Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Amiin🙏Manyanza ndugu yangu katika imani...
Tusali sana kwani kifo ninfumbo mkuu
Pole sana ndugu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amiin🙏Manyanza ndugu yangu katika imani...
Tusali sana kwani kifo ninfumbo mkuu
Ahsante mkuu nashukuru mungu nimetoka mzima katika huu mtihaniAmiin🙏
Pole sana ndugu yangu.
Kwa hiyo ilikuwaje sasa?. Ulishindwa kukata gogo?Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.
Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.
Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.
Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.
1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)
2- kunywa maji ya kutosha
3- Ukihisi haja nenda mda huo huo
Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..
Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)
Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.
Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Nipo safi na nimepumzika hapa raha tuuuPole.. unaendeleaje...?
Gogo lilikatwa ila shughuli yake ni heavy....Kwa hiyo ilikuwaje sasa?. Ulishindwa kukata gogo?
Ulipata a..l fissure? Au U...zi ulikuzidia?
Funguka bwashee
Omba yasikukute kwanza...Ulishindwa kunya?
Mimi hapa nakula mkate tena kitu white sina konstipesheni wala nini mwaka wa 70 huu.Mkuu ujaelewa point tatu pale zile bolded..
Mkuu kunywa maji ya kutosha
Acha kula skonzi
Hivo tuu kuna mambo huto nishukuru mda huu ila badae hapo utanishukuru
Mkuu nipo tayar hapa kutoa dau..Hiyo haiwezi kuwa sababu ya kukutia hofu kiasi hicho maana tatizo uliloliweka bayana hapa barazani linatatulika ndani ya nusu saa kwa mchakato unaoitwa kwa kiinglish...
" Digital dis impaction procedure" .... Hivyo tu yaani! 😆😁
Mkuu jaribu kuwa seriouslyMimi hapa nakula mkate tena kitu white sina konstipesheni wala nini mwaka wa 70 huu.
Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.
Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.
Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.
Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.
1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)
2- kunywa maji ya kutosha
3- Ukihisi haja nenda mda huo huo
Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..
Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)
Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.
Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe Hay
Haya ma ngano ya karne zetu cjui yanakitu gan , huko nyuma si ndo ngano ilikuwa chakula mama ,mikate migumu unakula na zabibu au tende imeisha lakin hizi zetu hata ule na asali lazima kikurambe ukiwa chooni...Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.
Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.
Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.
Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.
1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)
2- kunywa maji ya kutosha
3- Ukihisi haja nenda mda huo huo
Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..
Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)
Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.
Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Sio kukuramba tuu tu kukusurubisha mkuu we fikilia ngoma lisaaa limoja ipo loaded tuuuHaya ma ngano ya karne zetu cjui yanakitu gan , huko nyuma si ndo ngano ilikuwa chakula mama ,mikate migumu unakula na zabibu au tende imeisha lakin hizi zetu hata ule na asali lazima kikurambe ukiwa chooni...
Yaliwah nikuta.....dah😂Nipo safi na nimepumzika hapa raha tuuu
Weeeh weeeeh weeeh hapana sitaki kuamini.. hapanaYaliwah nikuta.....dah😂
tabu inakuja mzigo unauskia kabisa upo ukiinuka lakin ukikaa ushushe ndo utajuta ,labda iyo choo yako iwe ya master,lakin ile ya choo ya changanyiken utakuta notes kwa mwenye mjengoSio kukuramba tuu tu kukusurubisha mkuu we fikilia ngoma lisaaa limoja ipo loaded tuuu
Ngano ni chakula muhimu sana katika mwili wa binadamu,pia ina virutubishi vingi sana vinavyochagiza ujengaji mwili.Wakuu habari za mda huu.
Natumai wote wazima na tunaendelea vizuri na majukumu yetu.
Hata hivyo mi mzima japo jana mida ya saa 4 usiku nilikutana na changamoto ambayo imenifanya nije hapa kuwapa tahadhari wenzangu.
Wanasema haya mambo hayamkuti nyani.
Kama mimi jana yalinikuta basi hata wewe kesho yanaweza kukukuta.
Wakuu naongea haya na maanisha wakuu namaanisha shika haya nayosema.
1- Epuka kula ngano(skonzi,mkate)
2- kunywa maji ya kutosha
3- Ukihisi haja nenda mda huo huo
Wakuu hivo vipengele hapo juu najua mmesoma fasta fasta ila nakuomba rudia maana hii hali inapokufika unakua wewe peke yako.
Jamani tunywe maji.Wanaposema maji ni muhimu kwa mwili wa binadamu hawajakosea jama..
Kilichonitokea mimi jana naapa sitojihusisha tena na kula ngano..(dry mkate) wakuu mara kumi unywe maji ulale tuu ila ngano (ney)
Mpaka sasa nipo hai nashukuru Mungu alhamdulillah maana ile kitu lisaa limoja na dakika 17 napambania ,,hapana mpka nimetoka mzima naimani mungu ana makusudio yake.
Asanteni.
Maji ni muhimu kwa binadamu.. ninyime mkate nipe maji.
Ndo mana nikaenda saa 4 kwa hapa watu huwa washalala..tabu inakuja mzigo unauskia kabisa upo ukiinuka lakin ukikaa ushushe ndo utajuta ,labda iyo choo yako iwe ya master,lakin ile ya choo ya changanyiken utakuta notes kwa mwenye mjengo
Ahahaha mimi nilikua natumia kutwa mara tatu... Na juisi tuNgano ni chakula muhimu sana katika mwili wa binadamu,pia ina virutubishi vingi sana vinavyochagiza ujengaji mwili.
Ila je hiyo ngano unailaje!?
Mbona sisi daily asubuhi mkate ndio kitafunwa cha chai maisha huwenda sawia!?