Rwanda yaipa Gaza msaada wa chakula, dawa na vifaa vya matibabu

Hata kule Syria kulitokea vita miaka kadhaa nyuma wananchi wakawa wanatimkia kwa wala kitimoto Germany, wakairuka Turkey kwa waarab wenzao.

usikute wenzako walitamani kutest mdudu analadha gani. maana wanaskiaga mara oooh yakukuanga tamu mara rosti wakaona wakajionee wenyewe.
 
lengo lake tumeshalijua. Atatangaza kuwapokea kwake na kuwapa makazi Kama misri, lebanona na Jordan wamewakataa.
 
Tunasubiri na misaada ya watanzania iwafikie.

Tanzania nchi yenye idadi kubwa ya waislamu cha ajabu ishu ya palestina imekaliwa kimyaa, hakuna maandamano wala dua kuwaombea hawa ndugu zetu, Dunia inatuhadaa
 
lengo lake tumeshalijua. Atatangaza kuwapokea kwake na kuwapa makazi Kama misri, lebanona na Jordan wamewakataa.

Ile ardhi hatoki mtu, kitaeleweka mpaka mwisho, na mtakuja kuona hao ndugu zenu mayahudi wakiangamia.

Ninyi wengi wenu mnawachukia sana waarabu, na uislamu kwa ujumla, lakini pamoja na hayo mnajisumbua tuu,
 
Arabs wa Gaza wana enjoy misaada katika maisha yao hawapendi kufanya kazi.. wavivu mno wala haitaisha hii tabia ndio maana hawapendwi na nchi za kiislam pia wanatabia za udokozi udokozi
Huu ujinga umeutoa wapi????
Wapalestina wana akili na teknolojia ambayo hata Watanzania hatuna.
Hata hizo silaha wanazotumia Hamas dhidi ya Israel wanaunda wenyewe ni local made.
Pia kama Gaza isingewekwa chini ya Israel ingekua mbali sana maana ina watu wachapakazi na wenye vipawa.
Ila Israel imewaekea blockade.
Pia acha uongo kuwa Palestines hawapendwi na waarabu wenzao.
 
Hivi hii Rwanda inatafuta nini? Kila Kona wapo tu dah!
 
Heko Museveni, mzee wa vitendo.
 
Hata kule Syria kulitokea vita miaka kadhaa nyuma wananchi wakawa wanatimkia kwa wala kitimoto Germany, wakairuka Turkey kwa waarab wenzao.
Huu uongo umeutoa wapi??!!
KASKZAZINI MWA TURKEY KUNA MJI UNAITWA LITTLE SYRIA NENDA KAUFUATILIE.
Pia usisahau kuwa east europe raia wakw wengi wanaongoza kuhamia TURKIYE KUTAFUTA MAISHA
Greeks,Serbians,Macedonians,Croatianas,Armenians n.k wamejazana sana huko Turkiye wakiomba uraia hata wasanii wakubwa unaona wakituruki wengi wao sio waturuki halisi ni wahamiaji kutoka hayo mataifa.
 
Rwanda wanambinu ya kujitangaza kimataifa,Malawi walikumbwa na mafuriko sikuwaona kutuma hata mkungu wa ndizi
Na Tanzania ndio iliyoongoza kupeleka misaada Malawi na Congo pia ila Rwanda haikuonekana.
 
Arabs wa Gaza wana enjoy misaada katika maisha yao hawapendi kufanya kazi.. wavivu mno wala haitaisha hii tabia ndio maana hawapendwi na nchi za kiislam pia wanatabia za udokozi udokozi

Sio wapalestina Hao watakua wazayuni ambao hela nyingi za zawalipa kodi marekan wanatumia wao tena kwa starehe kila mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…