Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

TISS kuweni macho na hao majirani.

Je wanatengeneza kwa malengo yapi?
 
Tanzania tunayo urani nyingi, tutawauzia lakini siku kikilipuka kama ilivyotokea Urusi tutakwisha wote.
 
Rwanda mnayoisifia wapinzani kila siku wanajinyongea rumande/
 

Nchi haiwezi kuendelea kwa ulalamishi.

Maendeleo ya nchi yanaanza na raia wake kuamua nani awaongoze, wawekeze kwenye shughuli zipi,walipe kodi kiasi gani, wakaribishe nchini wawekezaji wa aina ipi na kwann n.k n.k

Kutokana na hilo hapa tulipo ni matokeo ya maamuzi yako wewe mimi yule na babu zetu.
KAZI IENDELEE.
 
Wewe ndio cantankerous kabisa! Kwani Kuna universal development strategy au trajectory?! Israel na South Africa walivifunga Vinu vyao vya nuklia, kwani Ina maana Rwanda inayojenga kinu Leo inawazidi kiwango Cha maendeleo hao waliovifunga?! Fanya homework yako vizuri hata hicho kinu Chao Cha nuklia hakitazalisha hata robo ya capacity ya JNHPP 2115MW! na Bado tuna vyanzo vingine lukuki! Za kuambiwa changanya na za kwako! Nyau we.
 
Mwamba umetisha Sana unauelewa wa vitu vingi Tena kwa upana

Wapo watakaokubeza lakn ukwel mchungu binafs hoja yako zakujenga zaidi

Tungepata watu 10 top leaders wenye mawazo Kama haya hakika tungekuwa mbali

Kudos bro
 
Hahahaaaa....... Umeshafura!
 
Reactions: MTK
Hahahaaaa....... Umeshafura!
Napenda threads na comments ambazo ni researched and enlightened, sio kupost ili mradi umepost uhesabiwe kwa contributers na ushabiki sambusa tu![emoji2][emoji2956]
 
Na ujanja wako wote meku unatamani kinu cha nyuklia?

Bora ungesema wajenge halafu watuuzie umeme.
Nchi ZA mbele wanaanza kuachana na umeme wa nyuklia
 
wewe unazungumza elimu wakati watu wengine wanaiponda kuwa kwenda shule ni kupoteza muda, badala yake wanafikiria namna ya "kutoka" bila kupoteza muda shule!
 
Wachache wa
Wachache watakuelewa lakin wengi hawatakuelewa hi ni congfier Sana bwanaa
 
Hata Uswis ni ndogo sana lakini pato na maendeleo yake ni maradufu ya hapa kwetu. Ukubwa wa nchi yetu ni kama ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.
Uswisi ni Ulaya mkuu, Tanzania ni afrika. Uswisi hawasumbuliwi na wakimbizi kama Tanzania.
 
mkuu siku zote mzalishaji hajawahi kuendelea kumzidi yule mteja wake(mfanya biashara) hivyo basi kama rwanda atahitaji kununua Uranium kutoka TZ yeye ndie atakua na nafasi kubwa ya kuendelea zaidi kuliko TZ ambae ni mzalishaji.
You sound logical mkuu, why? hata ile gesi pale Lindi, tumeshindwa kama taifa kujenga kiwanda hadi leo badala yake inasafirishwa kwa meli kwenda Ulaya ili ichakatwe huko ndiyo irudishwe kwa mlaji Tz kutumia majumbani na mahospitalini. Veta waligundua siku nyingi matumizi ya gesi kwenye magari lakini ubunifu wote huo unaachwa ufie mbali, tutapataje kupona kama taifa? Mgunduzi wa kwanza wa bunduki duniani aligundua gobore kwanza ndipo ikaboreshwa kuwa bunduki ya kisasa, sisi hapa wagunduzi wa gobore wanaozea jela, wa redio nao wanaozea jela, wa ndege za kuruka kilomita moja nao wanaozea jela. Mhe. Majaliwa kule Kigonsera Secondary akiwa mwanafunzi alibuni redio hadi ikawa inapokea mawimbi hakuendelezwa kipaji chake akaishia kwenye siasa. Rwanda leo wana kiwanda cha ku-assemble simu za viganjani na magari. EAC cake inagombaniwa na Kenya na Rwanda not Tz na Uganda, kama ni soka ktk EAC, basi Kenya na Rwanda ndiyo kama Simba na Yanga sisi huenda ni Geita sijui! Hatuwezi kukataa ukweli kwamba kuna sehemu tuna dosari.
 
Una kichwa kigumu Sana wewe. Kama uneishindwa kuelewa logic ya nilichoandika Basi wewe IQ yako Ni ya kiwango Cha chini Sana ?

Naona Umekimbilia kwenye Idadi ya miaka ya nchi kupata uhuru ndio sababu ya nchi kuendelea !


Haya naomba uniambie Burundi na Rwanda zenye almost size sawa ( Square kilomita) na idadi ya watu bila kusahau miaka ya kupata uhuru ni almost sawa. Sasa niambie kwanini Rwanda iko vizuri kimaendeleo kushinda Burundi
 
Hii ni sababu ya hovyo sana. Unasahau udogo wao upo kila sehemu lakin wameweza.

Sisi na ukubwa wetu pia tuna vingi sana.
Sisi tumeruhusu Dar iliyojaa wanaharakati ndio itawale siasa zetu. Badala ya kuruhusu mikoa iwe na uhuru wa kiuchumi ifanye mengi yatakayokuza ustawi wa Tanzania.
 
Mbona Burundi ni nchi ndogo na haina Maendeleo?

Kwanini hamkubali kuwa Tanzania tuna Viongozi wabovu wasio na vision?
 
Kigololi kikikushuka lazima uitaje Chadema.
 
Mkuu unaniumiza kichwa tu. Libya na DR Congo ni size sawa na zote mbili kwanini ni maskini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…