S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

Milioni 100 ya mwaka 2001 ni ndogo kweli

Mzee wangu alinunua nyumba chang'ombe kwa milion 13 mwaka 2003
Na Mimi nilinunua Chang'ombe nyumba kubwa chini 5 room, juu 2;rooms. Servant quarter self contained wih 2 Rooms. Kiwanja zaudi ya SQM 800 with 99yrs tittle deed. Nililipa TZS,55,000,000 mwaka 2005. Kipindi hicho ni nyingi. Na upgrade nilizofanya sasa nitauza zaidi ya 1billion. Huo ndiyo uzuri wa Assets.
 
Blaza unatamani ungekuwa wewe!!
Acha tu ndugu yangu😂😂😂😂 najua hapo lazma mteja aliishiwa pumzi na wakili akafanya hisani na makubaliano ya pembeni. Huyu wakili kauaga umasikini aisee.
 
Nyumba ama viwanja vya urithi vinanunuliwa kwa akili nyingii sana
Ni kweli kabisa ukikosea tu inakula kwako mazima, hao walioshinda kesi wakae pamoja na amoni waone watafanyaje, huenda pasikalike wakipuuza namjua Sana Jamaa!
 
Dah nafikir huo ukoo sasa kuamzia vijukuu visha anza kuhesabiwa upyaaa ili.mgao ufanyike na maisha mapyaaa yaanze fastaa

Kwanza iyo Idy sikukuu nahisi wataangusha ng'ombe 6
 
Acha tu ndugu yangu😂😂😂😂 najua hapo lazma mteja aliishiwa pumzi na wakili akafanya hisani na makubaliano ya pembeni. Huyu wakili kauaga umasikini aisee.
Kazi iendelee kaka, kwenye wingu ndio kikomo.
 
Aombe mapitio ili mahakama iamuru waliokuwa wamiliki wa awali ambao wamerudishiwa umiliki wao wamlipe gharama za jengo au aruhusiwe kulivunja jengo lake ili wao wabaki na kiwanja chao.
Unajua gharama za kulivunja jengo lakini?naye ataombwa alipe gharama zote za kulitumia hilo eneo kwa miaka 20
 
Kumbe mahakama zetu ni ZA kiseee***8 hivi????

Wtf
 
Unajua gharama za kulivunja jengo lakini?naye ataombwa alipe gharama zote za kulitumia hilo eneo kwa miaka 20
Kama aliweza kulijenga hawezi kushindwa kulibomoa,hayo mengine inategemea jopo litasemaje.
 
Sauli ni mchawi mshirikina aliyekubuhu. Ninashangaa hii kesi imemshimda. Ila atakula nao sahani Moja mmoja hadi mwingine. Ni mtoa kafara mzuri mno
Sauli ni don toka zamani haya mambo ya uchawi unamuonea wivu since 80's huko jamaa anacash, jamaa alianza kuwa billionaire akiwa 25yrs
 
ww ndio unaijua sana sheria
Kivipi,kwani hao wengine ndio waliijua sana sheria? Mbona walikuwa wanaangaika mara kuweka mapingamizi,mara kukata rufaa hadi wakafanikiwa,basi hata S.H.Amon anaruhusiwa kuomba mapitio chini ya jopo la majaji watano(5) na kama bado hajaridhika anaweza kuomba mapitio chini ya jopo la majaji saba(7) na wapo waliofanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…