Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

Jimbo kuu la Tabora ambalo ni kubwa kuliko nchi ya Rwanda lina parokia 30 tu
 
Watu wenye makananisa wanatumia mambo ya kiimani kuwaumiza waumini. Safi Kagame wapambanie watu wako. Piga spana kama wanachofanya nikinyume na utaratibu.
 
Angeongeza Bars za pombe na nyama choma, Casino + gambling, na brothel houses. Uchumi muhimu, wale wadada wote wakiwa baa maid tuta hamia Rwanda.
Tatizo ni kwamba hizo so called "dhambi" ulizoorodhesha hapo juu zinafanyika sana ndani ya so called "nyumba za ibada"
 
Hivi nyie mbona huaga wagumu hivo kuelewa when it comes to issues za dini yenu? Nani kasema kwenye Uislam lazima uwe na degree? Kagame ndio kapanga hivo; huna elimu dunia, achana na uongozi wa dini. Sio sheria ya dini, ni utaratibu wake Kagame. Unadhani hata Roman Catholic (haya makanisa alioyafungia hapa) na wenyewe huaga kuna kanisa la mtu? Makanisa yao yapo chini ya taasisi, taasisi ndio zinayaendesha, viongozi wake (mapadre) wameajiriwa na wamefunzwa hasa kuhusu dhehebu lao but Kagame kapita nao. By the way, Waislamu Rwanda is only 1% ya population na mostly ni wahamiaji.
 
Jimbo kuu la Tabora ambalo ni kubwa kuliko nchi ya Rwanda lina parokia 30 tu
Usitizame ukubwa eneo tu angalia na idadi ya watu mkoa wa tabora wako milion 3tu, lkn nchi ya rwanda wako milion 10. Sasa hapa uoni kwamba ni tofauti, mfano nchi ya canada na tanzania. Tanz inaingia mara nne kwa canada kieneo, lkn canada idadi ya watu ni milion 30tu tanz wako 60.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…