Kenya ukilinganisha na majirani zetu sote, sisi ndio nchi tajiri.
Ethiopia wale wapo RAIA zaidi ya milioni mia moja, hivyo tukiingia kwenye per capita hawana lolote mbele yetu, pamoja na kwamba nchi yao kubwa utadhani bara lingine.
Ila wao nafuu kidogo sio mivivu kama nyie.
Sasa ukiaondoa hao Ethiopia, nyie wengine wote mliotuzunguka bado mnatajwa kwa nchi maskini was kutupwa. Hata DRC ambao nao wana liinchi likubwa zaidi yenu, lakini mnatajwa nyote kwenye kundi moja.
Sisi ubepari wetu ndio umetuwezesha kufika halo tulipo, kwamba ukilinganisha na maitaifa yote ya ukanda huu
Kenya ndio muwekezaji mkubwa Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Sudan n.k.
Leo hii tungekua hata mbali zaidi tatizo tumezungukwa na mivivu hivyo yanatuchelewesha, inatubidi muda mwingi kupunguza kasi ili kuendana nyie, lakini tungezungukwa na mataifa kama Malaysia, Singapore aisei ligi yetu ingekua mbali.
Hii Africa bora wangeweka pamoja nchi za wachapa kazi kama Ghana, Botswana, Kenya, Rwanda n.k.
Halafu mivivu kama Tanzania na wenzake wasindikwe kwenye kundi moja, lakini sasa hilo haliwezekani, inabidi kuwavumilia, tumeunganishwa na nyie kwenye kiuno hivyo tunaishia kuwaburuza kote tuendako.