binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hahaha, Mimi leo nina furaha sana Mungu anisaidie nisilie baadae ππAmini usiamini,nimekunywa maji na kurudia kusoma ulichokiandika lakini sijaelewa.
Mkuu sasa mbona kama unanikashifu etMtoto mdogo anakula mkate na choo anapata mara mbili kwa siku,wewe vipi unakula hovyo
Weeeh sfinkta ndio niniUchawi ulikuwa maji na matunda ya kutosha.
Constipation ni hatari , lazima "SFINKTA" zichanike ukienda kupupu.
Mkuu niliishiwa nguvu ujue....πππππ
Imekuaje mkuu, nikupe pole then eleza kinabaubaga
io dawa nishatumia ndugu,ila nilikimbiza aseee ule mwengeπ€£
Ikijirudia tena nunua Bisacodyl, meza kidonge kimoja cha 10mg au viwili vya 5mg. Baada ya hapo andaa maji ya kutosha maliwato na siku ya hilo zoezi usitoke maana......!!! π
Mkuu ndani ya lisaa limoja no body in no body outImekuaje mkuu, nikupe pole then eleza kinabaubaga
Bado unacheka tuπ€£π€£π€£
Exhaust ndo ahahaha mkuu mna maneno ya hovyo sanaConstipation sio poa kabisa. Unaweza kukaa wiki unakula tu ila maliwato kushusha #2 huendi.
Next time, wahi Bisacodyl usije ukapasua exhaust.
Mkuu asante sana maana daaah nusu kifaPole sana.
Weee ukitumia hiyo daea unapotenza funguo na kufuri lake mazima auio dawa nishatumia ndugu,ila nilikimbiza aseee ule mwenge
πππππWanasmaje mkuu kuna mambo bila D mbili huelewi ila hili mkuu ombea lisikukute shukuru Mungu umekunywa maji...
Lisaa limoja na dakika 17 lilikua kama miaka mitatu kwangu
ukizidisha itakula kwako aseeeeWeee ukitumia hiyo daea unapotenza funguo na kufuri lake mazima au