Kwa kweli mimi Hawa suni wananishangaza sana 29 mwezi hawajauona na 30 pia mwezi hawajauona katika hili BAKWATA wapo sahihi Kwa 100%Kama we we umeuona mwezi sio mbaya ukapishwa ikatangazwa kuwa mwezi umeonekana
Maana kuna watu Jana 29 hawajauona mwezi na wao ni 30 pia mwezi hawajauona
Ninacho jua Mimi mwezi 29 ndio siku ya kubahatisha kuangalia mwezi mnaweza mkauona au msiuone ila mwezi 30 lazima mwezi muone kwa macho yenu kama hamjauona basi kuna sehemu mahesabu yamekosewa
Kwani hao bakwata sio SUNI!? Ni SHIA ama!? Waislam tuondoke hukuKwa kweli mimi Hawa suni wananishangaza sana 29 mwezi hawajauona na 30 pia mwezi hawajauona katika hili BAKWATA wapo sahihi Kwa 100%
Unachotakiwa kusema ChiefKwani hao bakwata sio SUNI!? Ni SHIA ama!? Waislam tuondoke huku
Hili swala limekuwa fikirishi saana kwangu, 29 tee, 30 nako tee[emoji849][emoji848]
Una hakika gan haujaonekana, mim binafsi pamoja n wenzang tumeushuhudia kwa macho ytuKwa kweli mimi Hawa suni wananishangaza sana 29 mwezi hawajauona na 30 pia mwezi hawajauona katika hili BAKWATA wapo sahihi Kwa 100%
Mbona wwngne tumeuona.....kwann mnalazimisha kutoonekan....!!?Kwani hao bakwata sio SUNI!? Ni SHIA ama!? Waislam tuondoke huku
Hili swala limekuwa fikirishi saana kwangu, 29 tee, 30 nako tee[emoji849][emoji848]
Hili nimekuwa nikiliimba sio humu tu, kote kote.. Elimu ni jambo la msingi, allah s.w amesisitiza hilo kupitia mjumbe wake..Unachotakiwa kusema Chief
Waislam tusome Dini yetu
Ukisoma ukweli wa kusoma Chief...hakuna jambo katika mambo ya msingi utashindwa kujua ukweli wake
Wapi umeuona chief? Hata mimi nakula sikukuu kesho sababu ya kukamilisha 30 leoMbona wwngne tumeuona.....kwann mnalazimisha kutoonekan....!!?
Nimeuona na mim cwez udanganganya umma wa kiislam kwa 7b najua madhara yake mbele ya Allah aza wajallahWapi umeuona chief? Hata mimi nakula sikukuu kesho sababu ya kukamilisha 30 leo
We umeuona wapi?
Sijasema wewe muongo, nimekuuliza UMEUONEA WAPI?Nimeuona na mim cwez udanganganya umma wa kiislam kwa 7b najua madhara yake mbele ya Allah aza wajallah
Wanyarwanda hawako huru afadhali yetu sisi lile dubwana la Chato limeswapiwa na covid19
TZSijasema wewe muongo, nimekuuliza UMEUONEA WAPI?
Shekhe mwezi umeonekana jana Kenya.Wamekuambia kwamba wameuona huko Rwanda na Uganda au nao wanatumia mwandamo wa nchi zingine?!
Kama kutumia mwandamo wa nchi zingine, hata Tanzania wapo wanaosali Eid leo hii, tofauti ni kwamba BAKWATA inatumia kanuni ya kuonekana kwa mwezi locally, na hao wengine inawezekana wanatumia kanuni ya mwezi ukionekana Saudi Arabia!
Kwa taarifa yako tu, kuna makundi matatu:-
1. Kuna nchi ambazo wao lazima waone mwezi wenyewe au uonekane anywhere kwenye kanda yao
2. Kuna nchi ambazo wanaangalia endapo Saudia Arabia wametangaza mwezi kuonekana, na
3. Pia zipo nchi zinazoangalia ikiwa Turkey wametangaza kuonekana kwa mwezi
Kundi la kwanza, halitaki kubadilishwa na mabadiliko ya teknolojia, na wao wamesimamia pale pale kwamba "fungeni na fungueni kwa kuuona mwezi"
Kundi la pili, wanaendeshwa na mabadiliko ya sayansi na teknolojia kwa sababu, nchi kama Saudi Arabia, wana-spot mwezi kwa njia tatu:-
1. Kwa kuuona wenyewe kwa macho,
2. Kwa kutumia binoculars, na
3. Kwa kutumia Wanajimu!!