Inajenga kinu kwa ajili ya niashati siyo ulinzi kama mleta mada alivyomaanisha. Lkn bado mchango wa mawazo yako ni mazuri na muhimu sana kutupa tahadhari. Ni hivi, ili aingize Urani toka nje atalazimika kutumia bandari ambayo hana, Tz itambana tu, bandari ya Kenya ni ya Wachina kwa miaka 50 ijayo kama zilivyo Lusaka Terminal 2 na mgodi wa shaba, Tz na China ni marafiki wa kihistoria. Civil flights zote za Rwanda na Burundi zinaongozwa na Rada za Tz tulizonunua 2019. Urani yake kama ni ya kutishia Tz itapitia wapi?