Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hayamuhusu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayamuhusu...
Aliondoka ronaldo akiwa kwenye kilele cha ubora na ni kipenzi haswa cha mashabiki sembuse hao wa simbaWakuu,
Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi!
Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa mtu ikabidi apitie mlango wa trial akamla kichwa fasta bila kuuliza aliyemleta [emoji23]
Inasemekana akitokea popote kambini ni kama Simba mwenye hasira ameingia na wachezaji wanamuogopa, hataki mchezo na mipango yake.
Sasa huko ametoa profile anataka washambuliaji wa aina gani na sio vinginevyo. Kuna majina vipenzi vya mashabiki yapo hati hati watu wanatafutana kuweka mambo sawa [emoji23]
Ila tutatoboa tu! Simba nguvu moja [emoji123]
Robertinho kutimuliwa kwenye hii timu ulikua ni uonevu tuHuyo ndio kundi la mwanzo kabisa, sasa viongozi wameanza kumuelewa kocha Zoran alisema kwa timu hii hakuna kitu kabisa wakamuona mkorofi!
Nimeona aisee yule kocha msaidizi nadhani kule mapinduzi aligeuka kuwa kocha mkuuHataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]
Aiseee huyu kocha banaView attachment 2869782
Tazama wakati wenzie wanashangilia yeye kala buyu tu anawaza viwango vya mashaka vya kikosi chake
Na asichojua ni kwamba kocha anamkubali sana onanaOnana unamjua visuri na unamjua unamuongelea nani?Onana ni mchezaji wa kimataifa nakushauri uachane na wivu na roho mbaya...