Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaa huyu angesifiwaAskofu wa Ovyo kwenye Kanisa Katoliki.
View attachment 3125576
Angekuwa yuko Rwanda huyu naye angefungiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa huyu angesifiwaAskofu wa Ovyo kwenye Kanisa Katoliki.
View attachment 3125576
Angekuwa yuko Rwanda huyu naye angefungiwa.
Rwanda inaongozaNiliona picha fulani Wanaume wanakunywa maziwa Bar
Tanzania ina cha kujifunza kwenye hizo parokia!Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Hata hapa kwetu unapigwa pini.Ukipiga tu kelele unapigwa pini
Waislam wapo 1% tu RwandaRwanda hawajawahi kufungia msikiti acha uongo labda hayo makanisa hususani katoliki kutokana na kunasibishwa na chokochoko zao zile za 1994,
Kwani hapa tunaongelea wapiWapi huko
Tanzania ina cha kujifunza kwenye hizo parokia!
Alafu usichokijua msikiti ni tofauti na kanisa kwamba ukipata sehemu we unafungua tu unaanza kupiga hela,, msikiti sio wa shekhe bali ni waumini,, hebu nitajie shekhe yoyote unaemjua wewe anaemiliki msikiti, na kwenye imani ya kiislam kigezo sio degree huku ni kufuata mafundisho ya kiislam kama yalivyoagizwa na mungu so hizo degree zake ukiingia msikitini unaziacha njeKuna sheikh ana degree kule Rwanda kweli? Maanake kigezo kilikua ndio hicho; huna ANAFUNGA na jamaa hanaga gear ya reverse kama JPM
Wewe umesema wamefungua sawa ni wapi wamefungua?Tumia akili .... kwani unadhani serikali itawazuia kwa misingi gani kufungua shule za dini yao...
Hapa kwetu walokole wangepigwa pini maana ndo kila kitu wanaimba prey for isreliSerikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
-eHapa kwetu walokole wangepigwa pini maana ndo kila kitu wanaimba prey for isreli
Ujuwe umenivunja mbavu wewe nikivuta na kumbukumbu, hapa watu hawaelewi nachekea nini?Ukileta hapa kwetu nchi itawaka moto,,imagine Kizee kivaa kobazi na kanzu lake limepauka, imagine vimama vya kilokole vilivozoea kukanyaga mafuta....watu hawa wamepokea dini kuliko wenye nazo...chanzo cha umaskini wa taifa letu.
And kiswahili also he speaks fluently.Kagame can speak three languages, English, Kinyarwanda, and French,[369] and is a supporter of Arsenal F.C.[370] He is Catholic.[371][372]
Wakatoliki hawapigi keleke tena husali saa 1 - 2, mpaka jpili ijayo tenaRwanda maeneo mengi hawapendi kelele
Kuna mitaa maalumu ya vileo na shughuli mbali mbali