Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

Wakuu,

Kocha mkuu Benchika inasemekana amenyoosha rula. Rula yenyewe sio ombi ni maelekezo kwa viongozi!

Huyu anaweza kuwa kocha wa kwanza wa kigeni asiyeogopa mtu kwenye kazi yake. Aliletewa mtu ikabidi apitie mlango wa trial akamla kichwa fasta bila kuuliza aliyemleta [emoji23]

Inasemekana akitokea popote kambini ni kama Simba mwenye hasira ameingia na wachezaji wanamuogopa, hataki mchezo na mipango yake.

Sasa huko ametoa profile anataka washambuliaji wa aina gani na sio vinginevyo. Kuna majina vipenzi vya mashabiki yapo hati hati watu wanatafutana kuweka mambo sawa [emoji23]

Ila tutatoboa tu! Simba nguvu moja [emoji123]
Aliondoka ronaldo akiwa kwenye kilele cha ubora na ni kipenzi haswa cha mashabiki sembuse hao wa simba

Acha waondolewe tu matokeo kwanza
 
Hataki mzaha, benchi lote la ufundi wanakimbizana pia, anataka wakati wa mchezo kila mtu afanye kazi yake akitaka report uwe na taarifa sahihi otherwise utafokewa kama anataka kukumeza! Hadi video analysts jasho linamtoka [emoji1787]
Nimeona aisee yule kocha msaidizi nadhani kule mapinduzi aligeuka kuwa kocha mkuu
 
Back
Top Bottom