Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hapo ndio kwao kwa mama yake mzazi.
Hata hii ya hapa TUKUYU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hii ya hapa TUKUYU?
Hahahaa Haki imetendekaTaarifa kutoka Mahakama ya Rufaa inaonyesha kwamba Mbunge wa Mstaafu wa ccm Mh Sauli Henry Amon , ameshindwa kesi Mahakamani baada ya Familia ya Bushiri Pazi kurejeshewa nyumba iliyouzwa kwa mnada mwaka 2001 .
Ilikuwa hivi , Kampuni ya S.H.AMON ilishinda mnada wa nyumba namba 113 , Kitalu 4 , Block 17 ambayo ilikuwa mali ya Bushiri Pazi , iliyokuwa Kariakoo , Ilala , DSM , S.H.AMON alilipa Tsh mil 105 katika mnada uliofanyika 13/5/2001 , hii ilikuwa nyumba ya kawaida tu , baada ya kuinunua Sauli akaibomoa na kuporomosha jengo la ghorofa nane .
Mnada huo ulipingwa Mahakamani na Bushiri Pazi , ambaye alidai haukuwa halali , Baada ya danadana nyingi za kisheria kwenye Mahakama mbalimbali kwa miaka 20 , Hatimaye Ndugu Bushiri Pazi amerejeshewa nyumba yake , ila sasa si ile ya chini tena , ni ghorofa 8 .
View attachment 2203933
Chanzo : KYELA FM
Basi atakuwa wale wanaojiamulia Mambo bila kushirikisha washauri wa kisekta mfano wanasheria.kwa kadri ya kumbukumbu zangu hii ni nyumba ya pili huyu jamaa anapoteza mahakamani nyingine alipoteza akiwa amejenga ukuta sheria ikapita naye
Watoa taarifa hawakufafanua ila Bushiri Pazi alidai mnada uliouza nyumba yake haukuwa halaliTusimulie mgogoro ulikuwaje hadi kupelekea nyumba hiyo kupigwa mnada?
Umekosea kuripoti, hajarudishiwa nyumba ni amerudishiwa kiwanja, hivyo SH Amin, yuko free kuyachukua majengo yake, hivyo jamaa kubaki na kiwanja chake kirudishwe ile nyumba aliyoinunua.Taarifa kutoka Mahakama ya Rufaa inaonyesha kwamba Mbunge wa Mstaafu wa ccm Mh Sauli Henry Amon , ameshindwa kesi Mahakamani baada ya Familia ya Bushiri Pazi kurejeshewa nyumba iliyouzwa kwa mnada mwaka 2001 .
Ilikuwa hivi , Kampuni ya S.H.AMON ilishinda mnada wa nyumba namba 113 , Kitalu 4 , Block 17 ambayo ilikuwa mali ya Bushiri Pazi , iliyokuwa Kariakoo , Ilala , DSM , S.H.AMON alilipa Tsh mil 105 katika mnada uliofanyika 13/5/2001 , hii ilikuwa nyumba ya kawaida tu , baada ya kuinunua Sauli akaibomoa na kuporomosha jengo la ghorofa nane .
Mnada huo ulipingwa Mahakamani na Bushiri Pazi , ambaye alidai haukuwa halali , Baada ya danadana nyingi za kisheria kwenye Mahakama mbalimbali kwa miaka 20 , Hatimaye Ndugu Bushiri Pazi amerejeshewa nyumba yake , ila sasa si ile ya chini tena , ni ghorofa 8 .
View attachment 2203933
Chanzo : KYELA FM
Matajir wengi bongo dhulmaaKutaka mali kihuni. Huo mnada uliitishwa na mahakama?
Mbaya zaidi alikuwa anashindana na watoto wa jaji ambayo wazazi wao walifariki wakiwa wadogo sanaBasi atakuwa wale wanaojiamulia Mambo bila kushirikisha washauri wa kisekta mfano wanasheria.
... nyumba haina tofauti na mke. Huwezi kusema kwa sababu nimeshazaa naye watoto wa kutosha hata akiolewa na jirani yangu poa tu! Inauma usiombe hata kama ilisharudisha mtaji!Miaka 20 hajapata tu faida?
Miaka 20? Hana cha kupoteza.
Je mwenyewe aliyejenga akiamua kuivunja vp?
Sheria ina mruhusu
Ova
Aisee!Kutoka nyumba chakavu ya udongo mpaka kumiliki ghorofa tusikate tamaa wadau,ipo siku tutatoboa tu hata ikiwa uzeeni..ingekuwa mimi hapo muda huohuo nataka nione mikataba ya wapangaji hili nianze kula hela za kodi
View attachment 2203922
Haya sawa .Umekosea kuripoti, hajarudishiwa nyumba ni amerudishiwa kiwanja, hivyo SH Amin, yuko free kuyachukua majengo yake, hivyo jamaa kubaki na kiwanja chake kirudishwe ile nyumba aliyoinunua.
P
Nje ya mada, kwa wenye uelewa: Hivi entity kama benki ikiendesha mnada wa nyumba ya mtu aliyeshindwa kulipa deni na mahakama baadae ikasema mnada ulifanyika ndivyo sivyo, hivyo nyumba inatakiwa irudi kwa wenyewe, mimi mnunuzi nitapoteza? Gharama zangu nani atalipa na hasa kama nimeshaendeleza?Lazima awaiting mpunga sasa
Ova