Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hivi waziri akitoa maoni yake binafsi kama yako tofauti na mlengo wa serikali anafukuzwa?Haya ni matokeo ya interview ya AlJazeera aliyofanya waziri juu ya Rusesabagina’s case. Sasa hapa Kagame anamuangushia jumba bovu waziri maana siri zote zishajulikana.
Hivi waziri akitoa maoni yake binafsi kama yako tofauti na mlengo wa serikali anafukuzwa?
Si bora basi hata angetoa maoni yake binafsi. Yeye kasema ukweli mtupu. Na ukweli kwenye hii kesi ni embarassing to Rwanda, bora hata asingefanya interview.Hivi waziri akitoa maoni yake binafsi kama yako tofauti na mlengo wa serikali anafukuzwa?
kafanyaje? kasema nini?Si bora basi hata angetoa maoni yake binafsi. Yeye kasema ukweli mtupu. Na ukweli kwenye hii kesi ni embarassing to Rwanda, bora hata asingefanya interview.
Ilikuwaje bwashee?Si bora basi hata angetoa maoni yake binafsi. Yeye kasema ukweli mtupu. Na ukweli kwenye hii kesi ni embarassing to Rwanda, bora hata asingefanya interview.
Kwanza alijichanganya akatuma bahati mbaya video ya ushahidi inayothibitisha Rwanda kuwa ndiyo ilikodi ndege iliyomleta yule jamaa wa hotel Rwandan (hii ikathibitisha kuwa kweli serikali ilimteka tofauti na madai yao kuwa alikuja mwenyewe). Katika kujitetea akaamua kuwambia aljazeera kuwa siyo waliokidi ndege ila walimtumia agent wao ambaye alikuwa karibu na jama wa hotel Rwanda hivyo Rwanda haikuhusikaa moja kwa mojakafanyaje? kasema nini?
Anafukuzwa saa mbili asubuhi. Kuna kitu wao wanakiita eti “collective responsibility” hata kama kiukweli ni maamuzi na matakwa ya kiongozi mkuu.Hivi waziri akitoa maoni yake binafsi kama yako tofauti na mlengo wa serikali anafukuzwa?
kafanyaje? kasema nini?
Hivi kwa akili yako Rusesabagina ajipeleke Kigali kibwege tu namna hiyo.Kwanza alijichanganya akatuma bahati mbaya video ya ushahidi inayothibitisha Rwanda kuwa ndiyo ilikodi ndege iliyomleta yule jamaa wa hotel Rwandan (hii ikathibitisha kuwa kweli serikali ilimteka tofauti na madai yao kuwa alikuja mwenyewe). Katika kujitetea akaamua kuwambia aljazeera kuwa siyo waliokidi ndege ila walimtumia agent wao ambaye alikuwa karibu na jama wa hotel Rwanda hivyo Rwanda haikuhusikaa moja kwa moja
Waziri mkuu si mhutuJamaa anakula wote, kuna siku uliskia waziri wa mambo ya nje muhutu?
Hakuna muhutu hata katibu kata.
Ndugulile akiwa naibu waziri Afya alienda kinyume na mkuu khs kujifukiza yeye akisema haiwi recommended na ina madhara kwny mfumo wa hewa akaishia kutumbuliwa.Hivi waziri akitoa maoni yake binafsi kama yako tofauti na mlengo wa serikali anafukuzwa?
Waziri mkuu wao wa sasa hivi.Yupi?