Saa moja na dakika 17

Kwa hiyo ilikuwaje sasa?. Ulishindwa kukata gogo?
Ulipata a..l fissure? Au U...zi ulikuzidia?
Funguka bwashee
 
Hiyo haiwezi kuwa sababu ya kukutia hofu kiasi hicho maana tatizo uliloliweka bayana hapa barazani linatatulika ndani ya nusu saa kwa mchakato unaoitwa kwa kiinglish...
" Digital dis impaction procedure" .... Hivyo tu yaani! 😆😁
 
Mkuu ujaelewa point tatu pale zile bolded..
Mkuu kunywa maji ya kutosha
Acha kula skonzi

Hivo tuu kuna mambo huto nishukuru mda huu ila badae hapo utanishukuru
Mimi hapa nakula mkate tena kitu white sina konstipesheni wala nini mwaka wa 70 huu.
 
Hiyo haiwezi kuwa sababu ya kukutia hofu kiasi hicho maana tatizo uliloliweka bayana hapa barazani linatatulika ndani ya nusu saa kwa mchakato unaoitwa kwa kiinglish...
" Digital dis impaction procedure" .... Hivyo tu yaani! 😆😁
Mkuu nipo tayar hapa kutoa dau..
Sema hiyo njia kama umeshikwa na ile hali na upo peke yako umebananizwa ni wewe tuuu peke ako
 
Haya ma ngano ya karne zetu cjui yanakitu gan , huko nyuma si ndo ngano ilikuwa chakula mama ,mikate migumu unakula na zabibu au tende imeisha lakin hizi zetu hata ule na asali lazima kikurambe ukiwa chooni...
 
Sio kukuramba tuu tu kukusurubisha mkuu we fikilia ngoma lisaaa limoja ipo loaded tuuu
 
tabu inakuja mzigo unauskia kabisa upo ukiinuka lakin ukikaa ushushe ndo utajuta ,labda iyo choo yako iwe ya master,lakin ile ya choo ya changanyiken utakuta notes kwa mwenye mjengo
 
Ngano ni chakula muhimu sana katika mwili wa binadamu,pia ina virutubishi vingi sana vinavyochagiza ujengaji mwili.
Ila je hiyo ngano unailaje!?
Mbona sisi daily asubuhi mkate ndio kitafunwa cha chai maisha huwenda sawia!?
 
Ndo mana nikaenda saa 4 kwa hapa watu huwa washalala..

Alafu mkuu kuna mda ngoma ili load hado kati kati mzee ikagoma hapo hapo haitaki kurudi haitaki kwenda...

Ukisema uikate utachagua wewe sasa mana sio kwa maumivu yale
 
Ngano ni chakula muhimu sana katika mwili wa binadamu,pia ina virutubishi vingi sana vinavyochagiza ujengaji mwili.
Ila je hiyo ngano unailaje!?
Mbona sisi daily asubuhi mkate ndio kitafunwa cha chai maisha huwenda sawia!?
Ahahaha mimi nilikua natumia kutwa mara tatu... Na juisi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…