Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

Una kichaa wewe umeambiwa zaidi ya asilimia 70 ya dar haijapimwa !

Niambie ni mji gani South Africa wenye wastan wa kutopimwa kwa asilimia 70. Unaongea pumba tu.



Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kichaa ni wewe ambaye huelewi mada inahusu nini?South Africa na hata India kuna squatters nyingi huenda kuliko hata Dar!
 
kwamba wewe ni genius kiasi hicho....Rwanda inajenga kinu haijui itapata malighafi wapi!?
 
Wew ukishasikia nyuklia unajua n Kama ile ya Kim na ayatolah wao wanajenga cha nishat na sis tunajenga bwawa la Nyerere kwa ajili ya nishat alafu kila nchi n mipango kaz yao
 
kwamba wewe ni genius kiasi hicho....Rwanda inajenga kinu haijui itapata malighafi wapi!?
Post uliyojibu, maudhui yake siyo pa kupata malighafi BALI NAMNA YA KUINGIZA MALIGHAFI, rejea kusoma upya uone. Kwenye sekta ya mawasiliano leo duniani msisitizo uko kwenye maudhui/content ya mawasiliano, ukikosea hapo umechanja mbuga mkuu, mikono ya chuma ya TCRA na Mamlaka zingine husika inakuhusu.
 
Nyukria...sasa hata kuandika nyuklia hujui..utatuambia nini
 
Kidumu chama cha mapinduzi bwashee 👍
 
Wakijenga kinu wataimport madini ya Urani toka Tunduru Tz, kwahiyo bado ngoma droo mkuu. Rwanda haina Urani inajenga kinu, Tz tuna Urani hatuna kinu.
Uranium itatoka Kongo na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kule tayari Rwanda imekita mizizi ipasavyo. So far Rwanda ndani ya Ardhi ya Tz ni muda tuu utaongea kwamba aje achukue nini. Zama zile ilisikika kwamba Rwanda ni miongoni mwa nchi duniani zinazoongoza kuuza madini ya Tanzanite. Nikasema twafaaaaaaaaa
 
Mkoa wa Tanga ni mkubwa kuliko Rwanda. Kwa maana nyingine Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima ni level ya president wa Rwanda
Tanzania ni kubwa kuliko Ujerumani au Uingereza kwa mantiki hiyo unataka kutuambia kwamba rais wa Tanzania anamzidi Chancellor wa Ujerumani au waziri mkuu wa Uingereza.

Come to your senses you guy.
 
Security threats:

Leo yuko Kagame...nguvu zake ni kubwa sana....hatoishi MILELE....itafikia siku watapata viongozi dhaifu....

Ndipo hapo balaa litakapotokea....
Ni kweli mkuu...Hilo tunapaswa kuliangalia kama tishio kwa nchi yetu hasa kwa mikoa iliyopo mpakani na Rwanda na mikoa ya Nyanda ya Ziwa. Uwezo wa Rwanda kutunza kinu cha nyuklia ni mdogo mno na hasa kutokana na hali ya usalama na uhasama wa kikabila uliopo nchini humo. Anaweza akatokea mwehu mmoja akalipua hiko kinu na madhara yakafika kwetu. Rejea madhara kama hayo kule Chernobyl. Huu mji mpaka leo haukaliki na mamilioni walipoteza maisha.
 
Hakika mkuu wangu 😍
 
MFANO WAKO KWA CHADEMA NI MZURI SAANA, JE WA CCM VIPI, KUNGANGANIA KIMBIZA MWENGE NA SLOGAN ZA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA !!!!!!!!!!!!!!!!!!! WAKATI NI KINYUME CHAKE? ACHANENI NA MIZIKI YA MDUARA ( TARABU NYINGIII) HATUTAFIKA JAMAA ZANGU. 60YRS BADO TUNANGANGANIA TARABU NA MDUARA TUUU. HOVYO KWELI
 
Elimu yenyewe ni tatizo TZ,,,. Wanafunzi wanahitimu vyuoni lakini wanarudi mtaani bado ni wajinga kinma haina maana ata ya iyo elimu
 
Utetezi dhaifu sana, wakimbizi wana minimal impact kwenye nchi yetu.
Mpe muda Mama anamwaga mapesa huko mikoani ili miradi ifanikiwe. Uwe na akili chanya lakini ili upunguze mzigo wa lawama ulio nao kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…