Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser


Sawasawa,Daktari anakua waziri wa ulinzi anashughulika na vifaru na makombora.Au siyo?Halafu milipuko ya mbagala na gongo la mboto anasema sijiuzulu na watu wanamhurumia kwa kuwa si fani yake,sivyo?Well...!
 

Mkuu kwa swala hili la Rwanda binafsi namuunga Mhs Rais wetu Kikwete mkono, katika maswala ya kimataifa waring factions inafika mahali lazima mpatane!! Utaona hata Wapalestina na Waisrael dunia inawalazimisha kukaaa meza moja na kufanya mazungumzo, ingawa kiasili hawa patani!!! Sasa kama kweli Rais Kagame ana nia nzuri ya kumaliza mgogoro wa Congo na kumpa mwenzake Rais Kabila amani inabidi badala ya kufanya vita huko Congo eti anafuatilia watu waliofanya gernocide Rwanda hasa hao Wahutu awamalizie huko Congo, kwa nini asitafute muafaka kwa kukaa meza moja nao ili wamalize huo uadui???? Kama kuna watu waliuwa watu Rwanda wapelekwe kwenye vyombo vya sheria kwenye mahakama za kimataifa wachuliwe hatua za kisheria??
Mheshimiwa Kagame, Mheshimiwa Kabila, Pamoja na wasuhishi wa kimatafa wakae wote pamoja na waasi wa FDR ili wapatane uadui uishe na roho za chuki ziishe, vinginevyo hiyo roho ya chuki na uadui walioijenga itaendelea kuitafuna Rwanda hadi vizazi sijui hadi lini???
 
Wewe acha kuwa na akili za Bavicha. Hakuna kitu kinaitwa kudeal na Kikwete alone. Anayedeal na Kikwete anadeal na watanzania.

Amka toka usingizini...

Nyerere alikuwa ana deal na amini moja kwa moja, na kila mara alisema amini ni joka lililovamia nchi yetu hakuwahi kusema waganda!! na ndio maana waganda walimuunga mkono!! Na mie na muunga mkono KGM ng'oa hii nduli ya TZ!
 

Mnaomtetea JK wote dhaifu kama yeye tu! unadhanii wanini Nyerere alipotangaza vita ya Uganda alimtaja amini kama adui binafsi na sio wganda wote!? Na ndio maana waganda walimuunga mkono Nyerere maana yeye alikuwa anamnyooshea kidole Amini tu.....huku akisema ndiee adui yetu!! na kagame ana sema JK tu ndie adui wa Rwanda .....hasemi watanzania!
 
Sasa naafahamu kwa nini wahutu waliwachinja watutsi
Kama rais mtusi yupo hivi
Anaogopa watutsi kupoteza madataka wapo kidogo rwanda so ni excuse tu
Anakalia kuti kavu tz tukiamua kuea arm tu wahutu basi kaggame ataondoka tena bila ua JTWZ.kuingia
 
Nyerere alikuwa ana deal na amini moja kwa moja, na kila mara alisema amini ni joka lililovamia nchi yetu hakuwahi kusema waganda!! na ndio maana waganda walimuunga mkono!! Na mie na muunga mkono KGM ng'oa hii nduli ya TZ!

Wewe na Dr. Slaa akili zenu hazina tofauti...
 

Hii habari ni ya siku nyingi sana acha uchochezi
 
Naona bangi zinasumbua kichwa yako, yaani kujiunga tu jana hapa JF unakuja na mitusi kibao namna hii kwa Rais wetu, wewe ni Mtutsi waheed na km sio Koba ni Murutongore
Kwa kukufahamisha na wenzako wote, mwisho wa Wanyarwanda na hasa Watutsi kwa ------ ndio mwisho ni kichapo tu, na tofauti za kisiasa mnazotegemea hata tukiingia Vitani na nyie hazitakuwepo kwa Watanzania. Eneleeni kuwaua tu waDRC lakini Biharamulo mmeshaondoka.
Sasa jaribuni kuchokaza km alivyofanya Idd Amini akavuka mpaka ndio kitakacho wanyoa km kanga mtakiona
Nyerere alikuwa ana deal na amini moja kwa moja, na kila mara alisema amini ni joka lililovamia nchi yetu hakuwahi kusema waganda!! na ndio maana waganda walimuunga mkono!! Na mie na muunga mkono KGM ng'oa hii nduli ya TZ!
Na wewe tafuta busara ni lini Kagame kaingilia nchi yetu, tunachongelea ni DRC na sisi tumepeleka vikosi huko.
sasa km una hamu mwambie afuatilie zile Ng'ombe walizoacha shemeji zake kule Kagera yaani tujue tu km kaingia ndani ya ardhi kijeshi km Nduli wako, maana yeye KAGAME si Commender in Chief wa M23
ndipo hapo tutakapomtaja
 
mumeshauriwa tu sio lazima kukubali, sasa matusi, shutuma za nini kwa rais wetu? hatujazoea ugonvi
 
Wewe nd -------- maana huoni ujinga wa rais wenu kilaza kuingilia mambo yasiyomhusu...mitanzania mijitu ya hovyo sana
Watanzania kuingilia mambo yasiyo wahusu, unadhani Tanzania tunao wakimbizi wangapi kwenye nchi yetu??? Bila vita wangeleitoka wapi, huoni kama hilo linatuhusu??? Upewe hifadhi miaka yooote sasa unajiona wewe ni bora saana??? Kwanini usikae chini ukafikiri madhara ya vita badala ya kushabikia mauwaji, acha roho za chuki na uuuwaji, muogope Mungu fanya mapatano na adui yako, adui mpende!!!!!
 
Kazi za waziri wa eac sitta ni nini????? Vikao vinafanyika ata kutoa taarifa; toa msimamo wa serikali anakaa kimya; sioni kwa akili yangu anamkomoa jakaya kikwete ila anakomoa watanzania. Rwanda waziri na anajibu kwa niaba ya rais kp

Sitta yuko bize na kuutaka urais mpaka anasahau majukumu yake-aheri apumzishwe apatikane mtu mwingine yeye aendelee na hizo ndoto zake!!
 
Reactions: R.B
ndo' ujiulize nimjua lini... c.h.o.k.o ww!
Kiswahili chenyewe mgogoro, pole saana!! Hivi mmeingia hapa JF kutete muuwaji PK?? Acha roho za chuki na mauwaji mshauri Rais wenu apatane na adui zake, ingawa naambiwa si mwepesi kusikiliza ushauri, poleni saana!!!
 
Kikwete alikuwa Waziri wa mambo ya nje kwa miaka 10, alikuwa na degree ya nini?

Swali zuri na muhimu. Jibu langu ni kuwa kwa kukosa taaluma husika ndiyo maana utendaji wake hadi wa sasa ni hati hati.
 
Vita ni gharama lakini kulinda hadhi ya Raisi wetu na nchi yetu tuamue moja tu ,tumdunde huyu mshenzi Kagame
Tusikimbilie vita eti tumdunde Rais wetu kashuri kukaa chini na kupatana wote sisi ni ndugu tena tumo kwenye jumuiya ya EAC ya nini tupigane??? Wacha PK apewe vidonge vyake atake asitake lazima akae na adui zake wapatane, tusimpe mlango wa kutokea, abanwe tuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…