a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Kuku, kitimoto na hata nyama na mazao ya aina zote na matundaenergy drinks
visungura(pombe kali/viroba vya kwenye vichupa
dawa za sumu za kuua wadudu zinazopulizwa kwenye mbogamboga na matunda
Kwa week three au twice Ila weekend moja kwenye sku hz ni tano sana ni sitaZina sukari kibao hizo sipo poa kiafya, kama utapiga mingi
Yeah kuna bia ambzo hazina kiwango kikubwa cha sukari mkuu, mimi na prefer bia za gharama zaidi kiwango chake huwa ni kizuri sana kiafyaKwa week three au twice Ila weekend moja kwenye sku hz ni tano sana ni sita
Heineken naona wanasema zipo fake nikqachaga napendelea Heineken kwanimpoted beerYeah kuna bia ambzo hazina kiwango kikubwa cha sukari mkuu, mimi na prefer bia za dharama zaidi kiwango chake huwa ni kizuri sana kiafya
Kumbe kuna fake tena😁Heineken naona wanasema zipo fake nikqachaga napendelea Heineken kwanimpoted beer
Eeeh kaka Kuna mpk zinatoka rombo 😂Kumbe kuna fake tena😁
Hahaha ila lazima utazijua tu, na rombo kwa kufyatua vitu feki hamjambo ,pesa ya chap sio😅Eeeh kaka Kuna mpk zinatoka rombo 😂
GMO/GMFKuku, kitimoto na hata nyama na mazao ya aina zote na matunda
YeahGMO/GMF
Yaan inakuja na kila kitu Kuna maji yalikuwa yanazalishwa rombo sequa km sikosei Ila wenyeji hawayajui yanauzwa mikoani hata Dodoma yalifika chezea mrombo nn 😂Hahaha ila lazima utazijua tu, na rombo kwa kufyatua vitu feki hamjambo ,pesa ya chap sio😅
Ingekuwa ni China, kichwa cha Boss wa TBS/ TMDA kingekuwa halali ya kitanzi kufika leotanzagiza kila kitu kipo, taasisi zote zipo, sheria zote zipo ila zinatumika kulinda incompetency, wizi na dhuluma na hawajali watu kabisa ...
Ingekuwa ni China, kichwa cha Boss wa TBS/ TMDA kingekuwa halali ya kitanzi kufika leo