Rwanda: Waziri wa Sheria atimuliwa

Rwanda: Waziri wa Sheria atimuliwa

kafanyaje? kasema nini?

Ilikuwaje bwashee?
1. Kulikuwa na utata wa namna Rusesabagina alivyofika Rwanda. Rusesabagina anasema alitekwa wakati serikali inasema eti alienda mwenyewe.

Waziri amekiri kuwa Rwanda ilimtumia snitch fulani kuandaa mkutano kati ya Rusesabagina na wachungaji nchini Burundi (Rusesabagina huwa ni public speaker) Halafu wakamkodia ndege binafsi ambayo ndio ilimleta Rusesabagina Rwanda wakati yeye anadhani anapelekwa kazini Burundi. Baada ya kufika Rwanda maafisa wakaingia kwenye ndege wakamteka wakampeleka mahabusu.

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukamataji wa namna hiyo ni illegal.

2. Waziri amekiri kuwa nyaraka za Rusesabagina na mawakili wake zinapekuliwaga na serikali (kupitia jeshi la magereza) kwa hiyo Rwanda inasoma nyaraka za utetezi wa mtu anayeshitakiwa. Kwa hiyo dunia ishajua hapo hakuna fair trial.
 
Huyo alienda Dubai na alikua aende Burundi, ndege ya kukodi aliyopanda kikabadilishwa kibao angani kazimishwa kushtuka yuko Chigali na Kesi ya Ugaidi.
Eti alienda mwenyewe kupanga mashambulizi ya kigaidi 🤣🤣🤣,
Aisee,na kuna vi witness vinaenda kutoa ushahidi.
Africa sijui tulilogwa wapi
Yule watammaliza,zile video zake za youtube/bbc akiwasema anawapongeza FLN kwa kufanya mashambulizi ndani ya Rwanda na yuko nao bega kwa bega na pia documents zilizotumwa na mamlaka za belgium kwenda Rwanda khs Transactions mbalimbali alizokua anafanya za kutuma pesa kwenda kwa hao jamaa zitamponza.

No way atachomoka pale,imemkalia vibaya.
 
1. Kulikuwa na utata wa namna Rusesabagina alivyofika Rwanda. Rusesabagina anasema alitekwa wakati serikali inasema eti alienda mwenyewe.

Waziri amekiri kuwa Rwanda ilimtumia snitch fulani kuandaa mkutano kati ya Rusesabagina na wachungaji nchini Burundi (Rusesabagina huwa ni public speaker) Halafu wakamkodia ndege binafsi ambayo ndio ilimleta Rusesabagina Rwanda wakati yeye anadhani anapelekwa kazini Burundi. Baada ya kufika Rwanda maafisa wakaingia kwenye ndege wakamteka wakampeleka mahabusu.

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukamataji wa namna hiyo ni illegal.

2. Waziri amekiri kuwa nyaraka za Rusesabagina na mawakili wake zinapekuliwaga na serikali (kupitia jeshi la magereza) kwa hiyo Rwanda inasoma nyaraka za utetezi wa mtu anayeshitakiwa. Kwa hiyo dunia ishajua hapo hakuna fair trial.
Pk alifanya umafia haha haiwezekani kwa yule mtu kutua Rwanda kwa vyovyote vile
 
Kwanza alijichanganya akatuma bahati mbaya video ya ushahidi inayothibitisha Rwanda kuwa ndiyo ilikodi ndege iliyomleta yule jamaa wa hotel Rwandan (hii ikathibitisha kuwa kweli serikali ilimteka tofauti na madai yao kuwa alikuja mwenyewe). Katika kujitetea akaamua kuwambia aljazeera kuwa siyo waliokidi ndege ila walimtumia agent wao ambaye alikuwa karibu na jama wa hotel Rwanda hivyo Rwanda haikuhusikaa moja kwa moja
Jamaa wamewekeza sana kwenye intelligence na wana masnitch wenge sehem ambazo ni hatari kwao
 
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemfukuza kazi Waziri wa Sheria ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu, Johnston Busingye

Amefukuzwa kazi kwa kufanya kazi kwa kufuata matakwa yake badala ya kufuata

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amemfukuza kazi Waziri wa Sheria ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu, Johnston Busingye

Amefukuzwa kazi kwa kufanya kazi kwa kufuata matakwa yake badala ya kufuata sera za Serikali

FAKE NEWS! Uwe unawandanganya wa puuzi!. Ofisi ya Waziri Mkuu haiwezi andika hivyo.
 
Attachments

  • 20210302_155001.png
    20210302_155001.png
    97 KB · Views: 3
  • 20210302_154708.jpg
    20210302_154708.jpg
    217.6 KB · Views: 3
  • 20210302_154901.jpg
    20210302_154901.jpg
    178.4 KB · Views: 3
Kafukuzwa kazi siyo sababu ya kufuata sera zake...

Huyo kafukuzwa kazi kwa sababu ya kutokufuata sera za Kagame...
 
kwa mujibu wa viapo vya utumishi,amepata kinachostahili.jamaa ameshindwa kupambana na uzalendo na utu,nguvu ya uzalendo na utu imemzidi akafunguka ,yaliyopaswa kuwa Siri kwa maslahi ya Paul kagame.
 
twagilamungu Belgium,tundu Belgium,nashindwa kujua Belgium Ina agenda gani na watu hawa.
 
1. Kulikuwa na utata wa namna Rusesabagina alivyofika Rwanda. Rusesabagina anasema alitekwa wakati serikali inasema eti alienda mwenyewe.

Waziri amekiri kuwa Rwanda ilimtumia snitch fulani kuandaa mkutano kati ya Rusesabagina na wachungaji nchini Burundi (Rusesabagina huwa ni public speaker) Halafu wakamkodia ndege binafsi ambayo ndio ilimleta Rusesabagina Rwanda wakati yeye anadhani anapelekwa kazini Burundi. Baada ya kufika Rwanda maafisa wakaingia kwenye ndege wakamteka wakampeleka mahabusu.

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukamataji wa namna hiyo ni illegal.

2. Waziri amekiri kuwa nyaraka za Rusesabagina na mawakili wake zinapekuliwaga na serikali (kupitia jeshi la magereza) kwa hiyo Rwanda inasoma nyaraka za utetezi wa mtu anayeshitakiwa. Kwa hiyo dunia ishajua hapo hakuna fair trial.
Noma sana,yaani upo na watu mnaaminiana kumbe mwenzio yupo kikazi zaidi alafu na wewe bila kujua unaingia king. Duuh!
 
Rwanda Official Admits Legal Violations in ‘Hotel Rwanda’ Case​

NAIROBI, Kenya – Rwanda’s Attorney General has inadvertently revealed that he intercepted privileged and confidential legal documents in the ongoing terrorism case against Paul Rusesabagina, the prominent dissident whose efforts to save more than 1,200 people during the country’s genocide were portrayed in the Oscar nominated film. “Hotel Rwanda.”

In a video interview released by Al Jazeera English, Johnston Busingye, who is both justice minister and attorney general, dismissed accusations that authorities confiscated Mr. Rusesabagina’s papers or violated legal privilege. lawyer.

Johnston Busingye admits Rwanda did pay for the plane that transported Rusesabagina to the capital and defends the right of prison authorities to monitor the correspondence between the political dissident and his legal counsel. The Rwandan government has charged Rusesabagina with "terrorism-related offences".
Video Source : al jazeera

But in a 1.5-hour prep video his PR team accidentally sent to the media outlet, Mr Busingye contradicted himself, saying prison officials intercepted correspondence between Mr Rusesabagina and his lawyers and children. , some that included escape plans.

Mr Busingye also discussed with the team how to answer questions about whether the Rwandan government paid for the theft that in August took Rusesabagina to Kigali, where he was arrested for murder. , armed robbery and membership of a terrorist organization.

The latest revelations came just hours after a Rwandan court ruled on Friday that it had jurisdiction to try Mr. Rusesabagina – a Belgian citizen and permanent resident of the United States. It also came as the trial faces widespread condemnation by entities such as rights groups, members of the US Congress and the European Parliament.

The latest revelations, according to his lawyers, also obscure the chances that Mr. Rusesabagina will get a fair trial, given that his international lawyers have not been allowed to travel to Kigali to represent him and prison officials continue to prosecute him. confiscate his files. Mr Rusesabagina, a former hotelier, told his lawyers he was afraid of dying of a stroke in prison, and his family members said they remained concerned about his deteriorating health .

During the interview with Al Jazeera, Mr. Busingye denied that Mr. Rusesabagina’s communication with his lawyers was intercepted. But “if that has happened, it will be raised in court and the courts will treat it fairly,” he told Al Jazeera interviewer Marc Lamont Hill on the “UpFront” show.

In another clip released by Al Jazeera, Mr. Busingye is seen receiving advice on how to answer questions about who paid for the private jet that brought Mr. Rusesabagina to Kigali. In the video, the public relations consultant can be heard warning the minister to be “careful” because the interviewer “was looking for something to publish in a press release about the interview – looking for nuggets of difficult things ”.

When asked by Mr. Hill of Al Jazeera who paid for the jet, Mr. Busingye said the Rwandan government did.

Since Mr. Rusesabagina was presented to the press in handcuffs in Kigali on August 31, questions have revolved around how he ended up there.

He left his home in San Antonio, Texas, and arrived in Dubai on an Emirates flight from Chicago on the evening of August 27. He then checked in at the Ibis hotel in Dubai, according to a document from the United Arab Emirates mission in Geneva. , and five hours later, he boarded a private jet that he said was headed for Burundi, where he planned to speak to churches at the invitation of a local pastor.

The next day, the plane, operated by Greece-based charter company GainJet, landed in Kigali, where he was arrested, tied up and questioned.

Rwandan authorities have, notably in interviews with The New York Times, previously confirmed that they hired the charter service for government operations, but never explicitly confirmed that they hired the exact flight that brought Mr. Rusesabagina in Kigali.

In December, Mr. Rusesabagina and his family sued GainJet for his role in the episode.

After his arrest, President Paul Kagame – whose government had been trying to apprehend the 66-year-old Rusesabagina for years – called the operation “perfect” and said it was not an abduction.
As for Mr Rusesabagina’s escape plans, his daughter Carine Kanimba said she had received WhatsApp and Twitter messages since November from someone claiming to be one of her father’s prison guards. The messages, both audio and written and edited by The Times, described Mr. Rusesabagina’s routine and suggested ways to help him escape.

“I never answered,” Ms. Kanimba said in a telephone interview. “I was afraid to answer and that they would use it against my father.”

In December, the family also shared the material with the FBI, the US State Department and the Belgian Foreign Office.

Rwandan authorities doubled their position on Friday, calling the arrest “legal and proper”. In a statement, the Justice Department said that Mr. Busingye had become aware of a “possible violation” in December with regard to privileged documents, and that he had ordered that they be returned to Mr. Rusesabagina.

Kate Gibson, lead lawyer for Mr. Rusesabagina, disputed this statement, saying his papers “continue to be routinely and systematically confiscated, including his privileged and confidential documents”. Ms. Gibson is one of three lawyers awaiting authorization to represent the former hotelier in Kigali.
As recently as last week, she said, Mr. Rusesabagina was denied the right to go to his cell with his documents.

“We now see in the Al Jazeera preparation video that the content of privileged and confidential legal documents is reaching the highest levels,” she said in an email. “The right to confidential communication is at the heart of legal representation. Without this, it is impossible to consider a fair process. “
Source : Rwanda Official Admits Legal Violations in ‘Hotel Rwanda’ Case
 
Back
Top Bottom