Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ahaaaaa. Yaani JNHPP haina direct impact kwa mwanchi? Hivi leo umeme ushuke bei mfano unit moja iwe ni sh 100, nini kitatokea kwenye uchumi wetu?Si mlituaminisha umeme wa gesi unatosha hadi kusambaza nchi jirani hadi DRC ?? Mkaona haitoshi mnaenda rufiji
Kwanini hiyo opportunity cost msingepeleka kwenye bajeti ya maendeleo ya wizara ya kilimo na umwagiliaji ili wakulima wasitegemee mvua tu na watumie kilimo cha kisasa cha kuongeza tija??
Wanaposema maendeleo ya watu ndio maana hiyo yaani vitu ambavyo directly vina impact maisha ya mtu mmoja mmoja. Mfano msanii ukiweka usimamizi wa Intellectual property ni maendeleo ya MTU sababu directly inamgusa bila kusubiri spillover effects kma za hizo SGR cjui Bombardier!!
Kasome kuhusu inclusive economy ndio utaelewa hoja inasemaje