Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

haha hahaha ati huyu hapa Bilal karudi kwa Abubakar..kumbe huu ndio ushahidi wako!?

Dah...kumbe English inakupiga chenga ,..Mkuu hayo ni maneno aliyosema Bilal wakati ananunuliwa na Abubakar..

tafsiri yake ni :-"kama umeninunua kwa ni wako binafsi,basi nichukuee niwe wako,lakini kama umeninunua kwa ajili ya Mungu basi niache nifanye kazi ya Mungu "

kajifunze Kingereza wakati unao,elimu haina mwisho
Nenda kasome hayo maneno Bilal katoa baada ya Muhammad kufariki,
 
Muhammad hajawahi kuwa na Mtumwa,Muhammad alimbashiria pepo Bilal

Bilal ni symbol ya usawa katika dini ya Kiislamu,

umetaka nikuwekee Authentic source za hadithi kuhusu Bilal na kununuliwa kwake nimekuwekea..

bado wewe umen'gan'gania hapo hapo kuwa Bilal alikuwa Mtumwa Wa Muhammad

weka huo ushahidi Unaosema kuwa Bilal alikuwa Mtumwa wa Mtume Muhammad

tatizo lako unarejea hayo kwa hayo bila ushahidi
Muhammad alikuwa mpaka anabaka watumwa , nenda kasome kijana kasome kisa Cha Muhammad na mtumwa anaitwa maria the copt

Source ulizo weka hazina story you're ya Bilal , embu zi copy weka hapa
 
Muhammad hajawahi kuwa na Mtumwa,Muhammad alimbashiria pepo Bilal
It was narrated from Anas, that the Messenger of Allah had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:
"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959
 
Nimekufahamu uzuri sana,Ninavyofahamu mimi Uislam umejengwa na misingi mitatu muhimu..

wasilam wanatakiwa wafate kitabu cha Quran,Suna za Mtume Muhammad,na vitendo walivyofanya Masahaba, kama akina Omar,Abubakar,Othman,Bilal no

katika kuadhini Bilal aliongeza verse zake lakini kwa vile ni Sahaba Waislam inabidi tufate kama Suna

Uislam Haubadiliki, Wakati wa Mtume kulikuwa hakuna vipaza sauti,Vipaza sauti ni kero

Adhana bila vipaza sauti sifikirii kama itakuwa kero
Wanachuoni wetu wamejuzisha matumizi ya vipaza sauti katika adhana vikiwa kama njia(wasila) ili kufikia lengo(ghaaya) ambalo ni wito(adhana) kuwafikia waumini.

Lakini hii haina maana kuwa pasi na vipaza sauti basi hakuna adhana, kwa sababu kama unavyosema havikuwepo kipindi cha mtume.
Ndio maana ikitokea hakuna umeme hukalifishwi kutafuta jenereta ili utoe adhana.

Lakini kutokutumia katika uwepo wake, kutapelekea lengo kutofikiwa kama inavyotakikana, kutokana na haja iliyopo, hivyo inakuwa kama dharula.

Hebu jiulize kwanini kuliwekwa adhana mbili siku ya ijumaa katika kipindi cha Uthmaan ibn Afaan radhwiyallahu a'nhu-? ingawa kipindi cha Mtume swallallahu allaihi wasallam ilikuwa moja?

Au kwanini aliyeoteshwa adhana ni Abdillahi ibn Zaid, lakini Mtume swallallahu allaihi wasallam akaamuamuru Bilal ibn Rabah kuadhini?

Hii yote ilikuwa ni katika kuhakikisha lengo linafikiwa.

Sasa kipindi cha Mtume swallallahu allaihi wasallam, mji ulikuwa mdogo, hivyo sauti ya Bilal ilitosheleza kufikia lengo, sasa leo hii na ukuaji wa miji, plus zogo lililopo.

Hapo nisikwambie kama mtu anaweza akawa amewasha redio, tv, au anatumia hearphones,au headphone, au yupo kwenye chombo cha moto, au sehemu yoyote yenye kelele, hichohicho kipaza sauti anaweza asikisikie.

Wewe mwenyewe unaweza ukawa shahidi ni mara ngapi hukuisikia adhana japo kuwa ulikuwa karibu na msikiti, Sasa niambie adhana hiyo itolewe na sauti tu ya mtu tu kwaida......

Labda utasema alfajiri huwa hakuna kelele, shekhe alfajiri watu wanakuwa wamelala huamshwa kwanza ndio maana zikawa adhana mbili na nialfajiri sio usiku wa manane, watu wengi huamka kwenda katika shughulizao.

Na pamoja na hivyo watu huwa hawasikii wakati mwingine, Sasa niambie ikitumika sauti kawaida, si tutapoteza lengo, si tutaweka hata adhana 4 na hazitosikika?

Kuhusu kusema adhana ni kilele, akisema hivi muislamu nitamuuliza ikiwa wewe ni muislamu unayeswali swala tano, ni adhana ipi kwako inakuwa nikelele? Hivyo wanaoita adhana kelele ni wasiokuwa waislamu ambao hawajui ni maana ya adhana.

Hivyo tukubaliane kwanza kwamba kutumia vipaza sauti ni necessary kwetu sisi waislamu halafu tutawasikiliza na hao wanasema ni kelele.

Nb: nimejaribu kukufafanulia kwa uelewa wangu, ila kama hujakinai unaweza kurejea fatuwa za maulaama kwa ufafanuzi zaidi.
 
uko kibishani zaidi,kama unafikiria ilikuwa hivyo poa tu..

wenye dini yetu tunaamini kuwa Abubakar alitumwa na Muhammad akaangalie ni Mtumwa gani aliekuwa akiteswa huku akisema Mungu ni mmoja yaani "Allahu Akbar"..,

alipofika sehemu ya Tukio Abubakar aliamua kumnunua Yule Mtumwa,

Mtumwa alikuwa anaitwa Bilal ibin Rabbah al Habashi.,Alikuwa mtu mweusi kutoka Abyssinia kwa sasa nchi hiyo inaitwa Ethiopia..

Baada ya Muhammad na watu wake kufukuzwa Makka,Bilal alikimbilia Syria,inasemekana kifo chake kilimfikia huko..

kama unataka hadithi inayohusu Bilal,na vipi kaingia kwenye Uislam ..

soma Buhari 579,au Muslim 377..

hakika Uislam sio dini ya Ubaguzi,kutoka utumwani mpaka kuwa kiongozi mkubwa wa dini ukawa sawa na waliokununua sio kitu rahisi

Mpaka Leo tunashuhudia kuna Makanisa ya Wazungu peke Yao na Watu Weusi peke yao,ubaguzi ndani ya dini ya Paulo
Ukweli upo wazi, achana na huyu jamaa anakupotezea muda tu.

Hadithi ndio hiyohiyo kaigeuza, hata maneno yake mwenyewe yanakinzana.
 
It was narrated from Anas, that the Messenger of Allah had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:
"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959
@chabuso,
Umekanusha kuwa Muhammadi hakuwa na mtumwa.
Mokiti, amekuwekea hadithi hiyo hapo inayothibitisha Mtume wako kumiliki mtumwa na kazini nae pia na Allah akapitisha huo Uzinzi wa Muhammadi.

Hivi Muislamu gani wewe hujui hata maandiko yako ?
Au ndio mwendo ule ule wa kuongopa ili kuilinda Dini ya Haki ?

Shame on you.
 
Wanachuoni wetu wamejuzisha matumizi ya vipaza sauti katika adhana vikiwa kama njia(wasila) ili kufikia lengo(ghaaya) ambalo ni wito(adhana) kuwafikia waumini.

Lakini hii haina maana kuwa pasi na vipaza sauti basi hakuna adhana, kwa sababu kama unavyosema havikuwepo kipindi cha mtume.
Ndio maana ikitokea hakuna umeme hukalifishwi kutafuta jenereta ili utoe adhana.

Lakini kutokutumia katika uwepo wake, kutapelekea lengo kutofikiwa kama inavyotakikana, kutokana na haja iliyopo, hivyo inakuwa kama dharula.

Hebu jiulize kwanini kuliwekwa adhana mbili siku ya ijumaa katika kipindi cha Uthmaan ibn Afaan radhwiyallahu a'nhu-? ingawa kipindi cha Mtume swallallahu allaihi wasallam ilikuwa moja?

Au kwanini aliyeoteshwa adhana ni Abdillahi ibn Zaid, lakini Mtume swallallahu allaihi wasallam akaamuamuru Bilal ibn Rabah kuadhini?

Hii yote ilikuwa ni katika kuhakikisha lengo linafikiwa.

Sasa kipindi cha Mtume swallallahu allaihi wasallam, mji ulikuwa mdogo, hivyo sauti ya Bilal ilitosheleza kufikia lengo, sasa leo hii na ukuaji wa miji, plus zogo lililopo.

Hapo nisikwambie kama mtu anaweza akawa amewasha redio, tv, au anatumia hearphones,au headphone, au yupo kwenye chombo cha moto, au sehemu yoyote yenye kelele, hichohicho kipaza sauti anaweza asikisikie.

Wewe mwenyewe unaweza ukawa shahidi ni mara ngapi hukuisikia adhana japo kuwa ulikuwa karibu na msikiti, Sasa niambie adhana hiyo itolewe na sauti tu ya mtu tu kwaida......

Labda utasema alfajiri huwa hakuna kelele, shekhe alfajiri watu wanakuwa wamelala huamshwa kwanza ndio maana zikawa adhana mbili na nialfajiri sio usiku wa manane, watu wengi huamka kwenda katika shughulizao.

Na pamoja na hivyo watu huwa hawasikii wakati mwingine, Sasa niambie ikitumika sauti kawaida, si tutapoteza lengo, si tutaweka hata adhana 4 na hazitosikika?

Kuhusu kusema adhana ni kilele, akisema hivi muislamu nitamuuliza ikiwa wewe ni muislamu unayeswali swala tano, ni adhana ipi kwako inakuwa nikelele? Hivyo wanaoita adhana kelele ni wasiokuwa waislamu ambao hawajui ni maana ya adhana.

Hivyo tukubaliane kwanza kwamba kutumia vipaza sauti ni necessary kwetu sisi waislamu halafu tutawasikiliza na hao wanasema ni kelele.

Nb: nimejaribu kukufafanulia kwa uelewa wangu, ila kama hujakinai unaweza kurejea fatuwa za maulaama kwa ufafanuzi zaidi.
Adhana ya sauti ya binaadamu inatosha,au vipaza sauti visiwe na kiwango kikubwa cha kilele.

misikiti mingeni vipaza sauti vinavyotumika kwenye Adhana vinaamsha kijiji kizima,vinaamsha,wagonjwa,watoto wadogo nk

Sehemu kubwa ya miji yetu misikiti imekaribiana,ninavyoona mimi vipaza sauti havina maana kabisa,ni kero tu.

wazo langu vipaza sauti viwekwe kwa umbali fulani wa misikiti hadi msikiti,misikiti mengine isiwe na vipasa sauti,

viwango vya vipaza sauti visiwe vikubwa kupindukia,au misikiti inayosaliwa ijumaa tu ndio iwe na vipaza sauti,hata hivyo sauti ikisiwe..

nakula daku, Mungu ajaalie siku ya leo iwe nzuri yenye baraka,amin
 
@chabuso,
Umekanusha kuwa Muhammadi hakuwa na mtumwa.
Mokiti, amekuwekea hadithi hiyo hapo inayothibitisha Mtume wako kumiliki mtumwa na kazini nae pia na Allah akapitisha huo Uzinzi wa Muhammadi.

Hivi Muislamu gani wewe hujui hata maandiko yako ?
Au ndio mwendo ule ule wa kuongopa ili kuilinda Dini ya Haki ?

Shame on you.
Enzi hizo kuwa na Mtumwa ilikuwa kitu cha kawaida,inawezekana Muhammad alikuwa na Mtumwa lakini sio Bilal

Habari hiyo hapo kuwa Muhammad alikuwa na Mtumwa wa kike aliepewa Zawadi ambae alimwachia huru baadae

Kweli Muhamad alikuwa na Mtumwa wa kike ambae baadae alimuowa na kuzaa nae mtoto alieitwa Ibrahim

Makatazo yalikuja baadae,Mtume alipewa wahi kuwa na Utumwa sio kitu kizuri kimeharamishwa.

kuowa mwanamke akiwa ameolewa na mume mwenginek sio kizuri,imeharamishwa,na kadhalika,na kadhalika

Uislam hujajengwa kwa siku moja,Swali la kizushi Hivi Mungu Yesu aliwahi kukataza Utumwa??

20220422_082850.png
 
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.

Hii ni Taharifa ya BBC...

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo.

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.
===

Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo

Mwezi uliopita mamlaka ilipiga marufuku matumizi ya vipaza sauti kwenye misikiti asubuhi na mapema, ikisema kuwa ilikiuka sheria za uchafuzi wa kelele ambazo zinakataza kelele zaidi ya decibel 55 wakati wa mchana na decibel 45 usiku katika maeneo ya makazi.

"Uamuzi huo ulikiuka haki zetu za kutekeleza imani yetu," anasema Zaina Mukamabano mwenye umri wa miaka 55 ambaye anaishi katika mji mkuu, Kigali.

Anasema ni mara ya kwanza katika maisha yake kuwa hakuna wito wa maombi, au "adhan", asubuhi wakati wa Ramadhani.

Zoezi la kupachika vipaza sauti kwenye minara kwenye misikiti lilianza huko Asia katika miaka ya 1930 na kuenea kote ulimwenguni. Wito tano hutolewa kwa siku, kuwaita waumini kwa sala zao tano za kila siku.

Mamlaka ya Rwanda inasema kuwa wakaazi walilalamika kuhusu mwito wa mapema wa maombi - ambao hufanyika majira ya alfajiri na huchukua kama dakika mbili au tatu.

"Hatuna furaha ... wakati wa Ramadhani ni adhana ambayo inatuambia kuwa ni wakati wa kuanza kufunga, na sio Waislamu wote nchini Rwanda wana saa za kengele," anasema mkazi mwingine, Nuhu Bihibindi.

Bi Mukamabano anasema serikali ingeweza kuiambia misikiti kupunguza tu sauti, "kama wanavyowaambia mabaa kupunguza sauti ya muziki wao".

“Adhana ni utamaduni wetu, ni imani yetu, kuipiga marufuku ni kuwakera Waislamu, kutokuwa nayo wakati wa Ramadhani kunatia uchungu zaidi,” anasema.

Mkazi mwingine wa Kigali, Issa Karim Mugabo, anasema yeye na wengine sasa wanafikiria kupeleka serikali mahakamani.

Lakini Sheikh Souleiman Mbarushimana, mshauri wa mufti wa Rwanda, na mwanazuoni wa Kiislamu, anasema viongozi wa Kiislamu tayari wamelijadili suala hilo na serikali na kukubaliana juu ya uamuzi huo.

"Waislamu wanasema haki yao ya imani ilikiukwa ... lakini mamlaka imetuambia (Adhana)] imepigwa marufuku kwa manufaa ya wote," Bw Mbarushimana anasema.

"Tulisema kwamba lazima tukubaliane na kuendelea, kwa sababu imani yetu pia inatutaka kuheshimu uamuzi wa mamlaka."

Sent from my Redmi Note 9S using JamiiForums mobile app
safi
 
Adhana ya sauti ya binaadamu inatosha,au vipaza sauti visiwe na kiwango kikubwa cha kilele.

misikiti mingeni vipaza sauti vinavyotumika kwenye Adhana vinaamsha kijiji kizima,vinaamsha,wagonjwa,watoto wadogo nk

Sehemu kubwa ya miji yetu misikiti imekaribiana,ninavyoona mimi vipaza sauti havina maana kabisa,ni kero tu.

wazo langu vipaza sauti viwekwe kwa umbali fulani wa misikiti hadi msikiti,misikiti mengine isiwe na vipasa sauti,

viwango vya vipaza sauti visiwe vikubwa kupindukia,au misikiti inayosaliwa ijumaa tu ndio iwe na vipaza sauti,hata hivyo sauti ikisiwe..

nakula daku, Mungu ajaalie siku ya leo iwe nzuri yenye baraka,amin
Sawa.
 
@chabuso,
Umekanusha kuwa Muhammadi hakuwa na mtumwa.
Mokiti, amekuwekea hadithi hiyo hapo inayothibitisha Mtume wako kumiliki mtumwa na kazini nae pia na Allah akapitisha huo Uzinzi wa Muhammadi.

Hivi Muislamu gani wewe hujui hata maandiko yako ?
Au ndio mwendo ule ule wa kuongopa ili kuilinda Dini ya Haki ?

Shame on you.
Laiti kama ungejua anachokifanya mokiti wala usingemshabikia, maana njia ya muongo fupi, labda umsapoti kwa kuwa ni upande wako, lakini anadanganya.

Na ulivyokuwa kipofu unafuata pasi na kireason.

Mjadala wao unahusu utumwa wa Bilal(which is not true), hivyo kauli ya chabuso ilimkusudia Bilal, ukisoma post yake utaliona hilo, na hivyo ndivyo alivyobainisha hata hapo chini.

Sasa Mokiti kaleta ushahidi kuwa Mtume Muhammad swallallahu allaihi wasallam alikuwa na mtumwa wa kike, jambo ambalo hata kama ni kweli lakini halihusiani na mjadala.

Na hivi ndivyo anavyofanya Mokiti analeta aya/hadithi ya kweli na maneno yake ya uongo, ndio maana tunabishana nae.

Sasa kwa asiyejua itamdhirikia moja ya mambo mawiili, ima mokiti anaujua uislamu kuliko waislamu wenyewe, au sisi waislamu tunadanganya.

And the good thing is hatutegemei kwa kafiri kusema sisi ni wakweli maana siku kafiri atakapowaona waislamu ni wakweli basi atakuwa tayari keshasilimu.

Na kama ni kweli Bilal alikuwa mtumwa wa Mtume swallallahu allaihi wasallam, basi Mokiti alete ushahidi hapa wa wazi unaoonyesha hilo, kama alivyofanya kwa hii hadithi ya mtumwa wa kike?

Maana hiyo hadithi aliyoleta inaonyesha Bilal akiomba kuachiwa huru, kama anavyodai.
 
Huyu jamaa anaejiita Mokiti anajaribu kuleta ubishi wa kijiweni ili waislam walioko kwenye huu mjadala wakasirike..

halafu nimegundua Kingereza kinampiga chenga,hajui kusoma Kingereza au anafanya makusudi kupindisha ukweli wa alichokisoma
 
Anapindisha maana makusudi, lakini pia ni mjinga hajui maana sahihi ya hadithi, yeye anazikota tu, hata hivyo vitabu anavyovinukuu hajui vimekaaje.

Mfano hiyo hadhithi ya Bilal, hii hadithi kweli ipo katika sahihi Bukhari, lakini ipo katika kitabu cha (fadhila za maswahaba), katika mlango wa(fadhila za Bilalمناقب بلال virtues).

Sasa heading tu ya sehemu aliyochukua hadithi inapingana na anachokisema, nisikwambie hadithi alizoziacha, na hii ni kila hadithi anayogusa ni hivyo.

Fadhila=fadhila=utumwa, kweli???

Hivyo ni mjinga tu ndiye atakaye mshabikia.
 
Muhammad hajawahi kuwa na Mtumwa,Muhammad alimbashiria pepo Bilal
Wewe na mwenzako Msonjo mnabisha bila kuweka maandiko yoyote, ni kuandika tu story mnaokota sijui wapi
Bilal Alinunuliwa na akawa mtumwa wa Muhammad , Muhammad alikuwa na watumwa wengi sana

Muhammad alikuwa slave master
Hapa mke wake mmoja tu Aisha, stori nimeikata short alikula kiapo akavunja kiapo ikambidi aachie huru watumwa 40

...."I have made a vow which is a matter of very serious nature." They persisted in their appeal till she spoke with 'Abdullah bin Az-Zubair, and she freed forty slaves as an expiation for breaking her vow. Later on, whenever she remembered her vow, she would weep so much that her veil would become wet with tears. Sahih al-Bukhari 6073-6075
 
Huyu jamaa anaejiita Mokiti anajaribu kuleta ubishi wa kijiweni ili waislam walioko kwenye huu mjadala wakasirike..

halafu nimegundua Kingereza kinampiga chenga,hajui kusoma Kingereza au anafanya makusudi kupindisha ukweli wa alichokisoma
Kwa nini udanganya
chabuso says in post 799 "Muhammad hajawahi kuwa na Mtumwa"
Jifunze kuwa mkweli kwanza
 
Enzi hizo kuwa na Mtumwa ilikuwa kitu cha kawaida,inawezekana Muhammad alikuwa na Mtumwa lakini sio Bilal

Habari hiyo hapo kuwa Muhammad alikuwa na Mtumwa wa kike aliepewa Zawadi ambae alimwachia huru baadae

Kweli Muhamad alikuwa na Mtumwa wa kike ambae baadae alimuowa na kuzaa nae mtoto alieitwa Ibrahim

Makatazo yalikuja baadae,Mtume alipewa wahi kuwa na Utumwa sio kitu kizuri kimeharamishwa.

kuowa mwanamke akiwa ameolewa na mume mwenginek sio kizuri,imeharamishwa,na kadhalika,na kadhalika

Uislam hujajengwa kwa siku moja,Swali la kizushi Hivi Mungu Yesu aliwahi kukataza Utumwa??

View attachment 2196128
Kiri ulidanganya , na kusema Muhammad hajawahi kuwa na Mtumwa, nenda kasome vitabu
Huyu hapa muhammad yupo bize kununua watumwa, tena akiwa tayari ni Mtume
Narrated Jabir:
Muhammad bought a slave for two slaves. Sunan Abi Dawud 3358
 
Kweli Mtume Muhammad alinunua Watumwa wengi na kuwachia huru..

Je Mungu Yesu aliwasaidiaje Watumwa
 
Mimi nakaa jirani na wakristo na waislamu maaswi wasiosali na wote hao wanatumia adhana na wakati wa watu kwenda msikitini na wao kuelekea kwenye shughuli zao.Kiuhakika muda wa adhana ni muda wa kuingia kazini na si muda wa kulala.Ni muda salama kutoka kweenda uendako kwani watu wema huwa waingia mitaani na vibaka wanaamua kujificha. Nchi ambayo watu muda wa swala ya alfajiri wanalala basi itakuwa nchi maskini sana. Hivyo sababu za kukatazwa adhana popote duniani hazina mashiko na itakuwa ni hoja za maadui wa Mwenyezi Mungu.
Huko Rwanda kwenyewe watu hawalali muda wa swala ya alfajiri.Kagame asituongopee.Wasingetajwa kuwa wamepiga hatua katika uchumi wa nchi yao.Ana kitu kibaya ndani ya moyo wake baasi.
Muda wa kazi hutofautiana, watu wanakuwaga na shift za usiku hivyo asubuhi ni muda wao wa kupumzika.
 
Back
Top Bottom