Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser


Duh kwani JK aliweza sana?Si ndiyo maana tunataka kuwaondoa mkuu?
 

Membe alisomea International Relations.JK hakusomea na ali-mess.Taaluma za watu ziheshimiwe.Leave US out maana wana policy ya mambo ya nje ambayo ni clear na ni pilot.Makamu wa Rais ni bingwa wa sera za mambo ya nje na anabeba majukumu mazito.Tusijichanganye!
 
Kobello

Nilikuwa nafuatilia thread hii kama guest. Niliposoma maoni yako uzalendo ukanitoka nikasign haraka ili nikupongeze. You spoke my mind. You fit replace Membe in order to sharpen our edge on international matters. We have lost quite a lot over the last 16 years.

I do not think that what you said is strictly classified to Tanzanians! Why our "government in the absence of government" is not coming up so strongly to tell this truth?

Inasikitisha sana kuona baadhi ya watanzania wamefikia kumwona Kagame kama role model wao na hata kumwona ndiye mrithi halali wa fikra za Kambarage. Ama kweli la Kuvunda halina ubani.

Signing out
Baija
==========



 
Huyu na rais wake wote wapumbavu tu.

Fatou Mbesuda sijui anasubiri nini? Angekuwa rafiki yangu Moreno Ocampo ungesikia siku nyiiingi yupo mitaa ya maziwa makuu kuctafuta ushahidi wa kuwafikisha mbele ya ICC akina Kagame na M23 kwa sababu ya madhira wanayowasababishia wacongoman wa Goma na Uvira.
 
mnaomtetea kikwete akili zenu ni kama za kikwete mwenyewe.. you all FDLR sympathisers..!!

Tatizo lililopo ni kwamba PK ataendelea kuua mpaka lini!? Kaeni muongee muyamalize. Mnajenga nyumba moja kwa nini mnyang'wanyane fito?
 
mnaomtetea kikwete akili zenu ni kama za kikwete mwenyewe.. you all FDLR sympathisers..!!

Duh tunaambiwa mpo wengi hapa nchini na hata humu JF. Baada ya ndugu yenu kuharibu kwa kutoa maneno machafu kwa JK sasa mmeingia JF ili kupigana vita ya kimtandao. Mmetukosa!! Mlidhani tofauti zetu za kisiasa zitakuwa za kitaifa; hakuna kitu hapo watanzania wote linapokuja suala la kitaifa tunaacha CUF, CCM, CHADEMA, TLP na tunakuwa WATANZANIA. Nyie endeleeni tu kuwaita wenzenu wauaji ilihali nanyi wakati mnaingia Kigali mlikuwa na damu imejaa viganjani mwenu mkianzia na damu ya Fred Gisa Rwigyema.
 
Reactions: R.B
kupitia huu mgogoro na Rwanda nimejua true colour ya ben saanane!!


Join Date : 3rd August 2013
Posts : 32
Rep Power : 307
Likes Received1
Likes Given6





Mbona JF umejiunga jana tu wewe MTUTSI huyo Ben Saanane umemjulia wapi??
 

Ben bhana!first degree ya Benard Membe unaijuwa?ni B.A General,sijui ndo nini,MA ndo kadokoa IR
"Vox populi,Vox dei"
 
Nenda mbele rudi nyuma, tetesi tu wameajiriwa wangapi na kwenye sehemu nyeti nchini. Diplomacy kwa wote- africa ni yetu. Tuifanye iwe salama wote.
 
Ni muda muafaka sasa tanzania kuweka uzalendo kwanza,hivi hawa watu wanaojiita waangazi ni kwanini tusiwatumie watusi wote wanaojifanya ni watanzania
 
sawa kabisa alichowafanyia wenzake ndiyo kinachomtesa ,ana usiri ambao wenzao wanataka kuumaliza yeye bado anauficha
 
Watu tunapenda vita! Hata baada ya hotuba ya Rais bado tunajadili mapigano?!
Vita ni vita hata ukishinda utakuwa umepoteza nguvu nyingi sana. Labda kwa watoto waliozaliwa baada ya vita ya kumuondoa Iddi Amini ndo hawajui gharama tuliyoipata. Lakini watakuwa wanajua hata waliopaka ulemavu wa maisha.
Nimesoma Guardian ya leo na kuona ukomavu wa Editor kwa suala hili.
Someni mambo mengi vinginevyo tutakuwa tunarudia haya haya.
Anjo
 
Sidhani Kama kagame ana kiburi cha kupiga Tanzania lakini huyu jamaa na historia yake ya mauaji anatishia amani za mtu mmoja mmoja especially viongozi wetu ndo maana alisema mi nitasubiri nitakupiga hakusema atapiga nchi hiki kimama hakifai hata kujadiliwa na great thinkers pumbaf Kabisa
 

watanzania bwana eti elimu yake siyo chenge si msomi acha zako ni charisma ndiyo I smarter. Kuna waziri wa uchumi na fedha katika nchifulani ndogo katika umoja wa ulaya ana degree ya uvuvi marine and fishing lakini uchumi wa nchi hiyo umetulia na unastwai and. Stable yakwetu hapa maprofessor halat bwenyenye
 
Utasikia tu iv karibuni eti kagame na Rwanda inamchukia kikwete kwa ajili ya dini yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…