yeah lkn wala hatuhitaji kufika huko kwa kukonyangana, sheria zetu hizi hizi tu na taasisi zetu zinatosha kabisa kuifanya nchi yetu iwe na utawala bora kila kitu kipo, mfano mdogo tu raisi wa nchi kapewa ripoti ya cag ili yeye kama excutive aifanyie kazi anapaswa kutoa amri tu na kila kitu kingeenda sawa takukuru wangeingia, mahakama zingeingia watumhumiwa wangefikishwa mahakamani lkn raisi anapuuzia auditing tena kwa kuikejeli sasa unategemea nini hapo? ...