LGE2024 Saa 12 asubuhi yamekutwa mabox matatu tayari yamejaa kura. Hii ndio Tanzania.

LGE2024 Saa 12 asubuhi yamekutwa mabox matatu tayari yamejaa kura. Hii ndio Tanzania.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mambo ya kawaida sana hayo. Hapa nilipo nishapiga kura zaidi ya 200 za CCM na kujaza kwenye masanduku kwenye hiki kituo. Usitegemee Chadema itakuja kushindwa kwenye sanduku la kura nchi hii .
Izo kura za maruhani umezipiga kwa faida ya nani.

Binafsi kwa Hilo ulilofanya adhabu yako ulitakiwa KUUWAWA ili iwe funzo kwa watu wenye Nia au tabia Kama hiyo
 
Ndio maana kuna watu wanaendelea na mitkasi zao tu...
 
Back
Top Bottom