali yaani ww ndio unamambo mengi kuliko Mungu. Ww ndio kafiri mno
 
soma uzuri,wakati Bilal ananunuliwa na Abubakar,Muhammad yuko pembeni anaangalia

unatakiwa ujuwe kuwa Abubakar alikuwa mtu tajiri sana pale Makka

Source ingia google utayapata yote hayo
Kuna vitu unachanganya , Bilal kanunuliwa akawa mtumwa wa muhammad mpaka muhammad kafa
Poor Bilal akarudi kwa Alie mnunua akamuomba na kumlilia amuachie huru apo Bilal ni Mzee tayari

Huyu hapa Bilal karudi kwa Abu bakr baada ya Muhammad kufariki anamlilia Abu bakr amuachie huru

Bilal said to Abu Bakr, "If you have bought me for yourself then keep me (for yourself), but if you have bought me for Allah's Sake, then leave me for Allah's Work." -Sahih Bukhari 5:57:99
 
uko kibishani zaidi,kama unafikiria ilikuwa hivyo poa tu..

wenye dini yetu tunaamini kuwa Abubakar alitumwa na Muhammad akaangalie ni Mtumwa gani aliekuwa akiteswa huku akisema Mungu ni mmoja yaani "Allahu Akbar"..,

alipofika sehemu ya Tukio Abubakar aliamua kumnunua Yule Mtumwa,

Mtumwa alikuwa anaitwa Bilal ibin Rabbah al Habashi.,Alikuwa mtu mweusi kutoka Abyssinia kwa sasa nchi hiyo inaitwa Ethiopia..

Baada ya Muhammad na watu wake kufukuzwa Makka,Bilal alikimbilia Syria,inasemekana kifo chake kilimfikia huko..

kama unataka hadithi inayohusu Bilal,na vipi kaingia kwenye Uislam ..

soma Buhari 579,au Muslim 377..

hakika Uislam sio dini ya Ubaguzi,kutoka utumwani mpaka kuwa kiongozi mkubwa wa dini ukawa sawa na waliokununua sio kitu rahisi

Mpaka Leo tunashuhudia kuna Makanisa ya Wazungu peke Yao na Watu Weusi peke yao,ubaguzi ndani ya dini ya Paulo
 
Alinunulia akawa mtumwa wa muhammad ,
Muhammad alivyo kufa ndo akarudi kwa Alie mnunua kuomba uhuru wake ,

Shida wewe unaongea story za kutunga za google ,Mimi nakuwekea ushahidi , waislamu kwa sasa wanapambana kutengeneza story nzuri za muhammad na kuhadaa watu , mpaka translation wanapotosha mazima kabisa
 
Muhammad hajawahi kuwa na Mtumwa,Muhammad alimbashiria pepo Bilal

Bilal ni symbol ya usawa katika dini ya Kiislamu,

umetaka nikuwekee Authentic source za hadithi kuhusu Bilal na kununuliwa kwake nimekuwekea..

bado wewe umen'gan'gania hapo hapo kuwa Bilal alikuwa Mtumwa Wa Muhammad

weka huo ushahidi Unaosema kuwa Bilal alikuwa Mtumwa wa Mtume Muhammad

tatizo lako unarejea hayo kwa hayo bila ushahidi
 
Kuna vitu unachanganya , Bilal kanunuliwa akawa mtumwa wa muhammad mpaka muhammad kafa
Poor Bilal akarudi kwa Alie mnunua akamuomba na kumlilia amuachie huru apo Bilal ni Mzee tayari

Huyu hapa Bilal karudi kwa Abu bakr baada ya Muhammad kufariki anamlilia Abu bakr amuachie huru

Bilal said to Abu Bakr, "If you have bought me for yourself then keep me (for yourself), but if you have bought me for Allah's Sake, then leave me for Allah's Work." -Sahih Bukhari 5:57:99
haha hahaha ati huyu hapa Bilal karudi kwa Abubakar..kumbe huu ndio ushahidi wako!?

Dah...kumbe English inakupiga chenga ,..Mkuu hayo ni maneno aliyosema Bilal wakati ananunuliwa na Abubakar..

tafsiri yake ni :-"kama umeninunua kwa ni wako binafsi,basi nichukuee niwe wako,lakini kama umeninunua kwa ajili ya Mungu basi niache nifanye kazi ya Mungu "

kajifunze Kingereza wakati unao,elimu haina mwisho
 
Back
Top Bottom