Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

Rwanda yatangaza kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri Mei 13, 2021

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa kesho ni siku ya mapumziko baada ya Usharika wa Waislamu nchini humo kutangaza kuwa kesho Mei 13, 2021 ni Eid El Fitri

Tangazo hilo lililotolewa na Wizara ya Utumishi wa Umma na Kazi limeeleza bayana kuwa kesho ni siku ya mapumziko kwa Watumishi wote wa Umma na sekta Binafsi

3453E6C4-6580-49A2-ABD9-95762E1C44BF.jpeg
 
Bakwata na TFF hawana tofauti.
Leo Bakwata wameamua kusogeza mbele sherehe za eid, badala ya kuwa Alhamisi sherehe zitakuwa Ijumaa.
Kama wewe umeuona mwezi sio mbaya ukapishwa ikatangazwa kuwa mwezi umeonekana

Maana kuna watu Jana 29 hawajauona mwezi na wao ni 30 pia mwezi hawajauona

Ninacho jua Mimi mwezi 29 ndio siku ya kubahatisha kuangalia mwezi mnaweza mkauona au msiuone ila mwezi 30 lazima mwezi muone kwa macho yenu kama hamjauona basi kuna sehemu mahesabu yamekosewa
 
Back
Top Bottom