Rwanda wanajiandaa kwa SGR itakayowafikia ya kwanza kati ya Tanzania na UGanda

Kuna watu waliugua degedege utotoni, akili zao ziliathirika utotoni sio rahisi kuelewana nao, sisi tuendelee kuchapa kazi, vumbi litawafikia usoni, wanaitamani sana wawe kama Tanzania, wanajidai wanaruhusu raia wa EA kwenda kuishi na kufanya kazi bila vibali, eti wanatutega ili nasi tuapwaruhusu waje kujazana kwetu, kamwe hatufanyi kosa hilo, hivi kuna mtu kweli mwenye akili timamu atakaye kwenda kuishi Kenya?, nchi limewashinda linafilisika wamebaki na kupiga domo, njaa imewashinda, eti tumewashinda kila nchi, huo ni uwendawazimu wa kikuyu, ukweli wanaujua, ukiingia katika comments za wakenya wengi wanakiri kwa Tanzania ipo vizuri zaidi ya Kenya, ila hawa vichaa wa huku achana nao.
 
Haha unachekesha, hata farasi kabla haja kata roho anarusha mateke ya mwisho. Miaka 10 iliyopita mliwacheka Ethiopia, Leo uchumi unakuwa 10% kwa mwaka. Kwa kipi kitakacho kuwezesha kuendelea kuongoza ukada huu? Kwa kuuza mauwa mengi? chai nyingi? Utalii? Au ndio hiyo SGR. Mbona nchi zingine wanafnya hivyo hivyo?

Wakikuyu hamtaki kusikia ukweli, mnafikiri Kenya ni ya familia moja au kabila moja. Gavana Joho huyo hapo, anasema kazi zinapelekwa Naivasha, wao wanabaki kuuza karanga kwa watalii.
 
Upuziii
 
Hayo mambo ya kutega yaliwashinda kwa South Africa, waliwabana South Africa ili na wao waachiwe, lakini jamaa hawakutetereka, ikabidi waachie. Wanakurupukaga bila kufikiri madhara ya maamuzi yao.
 
Capacity ya port yenu ndio bure ukiongezea poor infrastructure sana sana barabara bogus. Hebu weka picha za hizo barabara nikuonyeshe vile ziko hali mbaya.
Hata unajuwa nini kinafanyika Dar port right this minute?
 
Nothing much, zaidi ya new berth ambazo Museven, Kagame wanazikimbia.
Dar port handles 13 million tonnes annually while Mombasa handles 15 million tonnes in the 6 months.
 
Tutagawana mzigo wa uganda hakuna rangi mtaacha kuona
 
Dar port handles 13 million tonnes annually while Mombasa handles 15 million tonnes in the 6 months.
2017, Mombasa has increases cargo by 12%, Dar increase by 35%. We must doing something right. Considering we've scale back import as nation.
 
Nilishasema mara nyingi, hamuwezi kushindana na Kenya bila kuachia vitu vya bure, miaka yote mumeishia kuliwa na kubaki maskini.
Biashara sio kuuza tuu, hata zawadi ni biashara ya kesho.
 
Feasibility ya hiyo reli ya uganda-Rwanda haitakuwepo endapo Tanzania itatangulia kujenga.
 
Nyie mbona mmeachia vitu vya bure hadi SA mmewapa free entrance hapo kwenu ilhali nyie mkienda kwao mnalipa?
Pia wameachia Tanzania kwenda kuishi bure na hakuna mtu anataka hilo li nchi bovu, wanajidhalilisha kwa kuipigia magoti lakini hawatakiwi, wamebaki kuitegemea Tanzania pekee, Magufuli ana ngonzi ngumu haelewi kitu, kila siku anazidisha kibano[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

umeongea craps za kumwaga. yaani na NYIE Kenya mnataka mfananishwe na Botswana na Namibia?? acha kufananisha Botswana na VITU vya kijinga kama Kenya. NYIE kupiga kura tu ya kupinga ujinga wa Trump mlijificha. teh teh teh teh tihiii
 
Hanhanhaaaaaa umenikumbusha, tena sio kuishi tu bure, bali ni kuishi na kuoa bure! Yaani wanatoa vitu bure hadi dada zao wanatupa bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…