Rwanda wanajiandaa kwa SGR itakayowafikia ya kwanza kati ya Tanzania na UGanda

Utabaki kupiga kelele kama kuku jike, kila mnachoshindwa mnatoa sababu za kijinga, kwani wakati mnatiliana mikataba na Total hayo yote hamkuyajua?, uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana.

Sababu kubwa iliyotolewa na Total ni sababu za security, ukabila wenu umesababisha koo mbalimbali na wafugaji kule kaskazini kupigana mara kwa mara, ujinga wenu ukawafanya mjipeleke kwenye vita msivyoviweza, matokeo yake alshaabab wanawavua chupi.

Sababu ya pili iliyotolewa na Total ni kwamba Bandari ya Lamu haukiwa imejengwa, ingechukua muda mrefu kusubiria hadi ikamilike wakati Bandari ya Tanga tayari inafanya kazi.

Sababu ya tatu ni kutokuwepo kwa miundombinu iliyo tayari huko Northern Kenya, kama barabara, umeme, viwanja vya ndege, maji na mahitaji muhimu ukilinganisha na Northen part of Tanzania, hizo unazozitaja wewe umezitoa wapi?.

Nchi inaporomoka na kufilisika kwa sababu ya ujinga wenu wa kujitetea kila mnaposhindwa, hamtaki kukubali kwamba uwezo wenu wa akili ni mdogo sana, hamna mnachoweza kufanya, na mkikifanya mnaishia kujenga na kununua gari moshi za zamani zisizofaa kwa matumizi ya dunia ya sasa tena kwa bei kubwa bila maelezo yoyote, bado mnatetea serikali kwasababu inaongozwa na Kikuyu, hovyo kabisa ninyi.
 
hehehe,eti mivivu..duh yaani tunapambana nanyi soko la Rwanda, ambalo mnafaa mnamonopolize nyie viumbe lazma pogba aendelee kuwanyoosha tuπŸ˜€πŸ˜€
 
Tatizo kubwa uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, ndiyo sababu Magufuli anawachezea anavyotaka, anawazunguka kila pembe wanabaki kujitetea kwa kutoa sababu nyepesi nyepesi, wakishindwa Rwanda, wanasema mpo karibu na Rwanda, wakishindwa Uganda waliokaribu yao wanasema topoghraphy yenu ni nzuri, wakishindwa utalii wanasema mpo na vivutio vingi, wakishindwa kuvutia FDI wanasema nchi yenu imebarikiwa kuwa na mali asili, wakiwa na njaa, wanasema hatuna ardhi, hawa jamaa ni shida.
 
Mbona hata South Sudan wana wakimbia. Mliwalea na kuwapa kila kitu, lakini leo hii wanaona wakafanye biashara na Wasudani wenzao, Djibouti na Tanzania.

Hizo ni zile wishful thinking zenu humu, Wasudani wasiwatie wasiwasi wapo kwapani, tujadili hela za Mkongomani na Mrundi na Mnyarwanda ambao mumewatesa kwa uvivu wenu. Na mkicheza hiyo SADC tutaiburuza.
 
Hizo ni zile wishful thinking zenu humu, Wasudani wasiwatie wasiwasi wapo kwapani, tujadili hela za Mkongomani na Mrundi na Mnyarwanda ambao mumewatesa kwa uvivu wenu. Na mkicheza hiyo SADC tutaiburuza.
Hata kwa Rwanda Burundi DRC wote wako kwapani. Walishakuja na kuweka saini. Sijamuona Kagame, Nkurunzinza wala Kabila kuweka saini mahali popote na serikali ya Kenya.
 
hehehe,eti mivivu..duh yaani tunapambana nanyi soko la Rwanda, ambalo mnafaa mnamonopolize nyie viumbe lazma pogba aendelee kuwanyoosha tuπŸ˜€πŸ˜€

Huwa wananishangaza sana, just imagine, cheki ramani uone jinsi hawa jamaa walivyokua favoured, lakini mivivu ya kutupwa kuleeee, inabidi tuwape ushindani mpaka kwao ndani. Sasa hivi ukilinganisha na mataifa yote yaliyowazunguka au kupakana nao, Kenya ndio imewekeza ndani yao zaidi ya mataifa yote hayo.

Tutakula nao mpaka wakome au waikimbie nchi, hehehehe!!!
 
Hata kwa Rwanda Burundi DRC wote wako kwapani. Walishakuja na kuweka saini. Sijamuona Kagame, Nkurunzinza wala Kabila kuweka saini mahali popote na serikali ya Kenya.

Kuweka saini ndio huko kutekenyana ambacho mumezoea tangu enzi zileeee, lakini mwisho wa siku takwimu za bandarini kwetu zinaonyesha kuna mizigo inaenda Burundi, DRC, Rwanda n.k.
 
Umesema kweli, mshika usukani hapa ni Magufuli. Anajuwa kula na kipofu. Angalia juzi MK254 ameweka uzi hapa eti bila Kenya Uganda haipati mkopo wa SGR utafikiri huo mkopo wanatowa wao. Umeoma Tanzania inavyo inyenyekea nchi ndogo kama Rwanda na kuwaita equal partners. Tunajuwa tunataka nini, ukitaka cha uvunguni shurti uiname.
 
Kila mara huwa ninasema wakenya wana akili za kuku, sasa inakuaje mtu kufurahia kwenda kuwekeza kwa mwenzake wakati kwake 48% ni unemployed, sasa hapo nani ni mshindi?, kila nchi inajitahidi kuvutia wawekezaji nchini mwake, tumewashinda katika hilo, hadi wawekezaji wenu wanakuja kwetu, akili za kuku zinafurahia kwa kupeleka ajira katika nchi jirani. Mungu tuhepishie hizi akili za kuku zibaki huko Kenya.
 
Kuweka saini ndio huko kutekenyana ambacho mumezoea tangu enzi zileeee, lakini mwisho wa siku takwimu za bandarini kwetu zinaonyesha kuna mizigo inaenda Burundi, DRC, Rwanda n.k.
Kwani tunakata mizigo haipiti Kenya, tofauti inakuwa Dar imeanza kugeuza mawimbi ya mizigo. No VAT, Grace period ya kuweka mzigo imeongezeka, hizo nchi zenyewe zimetangaza wanatumua bandari ya Dar kuliko Mombasa. Siasa zenu zinawaogopesha. Kupita Kenya sio tatizo, hata Zimbabwe kuna mizigo inapita Dar, na mingine South Africa.
 
Huyu jamaa uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana, ona anavyofurahia kwa wakenya kuja kuwekeza Tanzania wakati kwao wanaongoza kwa kutokuwa na ajira, sasa kama vichwa vyenyewe ndiyo hivi, tena anajiita msomi, hao wasiosoma wako katika hali gani?, ndiyo sababu wanaweza kuishi Kibera na bado wanaona ni kawaida.
 

Hayo ya kuita mara equal partner mara ndugu mara swahiba ndio hulka yenu, sisi ni wabepari tunapiga hela hatujui huo upuzi. Tunapiga mahesabu ya mulaa, mbeca, money.... Mambo ya undugu peleka kijijini lakini mjini ni mkao wa kukwapua.
 

Kaka hata muwape vitu vya bure kama mlivyozoea kuwapa Wachina na wengineo, mwisho wa siku takwimu ndio zinatafsiri ukweli wa ngoma.
Juzi hapa bandari yetu imeongeza traffic by 12% baada ya kuboresha ufanisi kwenye handling capacity. Kitu kingewasaidia ambacho mlisubiria kwa hamu ni kama Kenya ingelipuka kwenye uchaguzi, lakini tulivuka poa, msubirie miaka ingine mitano ya kichapo.
Subiri SGR itulie, tunakwenda kumsaidia Mganda apate hela kutoka kwa Mchina.
 
Wanamitihani mingi sana, kuanzia lishe, ukame, ajira, ongezeko la watu na sasa biashara ya kikanda.
 
Wala hatuna haja ya kusubiru miaka 5, Kenya ni pressure cooker. Uga ukipanda bei kidogo tu mtalipuka. Takwimu za Tanzania sioni dalili ya kushuka zitapanda mpaka mkome. Na hivi tunaongeza kina cha badari na kufufua zingine, ni mema tu yalio mbele yatu.
 
jamaa za tuta,twaja, tunawapiku acheni upuzii na maigizo ya usanii atleast mujenge km kadhaa za kuonekana πŸ˜€πŸ˜€
 
Mfa maji haishi kutapatapa na saizi wameingia kina kirefu ...magu mpaka atoke madarakan watakua wamejuta vya kutoshaa
 
jamaa za tuta,twaja, tunawapiku acheni upuzii na maigizo ya usanii atleast mujenge km kadhaa za kuonekana πŸ˜€πŸ˜€
Tatizo ni kuonekana ujenzi au tatizo ni wateja hawaji Kenya kama ilivyokuwa zamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…