Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

Hataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]
 
Chama Simba hawana ubavu wakumuacha labda wasubiri mkataba uishe!!, Anajeuri tu ila na yeye kawaletea garasa kabisa.... Yule Sarr?🤣🤣🤣
 
Hataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]
niliwahi kunote hicho kitu mkuu, pia anakadaftari kadogo keusi hako kana majina yote nilimuona siku ya simba na JKU akiandika vitu maana kamera za azam zilimmulika uyasemayo yana ukweli asilimia kubwa na mdicho kilichonisukuma nkaleta ule uzi wa kuwa hatofika krismas atapasuka
 
Naunga mkono hoja. Hakuna mshahara wa bure bure tu kisha watuumize mashabiki. Kocha tupo nyuma yako
 
onana si aliwapiga mbili wydad utamuachaje mtu hatari kama huyu?
 
Ila tutatoboa tu! Simba nguvu moja [emoji123][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari hii kocha tunae sijui kama viongozi wataweza kukaza nae msimu mzima bila uswahili [emoji28]
 
Hataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]
Your browser is not able to display this video.

Tazama wakati wenzie wanashangilia yeye kala buyu tu anawaza viwango vya mashaka vya kikosi chake
 
View attachment 2869782
Tazama wakati wenzie wanashangilia yeye kala buyu tu anawaza viwango vya mashaka vya kikosi chake
Ni mtu kazi kweli. Kuna game za awali alirudisha wachezaji uwanjani baada ya game kufanya mazoezi na hakuna namna wachezaji na technical team wote wakarudi kwenye program ya mazoezi hadi mida mibovu [emoji1787]
 
nimesema hivyo kwa sababu hata akifukuza hao akina ntibanzokiza ataletewa type hiyo hiyo ya wachezaji si unaona ingizo jipya BABACAR SARR unaweza kuniambia kaletwa na nani hapo simba?
Sarr una shaka nae? Naona tumpe muda hata mechi 5 ndo tumjaji
 
Baleke msaada wote huu anaondokaje
 
Safari hii kocha tunae sijui kama viongozi wataweza kukaza nae msimu mzima bila uswahili [emoji28]
Naona kuna vyuma vipya vya kigeni vimeongezwa, wachezaji gani wa kigeni wataondoka dirisha hili dogo ili kupisha wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…