Fikiri hata kabla ya yeye kutoa ushauri huo nini alikuwa amefanya ktk mgogoro huo baada ya miaka 17 ya mauaji ya kimbali He was foreigner minister 10 yrs then 6 yrs as president. Alipaswa kuwa amefanya mengi kama ni kuwasaidia Rwanda.
Ben et al, nataka mfikiirie zaidi kabla na baada ya ushauri wa jk kwa pk.
1) motive behind kwa tz kuchukua wapiganaji drc-ilikuw lini na uhusiano wetu na drc uko je ukilinganisha na Rwanda
2) Waraka na utafiti wa Mtikira kuhusu pk/Rwanda (note: Mtikira si kichaa na si mpinzani wa serikali kama ambavyo wengine tumedhani)- waraka huo ulitolewa lini na imemchukua muda gani kuufanhyia kazi.
3) Mahamuzi ya serkali kwa sasa ya ku-target mikoa ya kagera na kigoma na Geita-wahamihaji haramu. (Je ni wanyarwanda tu au na wengine- warundi, wakenya....). Ni kwa nini serikali ilione ilo sasa na si miaka iliyopita? Kuna wakati serikali inalala kulinda mipaka yake?
4) Nilini serkali itashugulikia suala la wahamiaji haramu kwa ujumla wake maana nasikia hata wachina wapo nchini? By the way wahamiaji haramu kwa mazingira ya tz ni nani? A joke qn to Ben8, kitu gani kinakutambulisha wewe kama mtanzania sasa hivi?. A serious note to your answer: Naomba international human rights watch wakawai kabisa maeneo ya operations Kagera, kigoma na Geita kuakikisha haki inatendeka ( gvt kuendesha operation hiyo kwa haki na si unyanyasaji-kumbuka polisi imeamliwa kupiga tu
5) Ujumla wa majibu na maswali mengine baadaa ya hayo ni kuwa: Hatua za serkali kwa sasa ktk mikoa hiyo ziko sahihi kama si provocation za vita ambazo zimeratibiwa kitambo; serkali itaimalisha ulinzi mipakani na ku-sort out issues zinazohusu uraia- nani mtanzania na kwa vitambulisho vipi? ; ku-revorke vitambulisho walivypewa wahamiji 1964/1972 hakitakuwa kipingamizi na kwenda kinyume cha mengi aliyoyafanya Nyerere...trend inaonesha tunataka kuonesha Nyerere was wrong...hii inafanywa na jk then atafuata el
6) Kama tukiingia vitani sasa na baada ya vita au ktk kutafuta suruhu ya vita hivyo sasa sababu zitakuwa zipi haswa? matusi ya pk, dharau za Wanyarwanda? mgogoro wa drc?? na sababu zisitafutwe sasa? tunahitaji sababu za msingi kabla na wakati huu, then you will get my support. Hapo hupo Ben et al?
1.We supported Kabila senior since the 60s, after the assasination of Patrice Lumumba. The aim was to establish a Socialist and democratic Congo, with the help of Che Guavara and Cuban Special forces, it didn't work because of the lack of committment from Kabila Troops coupled with CIA and other mercenaries supporting Mobutu. We were involved in the march to Kinshasa and subsequent training of Congo forces for a short period, before Kabila, walked out of the power sharing meeting held at Dar es salaam Sheraton Hotel. We somehow disowned him and RPF took over the military operations under Kabila.
2.Labda ungetuambia, kuhusu Mtikila, ila Ngara,BIHARAMULO na Geita zimekuwa over saturated na illegal immigrants. Siyo Mtikila peke yake hata wakazi wengi wa wilaya hizo wamekuwa wakilalamika .. crimes, land disputes, corruption etc. Something has to be done, dont you think?
3. Kwa watanzania, ni rahisi sana kumjua mhamiaji. Kwa mfano wewe ni mhamiaji, siyo mtanzania. We can easily spot them, ukiwa mtulivu poa, ukileta chokochoko huwa tunakuwa na roho mbaya sana, naomba mungu aepushie mbali.
4. Kuhusu mgogoro, we USED TO love and admire Kagame as a no nonsense president, he curbed corruption and helped change Rwanda a lot, we wanted a president like him. We used to (just few months ago) think that he's just like one of our own, we harbored RPF fighters. Kagame speaks good swahili na hata kwata za RPF zinapigwa kiswahili, wewe unadhani kuna kwata ya kitusi kwenye trainings za M23?, RPF?, NRA? .... HATA MAHI MAHI NA iNTERAHAMWE KWATA ZAO siyo za kiswahili.
Tunajua kuwa tumewatrain RPF, directly or indirectly, tumewakalisha na Habraymana na tumewafavor RPF from day one. Museveni is our own too, JWTZ, RPF na NRA NI brothers at arms kama walivyo FRELIMO na MPLA na SWAPO au hata ZANU fighters.... why would we want anything bad to happen to Rwandese??
AMEHARIBU NA AMEPOTEZA Heshima iliyokua mioyoni mwa watanzania, Tanzania is the most patriotic, the most Pan Africanist and above all those, the most blessed geographically and tactically to smash any surrounding "Districts" that dare disrespect, cause harm and/or move an inch of our borders ..... what makes it dangerous is, we know that and we grew up knowing that.
YOU GUYS NEED TO REALLY CHECK YOURSELVES, TALK TO YOUR COUNTRYMEN ....