Aliyekuambia mimi Sheikh ni nani?Shekhe mwezi umeonekana jana kenya
Anyway, Mamlaka za Kenya hawa hapa:-
Je, unaweza kunipa source yako?
REMEMBER: Usichanganye watu wanaosali Eid kwa kufuata kalenda za nchi zingine na wale wanaotumia local moon sighting!