Issue sio kuonekana... umeonekana wapi?!huyo kadhi wa kenya pia yupo under attack baada ya hiyo meeting badae alipepelekewa taarifa na watu wa kuaminika akiwemo shekhe Mbaraka Awes kwamba mwezi umeonekana na bado hakutangaza
inshort viongozi wetu wa dini wanatakiwa wajitathmini kwa haya yanayotokea ni aibu
kenya watu zaidi ya watatu wameenda na msikitini na tena wakaapa kwamba mwezi umeonekana na bado kadhi hakuwasikiliza
Hizo attacks nothing new kwa sababu ndizo zinazoendelea hapa JF hivi sasa!!
Btw, unaweza kutoa source ya taarifa yako? Ningependa kuona source kwa sababu haingii akilini kwamba kuna watu wenye sifa za kutoa testimony na wameapa msikitini na bado Kadhi agome... kwa faida ya nani?!