Rwanda wanajiandaa kwa SGR itakayowafikia ya kwanza kati ya Tanzania na UGanda

Rwanda wanajiandaa kwa SGR itakayowafikia ya kwanza kati ya Tanzania na UGanda

Bado unaruka ruka hutaki kusema ukweli. Nimekupa nafasi ujieleze sababu kwanini Kenya ipo ilipo sasa na sio mbali zaidi lakini naona unaogopa kusema ukweli.

Ngoja nikupe ukweli, usitafute mchawi mara sijuwi majirani zetu wavivu, mara tungekuwa karibu na Ghana Nigeria tumgekuwa mbali. Hizo ni sababu za uwongo. Tatizo la Kenya haliko mbali na Kenya liko halo hapo Kenya tena kwenye ofisi kuu ya nchi. Rais wenu wa kwanza ndio aliwauza kwa kujilimbikizia mali peke yake na familia yake na marafiki zake, bila kusahau kabila lake. Kenya ni nchi yenye rasilimali asili kidogo sana kulinganisha na nchi zingine za Afrika, mtaji mkubwa ulikuwa ni rasilimali watu. Lakini hakuna alikubaku kuwaendeleza watu watakao kuja kudai mali ya nchi kitu ambacho kitapunguza utajiri wa bwana Fulani.

Angalia Gavana wa Mombasa anavyo lalamika kazi za Mombasa zinahamishwa kwenda Naivasha kwa akina bwana Fulani.
Fear over loss of jobs as SGR takes on cargo

Wewe unaona Kenya imefikia uchimi wa $70 billion unachekela. Bila hata majirani zenu kuwa imara, mgekuwa mbali kama wanachi wote mngeshirikisha kwa kutoa haki sawa kwa kila raia. Tatizo muda umewapa kisogo, nchi zingine zimesha amka. SGR iliyotakiwa kujengwa Kenya tokea 1980s wakati uchumi ulikuwa mzuri, mnajenga leo tena iko hatarini kuwa tembo mweupe maana soko linahama.
Kuna watu waliugua degedege utotoni, akili zao ziliathirika utotoni sio rahisi kuelewana nao, sisi tuendelee kuchapa kazi, vumbi litawafikia usoni, wanaitamani sana wawe kama Tanzania, wanajidai wanaruhusu raia wa EA kwenda kuishi na kufanya kazi bila vibali, eti wanatutega ili nasi tuapwaruhusu waje kujazana kwetu, kamwe hatufanyi kosa hilo, hivi kuna mtu kweli mwenye akili timamu atakaye kwenda kuishi Kenya?, nchi limewashinda linafilisika wamebaki na kupiga domo, njaa imewashinda, eti tumewashinda kila nchi, huo ni uwendawazimu wa kikuyu, ukweli wanaujua, ukiingia katika comments za wakenya wengi wanakiri kwa Tanzania ipo vizuri zaidi ya Kenya, ila hawa vichaa wa huku achana nao.
 
Nimekupa majibu, tatizo unataka ujibiwe utakavyo au ulivyoaminishwa na kukaririshwa hapo Lumumba, sasa hilo haliwezekani maana kila mtu ana uhuru wa maoni yake.
Mwisho wa siku pamoja na kwamba kainchi ketu kadogo na nusu kame, sisi ndio mibaba wa kusema ukanda wote huu, miinchi mikubwa kama hilo lenu mnaishi nyuma yetu na mtabaki hapo kwa muda mrefu sana. Tunawashinda nyie na DRC na kila nchi yoyote iliyowazunguka na kutuzunguka, tumeshinda hata Msumbiji, kwa kifupi zungusha macho yako yote uangalie nchi zote zilizowazunguka kuanzia Msumbiji, Malawi, Zambia uende hadi Uganda wote mpo chini yetu, na kumbuka sisi tumewekeza kote huko tena heavily na bado tunatanua.....
Haha unachekesha, hata farasi kabla haja kata roho anarusha mateke ya mwisho. Miaka 10 iliyopita mliwacheka Ethiopia, Leo uchumi unakuwa 10% kwa mwaka. Kwa kipi kitakacho kuwezesha kuendelea kuongoza ukada huu? Kwa kuuza mauwa mengi? chai nyingi? Utalii? Au ndio hiyo SGR. Mbona nchi zingine wanafnya hivyo hivyo?

Wakikuyu hamtaki kusikia ukweli, mnafikiri Kenya ni ya familia moja au kabila moja. Gavana Joho huyo hapo, anasema kazi zinapelekwa Naivasha, wao wanabaki kuuza karanga kwa watalii.
 
Haha unachekesha, hata farasi kabla haja kukata roho anarusha mateke. Miaka 10 iliyopita mliwacheka Ethiopia, Leo uchumi unakuwa 10% kwa mwaka. Kwa kipi kitakacho kuwezesha kuendelea kuongoza ukada huu? Kwa kuuza mauwa mengi? chai nyingi? Utalii? Au ndio hiyo SGR. Mbona nchi zingine wanafnya hivyo hivyo?

Wakikuyu hamtaki kusikia ukweli, mnafikiri Kenya ni ya familia moja au kabila moja. Gavana Joho huyo hapo, anasema kazi zinapelekwa Naivasha, wao wanabaki kuuza karanga tu kwa watalii.
Upuziii
 
Kuna watu waliugua degedege utotoni, akili zao ziliathirika utotoni sio rahisi kuelewana nao, sisi tuendelee kuchapa kazi, vumbi litawafikia usoni, wanaitamani sana wawe kama Tanzania, wanajidai wanaruhusu raia wa EA kwenda kuishi na kufanya kazi bila vibali, eti wanatutega ili nasi tuapwaruhusu waje kujazana kwetu, kamwe hatufanyi kosa hilo, hivi kuna mtu kweli mwenye akili timamu atakaye kwenda kuishi Kenya?, nchi limewashinda linafilisika wamebaki na kupiga domo, njaa imewashinda, eti tumewashinda kila nchi, huo ni uwendawazimu wa kikuyu, ukweli wanaujua, ukiingia katika comments za wakenya wengi wanakiri kwa Tanzania ipo vizuri zaidi ya Kenya, ila hawa vichaa wa huku achana nao.
Hayo mambo ya kutega yaliwashinda kwa South Africa, waliwabana South Africa ili na wao waachiwe, lakini jamaa hawakutetereka, ikabidi waachie. Wanakurupukaga bila kufikiri madhara ya maamuzi yao.
 
Capacity ya port yenu ndio bure ukiongezea poor infrastructure sana sana barabara bogus. Hebu weka picha za hizo barabara nikuonyeshe vile ziko hali mbaya.
Hata unajuwa nini kinafanyika Dar port right this minute?
 
Nothing much, zaidi ya new berth ambazo Museven, Kagame wanazikimbia.
Dar port handles 13 million tonnes annually while Mombasa handles 15 million tonnes in the 6 months.
 
Wametenga kiwanja na kuanza ujenzi wa vituo, na kukaa mkao wa kusubiri reli itakayowafikia kwa haraka baina ya Tanzania na Uganda (ambayo itatokea Kenya).
Tayari mikakati yote ikiwemo upembuzi yakinifu na michoro ya safu ya kwenda na kutokea Uganda yamekamilika, wapo kwenye hatua za kusaka hela.
Japo pia upande wa Tanzania viongozi (Magufuli na Kagame) wamekutana juzi na kutoa matamko na ahadi.

------------------------------------------------------------------------

termini.jpg


The SGR passenger and cargo train terminal will be constructed in Ndera and Masaka. PHOTO | CYRIL NDEGEYA | NATION
The construction of the standard gauge railway is progressing well after the allocation of 370,000 square metres for both the passenger and cargo terminals.

The passenger terminal will be located at Ndera while the cargo station will be located at Masaka — two growing industrial, commercial and residential areas northeast of Kigali city.

The stations will be linked by bus rapid transit and express highways making the areas transport hubs.

“The SRG terminals had to be integrated in the ongoing development systems,” said Fabrice Barisanga, the planning division manager at the Rwanda Transport Development Agency (RTDA).

“These areas are strategically located as terminals for the regional standard gauge railway links from Uganda and Tanzania,” he added. Officials say the country’s logistics industry is currently dominated by foreigners who are competitive on pricing and other services.

“The main objective of the SGR is to bring down transport costs,” said Mr Barisanga.

Passenger traffic

He revealed that the SGR will also be extended to Bugesera International Airport at a cost of $85 million — an mount analysts say is worth it as the airport will generate passenger traffic and freight cargo for both the airport and railway.

Studies show that in its first phase, Bugesera International Airport will have a capacity to handle one million passengers and 150 million tonnes of cargo annually. The subsequent phases will follow with higher passenger and cargo capacities.

The country is ready to tap into the railway links on both the northern and central corridor.

However, the speed at which Tanzania and Uganda extend their lines to Rwanda’s borders will dictate which corridor the country will use first.

“We depend on both the central and northern corridors for imports and exports. Whoever comes to us first, we shall connect to that line,” said Mr Barisanga.

Kampala-Kigali SGR

The country remains hopeful about the delivery of the Kampala-Kigali standard gauge railway line with officials saying that the design is complete.

“We are now at fund mobilisation stage,” said an RTDA official who said the route for the railway line from Kampala has been mapped out. The route from Kampala-Kigali will go through Nyagatare, Gatsibo, Gicumbi, Rwamagana, Gasabo and will terminate at Masaka for cargo and Ndera for passengers,” said the official.

However, the Kampala-Kigali SGR faces challenges as delays in Kenya on raising financing for the Kisumu-Malaba stretch will affect the delivery of the section.

The progress in Tanzania is encouraging industrial players as the construction of the Isaka-Rusumo-Kigali stretch is set to start soon.

Government officials could not commit on the exact time the SGR construction works will start. They said the project is still at the transaction advisor level.

Last year in September, a Turkish firm was awarded a second contract worth $1.92 billion to construct the line between Morogoro and Makutupora.

Officials add that Tanzanian authorities have advertised for designing and building services for the Makutupora-Tabora-Isaka-Mwanza sections of the railway line.

Rwanda's SGR cargo, passenger terminals confirmed
Tutagawana mzigo wa uganda hakuna rangi mtaacha kuona
 
Dar port handles 13 million tonnes annually while Mombasa handles 15 million tonnes in the 6 months.
2017, Mombasa has increases cargo by 12%, Dar increase by 35%. We must doing something right. Considering we've scale back import as nation.
 
Nilishasema mara nyingi, hamuwezi kushindana na Kenya bila kuachia vitu vya bure, miaka yote mumeishia kuliwa na kubaki maskini.
Biashara sio kuuza tuu, hata zawadi ni biashara ya kesho.
 
Wakenya lazima wakubali kwamba Uganda ndiye aliyemkimbiza Rwanda kuamua kutumia central railway, kama Uganda wamekataa kujenga kipande cha Kampala - kigali, Rwanda haiwezi kuwa na maamuzi juu ya kuunganisha Kigali Rwanda. Kama ambavyo Uganda isivyokua na maamuzi katika ujenzi wa kipande cha Kampala Malaba, hadi Kenya ikubali kufikisha reli hadi Malaba, katika hili la Rwanda kuunganisha central corridor, mjadala umefungwa tuanze kuitazama Uganda na Kenya kama watafanikiwa kuunganisha reli yao.
Feasibility ya hiyo reli ya uganda-Rwanda haitakuwepo endapo Tanzania itatangulia kujenga.
 
Nyie mbona mmeachia vitu vya bure hadi SA mmewapa free entrance hapo kwenu ilhali nyie mkienda kwao mnalipa?
Pia wameachia Tanzania kwenda kuishi bure na hakuna mtu anataka hilo li nchi bovu, wanajidhalilisha kwa kuipigia magoti lakini hawatakiwi, wamebaki kuitegemea Tanzania pekee, Magufuli ana ngonzi ngumu haelewi kitu, kila siku anazidisha kibano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kenya ukilinganisha na majirani zetu sote, sisi ndio nchi tajiri.
Ethiopia wale wapo raia zaidi ya milioni mia moja, hivyo tukiingia kwenye per capita hawana lolote mbele yetu, pamoja na kwamba nchi yao kubwa utadhani bara lingine.
Ila wao nafuu kidogo sio mivivu kama nyie.

Sasa ukiaondoa hao Ethiopia, nyie wengine wote mliotuzunguka bado mnatajwa kwa nchi maskini was kutupwa. Hata DRC ambao nao wana liinchi likubwa zaidi yenu, lakini mnatajwa nyote kwenye kundi moja.

Sisi ubepari wetu ndio umetuwezesha kufika hapo tulipo, kwamba ukilinganisha na maitaifa yote ya ukanda huu
Kenya ndio muwekezaji mkubwa Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Sudan n.k.

Leo hii tungekua hata mbali zaidi tatizo tumezungukwa na mivivu hivyo yanatuchelewesha, inatubidi muda mwingi kupunguza kasi ili kuendana nyie, lakini tungezungukwa na mataifa kama Malaysia, Singapore aisei ligi yetu ingekua mbali.

Hii Africa bora wangeweka pamoja nchi za wachapa kazi kama Ghana, Botswana, Kenya, Rwanda n.k.
Halafu mivivu kama Tanzania na wenzake wasindikwe kwenye kundi moja, lakini sasa hilo haliwezekani, inabidi kuwavumilia, tumeunganishwa na nyie kwenye kiuno hivyo tunaishia kuwaburuza kote tuendako.

umeongea craps za kumwaga. yaani na NYIE Kenya mnataka mfananishwe na Botswana na Namibia?? acha kufananisha Botswana na VITU vya kijinga kama Kenya. NYIE kupiga kura tu ya kupinga ujinga wa Trump mlijificha. teh teh teh teh tihiii
 
Pia wameachia Tanzania kwenda kuishi bure na hakuna mtu anataka hilo li nchi bovu, wanajidhalilisha kwa kuipigia magoti lakini hawatakiwi, wamebaki kuitegemea Tanzania pekee, Magufuli ana ngonzi ngumu haelewi kitu, kila siku anazidisha kibano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hanhanhaaaaaa umenikumbusha, tena sio kuishi tu bure, bali ni kuishi na kuoa bure! Yaani wanatoa vitu bure hadi dada zao wanatupa bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom