Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

Rwandair hujaribu sana, siku zote wapo kwenye kumi bora Afrika, licha ya kainchi kenyewe saizi ya mkoa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hapa inabidi kuwasifia Wanyarwanda, kainchi kadogo mithili ya mkoa lakini kanalambisha vumbi majitu makubwa Afrika, Rwandair imeshikilia namba saba, huku Kenya Airways ikiwa namba tatu, Ethiopia wameongoza.
===================

Skytrax has revealed the World's Top 100 Airlines for 2021 and Ethiopian Airlines maintained its number one ranking as the best African airline in 2021. The awards were based on customer surveys collected for 23 months, from September 2019 to July 2021, and comprise a mix of more normal travel times and pandemic travel. While the pandemic caused some shifting of airline positions compared to 2019, a handful of core airlines still maintained the higher rankings.

 
Yaani ndugu zako huko mandera wanaangamizwa na magaidi Wewe upo bussy na ligi za kingese
 
Wamalizane zane kwanza na Magaidi wa Somalia.
 
Yaani ndugu zako huko mandera wanaangamizwa na magaidi Wewe upo bussy na ligi za kingese

Hehehe Aibu sana kushindwa na kataifa kama Rwanda, nilishasema hupewi vyote, unyimwe ubongo upewe raslimali, au uwe na akili ila unyimwe raslimali.
 
Rwanda wapo vizuri wanajua kukomesha wezi, tofauti kubwa na Tanzania ni wezi huwezi kuwa na maendeleo kama kuna wizi wa kijinga kama bulb nje ya nyumba, wizi ni aina nyingi, tumegeuza wizi majina na tumeyapa thamani tofauti, eti, tapeli, dili, mchongo, vibaka na hata majambazi hao wote ni wevi ambao Rwanda wanajua kudili nao kiukamilifu.
 
Back
Top Bottom